Vijana mlio kwenye 20s, tulizeni akili

Vijana mlio kwenye 20s, tulizeni akili

Mwezeshaji1

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2023
Posts
235
Reaction score
561
Huu umri una harakati nyingi, na hauna uzoefu unaohisi unao.

Tulia;

1. Pata ujuzi (au wazo la biashara)

2. Anza

3. Acha kuota utatoboa KIMIUJIZA

Utajishukuru ukiwa 32+

(& kwa mabinti, ongeza na kuacha kuhisi kila kijana anayekuhitaji atakuoa, umri huu uzuri wako unaonekana kwa UZURI saaana, acha kujichukulia poa, CHAGUA).
 
Kun dogo wa 99 miaka ya 2024 alikuw anamslizia nyumba yake hspo Mkuranga. Na alikuw casual tu.. vijana wapewe fursa zaid kuliko ushaur
 
Sometimes u can't choose and u change and sometimes u feel like u gain less than u loose.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom