vijana

  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Vijana wa itikadi kali wako obsessed sana with USA na Israel hadi wanasahau kile china inachowafanyia wenzao wa Uyghurs

    NO JEWS , NO NEWS NO US, NO CASE.
  2. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vijana Geita kuhimizwa kupiga kura kwa wingi Oktoba 29

    Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Geita Mjini, Ndaro Samsoni, amewahimiza vijana kujitokeza kwa wingi kushiriki katika zoezi la kupiga kura litakalofanyika Oktoba 29 mwaka huu ili kuchagua rais, mbunge na diwani. Ndaro amesema ushiriki wa vijana ni muhimu kwa kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa...
  3. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Kuna vijana fulani humu basi wakionaga huu muunganiko huwa wanatetemeka balaa

  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Vijana (Gen Z) Nchini Nepal – 2025

    Sababu za Maandamano Marufuku ya mitandao ya kijamii – Serikali ilizuia matumizi ya Facebook, Instagram, WhatsApp, YouTube n.k. kwa madai ya kiusalama. Vijana waliona hatua hiyo kama kukandamiza uhuru wa maoni. hii ni kwa mujibu wa ABP News. Ufisadi serikalini – Kulikuwa na madai ya ufisadi...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Nchimbi: Serikali itatenga TSh. 200 Bilioni kwa vijana na wajasiriamali ndani ya siku 100 za kwanza

    Mgombea Mwenza wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema iwapo CCM itashinda uchaguzi wa mwezi October, Serikali ya Chama hicho itatenga shilingi Bilioni 200 na kuzitoa kama mikopo ya Vijana na Wajasiriamali Nchini. Nchimbi amesema sambamba na hilo, pia watarasimisha shughuli za Wajasiriamali...
  6. Sharbel

    JamiiForums Tanzania Maendeleo Kwanza: Vijana wa Kiume acheni kuteketeza Fedha kwenye mahusiano

    Vijana wengi wa kiume hukutana na changamoto ya kutumia muda na fedha nyingi kwenye mahusiano kabla hata ya kuweka msingi thabiti wa maisha yao ya baadaye. Ni jambo la kawaida kuona kijana anatumia kipato chake chote kuhudumia mwenza wake, kuanzia kodi ya nyumba, mavazi, chakula, hadi matumizi...
  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Umati wa Vijana wa Tabora wakielekea kwenye Kampeni za Mgombea Urais CCM Dkt. Samia

    Maelfu ya vijana mkoani Tabora wamejitokeza kwa maandamano ya amani wakielekea kwenye mkutano wa kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan Vijana hao walisema wamehamasishwa na kazi kubwa ya maendeleo iliyofanywa na...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Unafundishaje watu kuwafanya wenzao watumwa halafu unawafundisha kuheshimu na kumuomba Mungu huyo huyo ambae amewaumba hao utakaowafanya watumwa?

    Cha kwanza wanafuta utashi asilia kichwani mwako alafu wanakubandikia ustadi mpya katika fikra yako, kinachofata unadhani unasimama katika uelevu na utimamu ila kuhakika ni utumwa wa kifikra.
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ipi sababu ya ongezeko la vijana kuvamia pombe kali za kienyeji kwa kwa wingi mnoo?

    Kuna wakati tuliona wazee ndio wanaozifata hizi pombe za kienyeji Utaita gongo, chang'aa , etc Ukata? Ulevi usio na mipaka? Trend? Msongo? What happened?
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Sijui kwanini baadhi ya vijana wengi waliotekea familia masikini alafu wakahi kutusua kimaisha wanakuwaga "matajiri limbukeni"

    Atavaa kila aina ya nguo awalingishie, kila demu atazaa nae kuonesha umwamba wake, kila hatua atakayopiga ata prove kwenu kuwa amewazidi kwa maana nyie ni wapumbavu kuzidi yeye Juzi mmoja wao amewaambia mnalalamika sana na hamfanyi kazi utafikiri mmesimama tu mnakenua bara barani. Anyway pesa...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hii ndio ilikuwa original bongoflava, vijana waliumiza kichwa sana but all for nothing

    Maudhui yalikuwa bongo flava ila kila mmoja alikuja na style yake kupelekea wawe authentic na kitu walichotoa na sisi wapokeaji tulipata vitu quality ambavyo hadi hatutakaa kusahau. WIMBO UNAUKUMBUKA SANA? https://youtu.be/i-qPIcfoOwA?si=-mI_dTpLqlR3WXvA...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Safari ya muwindaji inahitaji msaizi asie na tamaa, vijana mnaojitafuta kaeni mbali sana na aina hii ya wanawake

    Mwanamke anaedhani kakuonea huruma kuwa na wewe, anakwambia wazi kuna wanaume wenye pesa kukuzidi kila siku wanamtafuta, huyu tayari ana options siku yoyote anakukimbia. Mwanamke ambae hajui BAJETI, yeye ni kujua kutumia tu, jiandae kwa mizinga mingi ya uongo, mama anaumwa, simu imeharibika...
  13. S

    JamiiForums Tanzania KERO Tafadhali Serikali fungieni mchezo wa AVIATOR, Mchezo sio fair na unaua ndoto za Vijana

    Habari zenu Ndugu zangu. Moja kwa moja kwenye main point, Mchezo wa aviator haupo fair jinsi inavyotangazwa, inachukua 90% inakupa 10% haina usawa wa 50% kwa 50%. Aviator imeharibu ndoto za Vijana wengi, na wanaishia kuwa omba omba , sababu pesa hazikai, vijana wanashindwa kuwa na nuru sababu...
  14. Diwani

    JamiiForums Tanzania Namna pesa inabadilisha vijana kwenye mahusiano.

    Hapa nazungumzia sana vijana ambao wanajitafuta kwa wakati huu; mara nyingi jamii inawapa msukumo wa kutafuta hela na inawathibitishia kwamba bila kuwa na pesa wao si kitu na hawana nafasi ya kimaamuzi au ushawishi wowote kwenye jamii na hata kwenye mahusiano. Vijana (ME) kwa sababu ya fikra...
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna viashiria vya rushwa mikopo ya 10% kwa Vijana, Wilaya ya Newala Vijijini - Mtwara

    Kumekuwa na viashiria vya rushwa kwenye utoaji wa mikopo ya 10% kwa Vijana katika Wilaya ya Newala Vijijini Mkoani Mtwara. Tuliunda kikundi na kufata taratibu zote lakini mwishoni tunaelezwa tutoe chochote ili waweze kupitisha ombi letu. Maana ya kuomba mkopo ni dhahiri kwamba hatujitoshelezi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania kwenu waraibu wa punyeto, acheni kuvuta hisia kwa kuangalia porn ni bora ujiwaze wewe ni muhusika kuliko mwanaume mwengine

    Heri nusu shari kuliko shari kamili Punyeto na porn ni mambo mawili ambayo yamekuwa tatizo kubwa hasa katika zama hizi za teknolojia za smartphones unazoweza kutumia ndani ya blanketi, chooni, vyumbani, n.k.. wengi wanaopiga punyeto wamejikuta wakiingia kwenye uraibu mwengine wa kuangalia...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania na Don Bosco wazindua mpango wa kuwainua vijana na kuendeleza mpira wa kikapu nchini.

    Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation, Zuweina Farah (kulia), na Mkurugenzi wa TEHAMA wa kampuni hiyo, Athumani Mlinga (kushoto), wakimkabidhi tuzo mchezaji wa Don Bosco, Martin Benson, aliyechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mechi. Tukio hilo, lililofanyika tarehe 29 Agosti katika viwanja vya...
  18. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Vijana; leo nawaibia siri kidogo kuhusu ugumu wa maisha mnaopitia

    Leo siwapi kila kitu ila nitaendelea kutoa kila nikipata muda 1. Zinaa ( kula/ kuliwa mzigo) ni chanzo no1 kinachokwamisha harakati zako. Kubali, kataa, pinga au andamana ila huo ndio ukweli. Zile hisia za kujilaumu unazozipata baada ya kufanya ngono ni Taarifa ya kukuonesha kuwa kuna kitu cha...
  19. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM wakikutana na Polepole kitatokea nini?

    Nawaza jinsi ninavyoziona hasira za vijana wa CCM dhidi ya Humphrey Polepole, Hawa vijana kwa bahati mbaya wakutane na Polepole mtaani, kitatokea nini?
Back
Top Bottom