vijana

  1. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Wadudu ni alama ya vijana wa Arusha

    Watanzania Salam tuachane nazo tu. Short and clear Vijana wa Arusha wana usela mavi sana , ni limbukeni mno. Kibali kataa, ukweli ndio huo
  2. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Smart911 na Mahondaw tupeni mbinu vijana wenu maana maadui wa penzi letu ni wengi mno

    Heshima kwenu wakubwa zetu Smart911 na Mahondaw Mimi Kijana Masikini na Mpenzi wangu Marry Diana tunaomba mtupe siri ya mafanikio juu ya kudumu kwenu kwa muda mrefu kwenye Mapenzi. Tunajuwa nyinyi sio waongeaji sana lakini tunaomba madini ya kutosha kutoka kwenu. Tunatanguliza shukrani...
  3. PLOII

    JamiiForums Tanzania Vijana muwe makini na wanaharakati wa msimu na wanasiasa maslahi mtaacha generation yenu katika hali mbaya, taifa litakufa play safe

    Salute to you all hustlers ..... Direct to the topic, Niongee na mtu ambaye kwao hamna DED, RCO, RC, NAIBU WAZIRI, WAZIRI , VICE - PRESIDENT n.k. Nimeanza Kwa kusema hivyo Kwa sababu wanaotoka kwenye familia hizo kiuhalisia hawawezi kunielewa ni sawa na wajumbe wa Chama cha Mapinduzi hawawezi...
  4. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wa Zimbabwe Aingia Maombi ya Siku 40 ili Kumpatia Mpenzi Wake Lamborghini

    #UNAAMBIWA Mwanaume mmoja nchini Zimbabwe aitwaye Mark Muradzira, alipanda Milimani peke yake kwa lengo la kufunga kwa siku 40 bila kula wala kunywa chochote ili maombi yake yasikike kwa Mungu ampe uwezo wa kununua gari la kifahari aina ya Lamborghini ili amzawadie Mpenzi wake kwakuwa hilo ndilo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wakongwe wa Coding Wanaogopa AI — Lakini vijana wanaikumbatia na kuwapita kwa Kasi

    Katika dunia ya sasa, Artificial Intelligence (AI) imeleta mapinduzi makubwa kwenye sekta ya teknolojia, hasa kwenye coding na software engineering. Kwa kutumia AI, tunaweza sasa kuandika, kurekebisha, na hata kupima code kwa haraka zaidi, kwa usahihi zaidi, na kwa gharama ndogo. Hii imefungua...
  6. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Kwa zama tulizopo ni bora mtu kwenda Ordinary diploma au Advance Education (Form 5 na 6?)

    HESHIMA MBELE wakuu. Kama mnavyojua kuwa mwezi wa saba umefika na tayari wale wanafunzi ambao walifaulu kwenye mtihani wa NECTA mwaka, wengine wanaenda kidato cha tano na cha sita huku wengine wakianza mipango ya kuingia chuo kwa maana ya Ordinary Diploma. Sasa nilitaka kujua iwapi level hizi...
  7. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati JF ilikuwa runned na vijana wa 35+ na 40s ila nyakati zimebadirika, vijana graduates na 20s ndio wanakimbiza usukani na maajabu ni mengi

    Nyuzi sensible unakutana na comments za kumshushua jamaa kuwa anajifanya genius 🤣🤣 Ila zile nyingine sasa, hadi yanaundwa magroup ndani comments kuendeleza umbea. Anyway kila kitu kina wakati wake, maisha yaendeleee
  8. The Legacy

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Vijana mjini

    Nawasalimu, Leo nimeona niwape Tip ya Kijanja kuhusu life la mjini, sio kubwa sana ila nzuri na tamu mnoo. Ukiwa na uwezo walau jenga kibanda kijijini,Sio ulikozaliwa. Iwe sehemu mpya ambayo hata rafiki yako wala mkeo hapajui, Room moja tu inatosha kuanzia. Huko wakujue kwa jina tofauti, na...
  9. Daby

    JamiiForums Tanzania Sawa, Vijana wa Kenya wana haki kuandamana kupinga utawala dhalimu. Lakini Agendas zao zimechukuliwa na wanasiasa

    Kenya wakipita 2027 vizuri wamshukuru Mungu. Mwaka 2007 walipouana mambo yalianza hivi hivi. Kuenguliwa kwa Riggy G kummemfanya afanye siasa za ukabila waziwazi. Hata haogopi kutamka kauli zinazoweza/japo zimeanza kuligawanya taifa kikabila. Ukiwaskia wanasiasa hasa wa Bonde la ufa hoja yao...
  10. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Nitashangaa sana kuona vijana wanazani kuwa mabadiliko ya katiba ndiyo yatamletea Chakula Mezani

    Hakuna kitu rahisi katika ulimwengu haya mabadiliko tunayotaka ni namna nzuri ya ukoloni kudhibiti akili za wafuasi dhidi Nguvu kubwa inayotawala,siwezi kukataa kuwa maendeleo kwa namna fulani yanahitaji uwazi na uwajibukaji(sheria) ila sheria siku zote ipo upande wa Msimamiaji. Inshu ya...
  11. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Vijana mkajiajiri, ubunge unataka mtaji hamna hamna TZS 80m

    Hakuna Mjumbe atakusikiliza blah blah zako huku unaendekeza ubahili. Toa pesa upigiwe Kura. Kama huna kajiajiri kulima matikiti. NB. Wajumbe Wana familia/bills za kulipa
  12. W

    JamiiForums Tanzania Alionywa akakaidi: Hizi hapa post zilizomuingiza SirJeff kwenye 18 za System, kesi ya uhaini au uhujumu inanukia, Cruiser Nyeupe ilikuwa inamfuata

    POST YAKE YA MWISHO NI JUZI, KUNA TETESI AMEKAMATWA ANAKOISHI NA KUFANYA SHUGHUI ZAKE MAFINGA MKOANI IRINGA, AMESAFIRISHWA KWA SASA YUPO DSM
  13. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa vijana, kutoka kwa Binti kiziwi

    Kwa vijana ambao ndio mnatafuta maisha basi hakikisha usitafute mwanamke wa kujenga naye maisha, tafuta maisha yako mwenyewe ukipata omba Mungu au shirikisha mizimu na ushirikishe akili upate mwanamke wa kujenga naye familia.
  14. Superbug

    JamiiForums Tanzania Bunge la samwel SITA na la Tulia Akson je lipi lilikuwa bunge la wananchi?

    Tufanye tathmini ya bunge la Kasi na viwango la comrade samwel SITA na hili ambalo binafsi sijui lilisimamia nini maana wananchi walitekwa wakauwawa na Bado spika akazuia bunge kuiuliza serikali je lipi lilikuwa bunge Bora?
  15. Think2

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Dar es Salaam

    Vijana njooni machimboni tupige ela, mnangangania daswamu(Dar) kutwa kuzurula mitaani tu Kunengua mauno kama dada zetu kweli?? Kijana mdogo dhahabu sio shida ata ukitaka nakugawia mtafute ela Kijana umerizika unakafriji, ka tv ka solar max na kitanda na vyombo taar na hapo upo dar zaidi ya...
  16. FORTUNE JR

    JamiiForums Tanzania Jinsi simu zinavyoua roho za Vijana wakiwa hai

    Tunazaliwa katika zama ambazo simu zimekuwa na akili kuliko watumiaji wake. Mitandao ya kijamii imepata ushawishi mkubwa kuliko wazazi au walimu, ikitoa maarifa yasiyoisha lakini bila hekima. Vijana kama Jaden, mwenye miaka 19, wanakaa usiku kucha wakichunguza Instagram, TikTok na Telegram...
  17. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Jambo ambalo vijana wengi wanaoingia kwenye utafutaji wanapaswa kulijua kabla ya mengine

    Kila kazi hata kama mshahara ni laki mbili KWA mwezi yupo mtu analia maisha magumu wakati huohuo hapohapo Kuna mtu anamshukuru Mungu KWA mshahara huo na anendesha familia KWA furaha kubwa. Kuna bodaboda kijana anaishi kwao na muda wote analia njaa, Kuna bodaboda mtu mzima anafamilia, amejenga...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha tu vijana, hizo nafasi mnazozitaka kwenye majimbo na kata wengi wenu zitawatokea puani. CCM nawajua vizuri

    Ikitokea Jimbo au kata mbunge au diwani wa CCM amekufa hapo kijana ingia chap unapata nafasi, ikitokea mbunge au diwani ametangaza kutoendelea na madaraka hapo kijana usizubae chukua nafasi haraka. Ikitokea mbunge au diwani ndugu yako sana msihi akutupie taulo akiridhia chukua nafasi haraka...
  19. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mshiu autaka ubunge wa Viti Maalum vijana

    Mjumbe wa baraza la Umoja wa Vijana wa Wilaya ya Ubungo jijini Dar es salaam @dorcasmshiu amechukua fomu ya ubunge wa Viti Maalumu kundi la Vijana kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) akieleza kuakisi nyanja ya sayansi na teknolojia, kusaidia vijana kupata fursa mbalimbali na kufikisha hoja za...
  20. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Makapi ya mafuta si misingi ya Taifa

    "Vijana wa kizazi cha leo wanaamini afya iko kwenye mafuta; mihogo ya kuchemsha ni ya washamba, lakini ya kukaanga ni fasheni. Dagaa ni za maskini, lakini kuku wa kisasa anayewanenepeesha hadi wanaume kuwa na matiti kama wake zao ni starehe kwao. Halafu unategemea kupata taifa lenye vijana wenye...
Back
Top Bottom