Desierto
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 900
- 3,112
Tumetoka arusha asubuhi tumeenda Rombo kumzika jamaa yetu aliyekufa kwa ajali ya pikipiki
Wakati tunarudi usiku saa mbili nakutana na ajali ya pikipiki kijana kapata ajali kafa hapo hapo kichwa kimepasuka.
Nafika Arusha nakutana Tena na msiba kijana kafa kwa ajali ya pikipiki.
Kesho asubuhi Tena nasikia ajali ya pikipiki imeua mtaa wa tatu, dah!
Leo asubuhi nasikia jamaa zangu wawili wamepata ajali usiku wapo Mount Meru hawana fahamu
Mwisho nagundua Kati ya ajali kumi za pikipiki ni Moja au mbili wanakuwa wamebeba abiria.