Asasi za Kiraia hususani zile zilizotajwa na tume ya jaji chande ndie mpangaji, mratibu na mfadhili mkuu wa magaidi na wa matukio yote ya vurugu za Okt 29.2030.
Ndizo zilizotoa mafunzo ya nadharia na vitendo kwa magaidi waliosababisha uharibifu na maafa mabaya sana yaliyotokea nchini kuanzia...
Kuna namna afya ya akili imekuwa corrupted.
Na ukiona afya akili imekuwa corrupted kwa mkupuo mara nyinngi ni kutokana na quality mbovu ya maisha na matarajio yasio na tija.
Vijana wamechoka kula ugali mkubwa na samaki wa picha.
Kama uongo kuna mtu ataandika tu comment ya matusi out of...
Nipo Mwanza nimekuja kutembea kutoka Jiji lenye miti mingi, nimefika Wilaya ya Ilemela, Kata ya Nyamanoro, jana tarehe 28.04.2026 nilikuta vijana wanne walionekana kwenye eneo la ujenzi wakiwa wananing'inia huku wakipandisha vifaa vya ujenzi kwenye jengo hilo ambalo inadaiwa kuwa linatarajia...
Trump kakoswa koswa hii ni awamu ya pili,
Je Rais WENU you salama kiasi Gani?
Kama chande anasema vijana walikuwa na silaha je Rais WENU you salama kiasi Gani?
Utawala ulio mwaga damu kuwa madarakani uo sio utawala kamwe ujitafakari
Habari wakuu
Natumai wote humu ndani ni wazima wa afya kabisa.
Week mbili hizi nimefanya research ambayo naimani kama ikifanyiwa kazi basi tunaweza pata matokeo chanya kwa taifa letu na hata tutajikomboa katika wombi la ukosefu wa ajira kwa vijana na umaskini kwa ujumla.
Nitangulize pia...
Vijana wa sasa wengi wao wanataka familia na hata wale wanajikuta tayari wanafamilia kwa maana Mke na mtoto au watoto lakini maisha anayoishi na hiyo familia yake ni ujinga mwingi
Kijana huyu wa kiume akishampa binti kwanza ataanza kukataa huo ujauzito, mwingine ataukubali lakini matunzo...
Utangulizi
Ngome ya vijana ACT-Wazalendo kwa niaba ya vijana, tumefuatilia hotuba ya bajeti ya Mheshimiwa Waziri Joel Arthur Nanauka aliyoitoa jana tarehe 20 Aprili, 2026 kuhusu Mpango na Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Vijana kwa Mwaka 2026/2027.
Katika ufuatiliaji wetu...
Tunatambua changamoto zenu mbalimbali lakini pengine hamna pa kuzisemea
Msiwe introvert sana.. Kuna tiba kwenye kuongea .. Ongeeni
Story za kawaida
Yatokanayo
Yasemwayo
Ya afya ya mwili
Ya afya ya akili
Mahusiano no
ILA umbea na majungu wekeni kando😀
Kuna jopo la wazee watakuwa hapa wakiangusha...
Mbunge Jesca Magufuli amesema mikopo pekee kwa vijana haitoshi, isipokuwa wanahitaji kujengewa uwezo ili wanufaike na mikopo hiyo.
ELimu kama ya utunzaji wa fedha na namna ya kuanzisha biashara ndio itawafanya wanufaike na mikopo hoyo
=====
Mbunge wa Viti Maalum, Jesca Magufuli, amesema...
My Take
Pamoja na uamzi huu mzuri wa kuwapatia fursa Vijana wa zawa Vitalu vya Madini lakini Machadema yataanza kutukana hovyo badala ya kupongeza kama Afrika nzima inavyompongeza Rais Samia Kwa uamzi wa kishujaa na kizalendo.
https://www.instagram.com/p/DXMc7YtDEjQ/?igsh=YTFkODFzZnhsbGF4
Hahahaha! Hii ndio yenewe mayi! Wanaachia usuzi wanusa wenyewe.
Heheee! Na bado. Mwajua jinsi Lisu ako. Hawezi muinamia mapembelosi.
Waache wacheze Ngoma yao menyewe. Ukombozi uko pale. Na bado MTU wao Siku sio nyingi anapanda anga la mbali na akiwa na NASA. Dadeki. Soma hiyooo
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Mnyonge amewahimiza vijana kutoa majibu kwa maswali ya kulijenga taifa ili kupeleka mbele maendeleo ya taifa kwakuwa wazalendo wa kweli wanaoipenda na kuitumikia nchi yao.
Mnyonge ametoa rai hiyo wakati wa uzinduzi wa jukwaa la ‘Vijana Platform’...
Akichangia hoja Bungeni Dodoma leo Aprili 14, 2026, Mbunge Zuwena Bushiri amesema kuwa:
"vijana wetu wametafutiwa kila njia ya kujikwamua kiuchumi. Ukiingia katika mikopo ya Halmashauri kumi, vijana wapo. Lakini Mheshimiwa Rais ameona haitoshi, akawatafutia bilioni mia mbili ili kuwawezesha...
MITANDAO YA KIJAMII JINSI INAVYOLIPA!!!
FURSA YA KIPEKEE YA KUKUZA KIPATO CHAKO!
Je, unatafuta njia ya kuongeza kipato chako kupitia mitandao ya kijamii ukiwa nyumbani au popote ulipo?
Karibu kwenye Kampuni ya Eternal International – mahali ambapo ndoto zako za kifedha zinaanza kuwa kweli...
Dodoma, Aprili 11, 2026
Kongamano la vijana ya kumbukizi ya miaka 104 ya kuzaliwa kwa Baba wa Taifa, Julius Nyerere, limefanyika leo Jumamosi katika Ukumbi wa Chimwaga, Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Kongamano hilo limewakutanisha viongozi wa serikali, wanafunzi na vijana kutoka maeneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.