Vijana wa 2000 watajua haya ni maputo

Vijana wa 2000 watajua haya ni maputo

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
10,714
Reaction score
33,968
Kila mtaa ulikuwa na dogo aliekuwa mtalaam wa kulenga🤣
20250323_210940~2.jpg
 
Kila mtaa ulikuwa na dogo aliekuwa mtalaam wa kulenga🤣
View attachment 3281175
🤣Hizi glory zilifanya nipigane sana ngumi tulikuwa tunachuma mashimo, unaweka shilingi Mia tunagombania ukienda kuchange hapo utapata shilingi 10 zako 5 alafu shilingi 20 mbili, sometimes tu nachezea miambili unatoka na shilingi 5 ziko nne

Dah Leo hii 50 nayo imeanza kupotea kwenye mzunguko
 
Hahahah ngumi zilipigika sana mkuu
 
Back
Top Bottom