Desierto
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 901
- 3,112
Kule kwetu mkoani wakati wa mazishi hasa wakati wa kupeleka mwili makaburini mpaka kuzika watu wote huwa ni kimya na sauti inayosikilizwa ni Moja tu ya anayeendesha ibada.
Njoo huku arusha yaani kuanzia siku ya msiba ni kulewa na bangi matusi kwa wingi wakati wa kumpumzisha marehemu ndo inakuwa balaa wanataka kufukia na mikono ikiwa koleo zipo za kutosha hawasikilizi sauti ya yoyote.
Hakuna msiba unatokea ukapita bila vijana wa arusha kupigana msibani
Ukitaka msiba wa mpendwa wako upite vizuri bila vurugu labda ulete polisi kama hutaki vurugu.
Nawasilisha