vijana

  1. Toyota GT 86 Mjapan alikodi vijana wa intern kutoka Italia sijui?

    Kuna sport cars Toyota wametengeneza hadi kesho wanajisifu, tukiacha Toyota Supra basi ni hii GT 86. Hii combination ya Toyota na Subaru wakaleta hii gari, kwa bei ambayo ata huwezi kuifikiria kutokana muonekano na performance yake. Inakuja na engine ya Subaru boxer 2.0L na 6-gears manual...
  2. Ndugu zangu vijana kwenye siasa kazi na uaminifu ndiyo itakayokufanya ujulikane na Taifa na si kupiga majungu na upotoshaj mwisho huwa ni kudharauliwa

    Alama ya kijana ni kazi, kijana ni maneno machache kazi nyingi, kijana awe na tamaa ya maendeleo huku anafanya kazi siyo tamaa ya maendeleo huku anakesha anaangalia press za akili mnemba polepole badala apumzishe mwili kwaajili ya KAZI kesho yake. Popote ulipo kijana onyesha upekee kiutendaji...
  3. Shetani punguza masharti. Hili sharti la kupandana watu wa jinsia moja linatumalizia vijana wetu

    Hello! Wanaume wanapopandana au wanawake wanapopandana wao kwa wao automatically ni kama wanajiengua kwenye idadi ya watu duniani. Kama kwenye familia au ukoo mko 50 na 5 wamekuwa mashoga na wasagaji hiyo familia inapaswa kuhesabika mko 45 tu. This calculation also can be applied in national and...
  4. Vijana, tuache tamaa ya kutamani wanawake wakubwa au wake za watu

    Habari wana JF. Vijana wengi miaka hii wamekuwa wakipagawa/winda/windwa/jipitishapitisha/tamani sana mijimama lakini pia wake za watu. Let talk about Mijimama first. ✓ Wakuu Jimama halina jipya utamu wote umeisha kilichobaki labda magojwa tu. ✓Jimama halina faida litakufanya ujisahau...
  5. Vijana wa buku 2000 hawawezi jua hizi mambo😂

    Nasikia bado zipo usukumani😂
  6. UVCCM na Vijana machawa mnajua kama kuna siku historia itawakumbuka?

    Kati ya Machifu wapo wanaokumbukwa kwa mema na mabaya... Wapo waliowauza wenzetu kwa vipande vya nguo na zawadi ndogo ndogo Lakini wapi mashujaa kama kina Mkwawa walipambana kwa ajili ya jamii zao Ninyi vijana mliopaswa kutumia akili zenu kuleta changamoto mpya na ubunifu leo mmeamua...
  7. INASIKITISHA SANA KUONA KUNA VIJANA WANAOMBA KUSOMEA KOZI YA UALIMU

    Habarini wadau
  8. Kinachoshangaza ni hawa vijana wa kiume kujishebedua zaidi hata ya wanawake walioalikwa. Iwe jinai kwa sherehe ya aina yoyote yenye maudhui haya

    Generation ya vijana chapati haiwezi koma kama normalization ya namn hii inaendelea katika jamii.
  9. Yaani mwanamke akitaka attention ya vijana atapata tu

    Hapa hata wale waliotaka kuwahi kuondoka kwenye kikao wataendelea kusubiri tu. 🤣
  10. GE2025 Mkubwa akivuliwa nguo huchutama: CCM wazuieni vijana wenu wasijibu kwa mihemko, wanazidi kuharibu

    Kila mtu sasa ni lwake ndani ya chama! Walau mpaka jana usiku walikuwepo bado wachache wa kusema kitu.. Lakini si kuanzia usiku wa kuamkia Leo! This time limeongolewa jambo ambalo ccm katu wasingekubali kwa gharama yoyote ile liwekwe wazi.. Baada ya maonyo mengi na kutosikilizwa hatimaye Pole...
  11. L

    Shindano la uvumbuzi linaloongozwa na China laangazia vijana wa Kiafrika wanaoendesha mabadiliko endelevu

    Lavenda Chepkirui, mwanafunzi mwenye umri wa miaka 25 kutoka Chuo Kikuu cha Kabianga nchini Kenya, alipiga hatua kubwa ya kutimiza maono yake ya kubadilisha kilimo barani Afrika kwa kutumia suluhu rafiki kwa mazingira. Uvumbuzi wake, plastiki ya kwenye udongo inayoweza kuoza ambayo...
  12. K

    Nchi imegawanyika vijana vs wazee

    Vijana wa CCM wengi hawana hoja na wapo kwa maslahi. Wanao jielewa kama Polepole hata Gwajima sio mzee wanaongea. Lakini ukienda mfano Chadema wote wanaongoza ni vijana vijana tu. Ukienda kwenye mitandao ni vijana . CCM ni Kikwete, Mama na wana mitandao aka wapiga deal. Hapa tuna wajinga jinga...
  13. Vijana 149 wahitimu mafunzo ya Mgambo. Je ni maandalizi ya Uchaguzi?

    Vijana waliohitimu mafunzo ya jeshi la Akiba wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa wametakiwa kuishi kiapo walichoapa pamoja na kutumia vizuri mafunzo waliyoyapata katika kipindi chote Cha mafunzo ili kuendelea kuwa wazalendo. Hayo yameelezwa na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi, Peter Ambrosi Lijualikali wakati...
  14. Pornography imetengeneza impact kubwa kwa vijana. Ni kitu chenye matokeo ghali sana ila ni kirahisi na free kukiona kwa muda wowote

    Ninaamini kasi ya vijana wa kike na wa kiume kujihusisha na maadili yanayohatarisha ustawi wao, kwa kiasi kikubwa imetokana na mitandao ya porno za waszi wazi. Mfano ni ule mtandao wa rahatupu, uliokuwepo miaka kadhaa iliyopita, watu wengi leo wanazibuana mitalo kwa kasi sana kwa sababu ya...
  15. Vijana mmeona chakula cha role model wenu? CR7

    Vijana mmeona chakula cha role model wenu? Ronaldo amepost chakula chake kinachomfanya awe hivi mnavyomuona? Sasa igeni na hii!
  16. Meme: Vijana wapenda Slope mpo??? 🤣

  17. Vijana wa zamani tulitumia maneno tu

    Naam ni maneno tu yalitumika kupata mwanamke wa aina yeyote.... Ingawa wengine walijaaliwa vitu na pesa (mtama kwa watoto). Kwa vijana wa sasa hawana uwezo wa kumuimbisha mwanamke kwa maneno mpaka mwanamke akalegea.....kwa sasa wanatumia simu kutongozea aidha hawana ujasiri wa kuimbisha ana...
  18. S

    Fursa kwa vijana njenje EAPOC

    Rais Dk. Samia afungua fursa kwa vijana EACOP Na Mwandishi Wetu, Geita Serikali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan imezidi kuwajali vijana, baada ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko kuzindua Mpango wa Uwezeshaji wa Kiuchumi kwa Vijana (YEE), ambao unagusa maeneo...
  19. R

    GE2025 Said Soud: Nikiwa Rais Vijana wataoa kwa pesa ya serikali

    Mgombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Alliance for Africa Farmers Party (AAFP), Said Soud, amesema endapo atapata ridhaa ya Wananchi wa Zanzibar kuwa Rais, atatenga fedha maalum kwa ajili ya kuwapatia Vijana mahari ili waweze kuoa Soud amesema hayo Agosti 14, 2025 alipokuwa...
  20. Matukio ya vijana kujidhalilisha ,kuuza utu wao yanazidi kushamiri.

    Habari Jamii Africa. Mimi nipo Wilaya ya Rufiji,tarafa ya ikwiriri,sehemu ambapo ni headquarter ya mheshimiwa Mohamedi Omary Mchengerwa, Waziri wa Tawala za mikoa na serikali za mitaa (Tamisemi) Sasa Jana nikiwa hapa Ikwiriri maeneo ya Kaunta,Ilipo Radio ya Rufiji FM limetokea jambo la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…