vijana

  1. Namna elimu ya chuo ya Tanzania ni kupoteza muda kwa kijana wa kitanzania hususa ni karne hii.

    Ni matumaini yangu mko poa ndugu zangu wana jf and happy independence day ndugu zangu watanzania. Majobless endeleeni kupambana mechi bado halftime, mahustlers endeleeni kusaka tonge hakuna kukata tamaa. Wasomi endeleeni kutafuta kazi n.k Ninajua juu ya uzi huu basi wasomi na wanazuoni wazee wa...
  2. Bashe kilimo sio makaratasi, acha kuitumia BBT kuwapotezea muda vijana, ajenda yako hasa ni ipi?

    Mradi huu ni maono ya waziri Hussein Bashe, unaongozwa kwa mahesabu makali sana, tulijua kundi la kwanza litakaa field miezi miwili au mitatu kisha wagawiwe mashamba yao kama walivyokuwa wameahidiwa ili waende wakayasimamie wenyewe lakini mpaka sasa wamewashikilia na kuwaweka pamoja huu ni mwaka...
  3. Rais Samia, kama walivyofanya Malawi na sasa Kenya, nasi kama vijana wa Tanzania, tupo tayari kwenda Israel kuwa vibarua

    Ni ukweli kabisa, mimi nikiwa tayari kabisa kwenda Israel na kuwa kibarua kwenye mashamba ya Wayahudi hao wa mashariki ya kati, Kwa mshahara wa 4M!! Usinitanie bhana! Nawasemea vijana lukuki wa Kitanzania na ambapo wengine wakiwa maofisini na wengine mitaani wakihangaika kutafuta ajira...
  4. S

    Video: Mafundi wa TANESCO waporomoshwa na vijana wenye hasira za kukatika-katika kwa umeme

  5. Vijana majobless muanzishe vijiwe vya kubadilishana mawazo kama wazee walivyoanzisha vijiwe vya kahawa kupigana fiksi

    Vuguvugu la maendeleo ulaya (the age of enlignment) lilianzia vijiweni na kwenye saloon ambapo watu walikutana kujadili ideas. Kwenye vijiwe vya kimasonic (Masonic Clubs ) pia ilikuwa ninsehemu walipokutana kupeana updates. Muachane na vijiwe vya betting. Vijiwe wa unywaji bia, na ulaji wa...
  6. Simba hamjatosheka kuua vipaji vya wachezaji vijana mmemgeukia na kwa Ladack Chasambi wa Mtibwa??

    Hii klabu kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa bingwa wa kuua vipaji vya wachezaji vijana pindi inapowasajili, imekuwa na tamaa ya kuwasajili lakini wamekuwa wazito kuwatumia wachezaji husika! Angalia David kameta(duchu) kabla hajaenda Simba alikiwasha sana wakamsajili akasugua benchi mpaka...
  7. Haya ndio yanayotukera kutoka kwa vijana waliozaliwa miaka ya 90s

    Hapa nazungumzia hiki kizazi ambacho Kwa sasa ni vijana na wamezaliwa Miaka ya 90. Hawa vijana kiukweli wanakera sana Kwa matendo yao japo Wana mazuri lakini mazuri yao sio mengi kama mabaya yao Yafuatayo ndio yanayotukela kutoka Kwa hiki kizazi. 1. Wengi wao ni wavivu Inashangaza sana kuona...
  8. Vijana wa kariakoo leo mmeniweza, nimewanyooshea mikono juu

    Ndugu zangu nikiwa katika harakati za kununua vifaa kwa ajili ya tv yangu yaani Tv guard na Hd Tv cable 4k haya ndio yaliyonikuta. Nikaenda moja kwa moja kwenye moja ya maduka yanauza tv, baada ya kufika pale nikauliza hivi vifaa wakaniambia vipo. Tukaanza kubagain bei, tv guard wakanimbi...
  9. Mimi almaarufu madevu, huu uchebe wa vijana wa siku hii mimi basi imetosha

    Ufugaji wa ndevu ninaamini tuliuanza miaka kadhaa. Kabla yetu walifuga wazee wetu. Nimeamua kukata na kuwa na kidecu na mdogo kama uch.i wa mbuzi. Kunyoa ndevu zote kunafanya unakuwa sura kama ya mbuzi. Mdogo na kidevu ndio kabsaaa. Siku hzi vijana wameiga yaani inaboa na haivutii nahisi tangu...
  10. Vijana mliozaliwa Miaka ya 90 naomba mpite hapa Kuna ujumbe wenu

    Habari zenu Sio Kwa ubaya ila napenda kuwaomba vijana wa Miaka ya tisini muondoke hapa duniani maana tumewachoka. Kila jambo baya nyinyi ndo wakwanza kulifanya Hiki kizazi kimekithili umalaya na kimedhamiria haswaaa kueneza umalaya duniani kote..nyinyi vijana tunaomba mtupishe duniani sio...
  11. Waliozaliwa na VVU na Vijana wanaojiuza kwa Watu Wazima watajwa kuwa chanzo cha ongezeko la Maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI

    Kwa mujibu wa taarifa ya Chuo Kikuu cha Hospitali ya Aga Khan cha jijini Nairobi, sababu mbili zimebainika kuwa chanzo cha ongezeko hilo na Moja wapo ni Watoto waliozaliwa na Maambukizi ambao sasa wamekuwa vijana au Watu wazima kujihusisha na Ngono bila kuchukua tahadhari. Dkt. Adeel Shah...
  12. Vijana wa Hayati Magufuli ndio pekee wenye uwezo wa kumpambania Rais Samia

    Pamoja na mapungufu yao, lakini ni wazi vijana wa Hayati Magufuli ndio pekee wenye uwezo wa kumpambania Samia ki siasa. Timu Magufuli pamoja na mapungufu yao ya kibinadamu, lakini ndiwo wenye uwezo hata wakuaminika na Wananchi ama kwa kukemea ufisadi na mafisadi ama kuthubutu kwa uwazi kabisa...
  13. Vijana mnapo copy contents zetu hapa JF toeni credits kwetu nakwa JF pia

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Kumekuwa na wimbi la vijana waiba contents bila kutoa Credits kwa wahusika. Binafsi nimeona contents zangu (Hasa Simulizi zangu) zikiwa zinatumiwa na Vijana katika mitandao ya Facebook,Twitter,Instagram na Telegram. Naelewa Vijana mnajipatia chochote...
  14. Kuna haja serikali ikaanza utambuzi wa shughuli za watu mijini na vijijini wasio na kazi waende wakalime kwa lazima

    Unaweza kuona hoja ya kitoto ila ukweli ni kwamba kuna asilimia kubwa ya watu mjini na wengine vijiji wana nguvu ya kufanya shughuli zenye tija za kuleta maendeleo yao binafsi na taifa ila wapo wamekaa tu vijiweni wanapiga soga asubuhi mpaka jioni wanaishi kijanja ujanja na wapo kulaumu serikali...
  15. Rais Samia Aizawadia Timu ya Taifa (Zanzibar) ya vijana chini ya umri wa miaka 15 (Karume Boys) Shilingi Milioni 50

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishiriki hafla ya chakula cha mchana alichowaandalia Wachezaji na Viongozi wa Timu ya Taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 15 (Karume Boys), Ikulu Tunguu visiwani Zanzibar leo tarehe 25 Novemba, 2023 ameizawadia timu hiyo...
  16. Hivi ni Kukosa akili au ndo Utandawazi?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Hivi sasa kumeibuka wimbi la Vijana na wanaume kuvaa Chupi ambazo wao wanaziita "VINJUNGA" Hivi Vinjunga inapaswa uelewe mara zote zinakuwa hazizidiani sana na Boxer,yaani wewe fikiria mtu anavaa Kinjunga na anatembea bila wasiwasi mjini kote huko! Ni...
  17. Sijajua sababu inayofanya Vijana wengi hapa JF kunichukia ni ipi!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Mimi UMUGHAKA nimekuwa nikichukiwa sana na Vijana hapa JF tangu nilipokuwa Mwanachama Bora wa jukwaa la Michezo mwaka 2022. Yaani kuanzia hapo ni kama nilitonesha vidonda vya miongoni mwa vijana wengi wenye roho mbaya hapa JF!. Ni kwanini Vijana mnakuwa...
  18. Umefika Muda Serikali itutumie vijana kutoka Tarime ili kukomesha Masuala ya Uhalifu kwenye baadhi ya Mikoa

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa mno la uhalifu unaofanywa na Vijana wadogo waziwazi!. Kibaya zaidi uhalifu huo unafanyika mchana kweupe mbele ya wanaume legelege na wanawake wapaka wanja bila kuchukuliwa hatua zozote!. Askari ambao tulitegemea...
  19. L

    Karakana ya Luban yasaidia vijana wa Afrika kutimiza ndoto zao

    Miaka 600 iliyopita, baharia wa China Zheng He aliongoza kikosi cha majahazi kusafiri hadi kwenye pwani ya mashariki ya Afrika mara nne, na kwamba Njia ya Hariri Baharini ilishuhudia historia ndefu ya mawasiliano kati ya China na Afrika. Miaka 600 baadaye, karakana za Luban zilipewa jina la...
  20. Hili Taifa Vijana wangetumia ⅓ ya Akili zao leo hii tungekuwa Taifa kubwa kiuchumi zaidi ya Taifa la Marekani!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Ukiona viongozi wa Serikali wana wang'ang'ania wazee kwenye nafasi nyeti tambua ya kwamba vijana watakuwa na matatizo ya kiakili,Vijana wengi waliopewa nafasi ili waonyeshe uwezo wao wamekuwa wapumbavu kuliko hata wazee waliochokaa!. Hili Taifa la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…