vijana

  1. iamwangdamin

    JamiiForums Tanzania Viva vijana, viva Tanzania. Say no to wanaharakati

    Katika dunia ya sasa yenye msukosuko wa mawazo na taarifa zinazokuja kwa kasi, tunahitaji kukumbuka mambo ya msingi. Watu wanahitaji amani kuliko fujo, kwa sababu amani inatupa nafasi ya kuishi vizuri, kufanya kazi, kutafuta riziki, na kufurahia maisha bila hofu. Vijana tunahitaji mwelekeo...
  2. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hawatoshi kutufanya vijana tukavuruga Taifa letu

    Habari zenu wazalendo na wale wasiokuwa wazalendo!!? Naamini mpo salama kabisa. Sasa ipo hivi, vijana tunapenda sana mabadiliko. Lakini pamoja na kuhitaji mabadiliko, hatuhitaji kuvuruga nchi yetu kupata mabadiliko hayo. Hatuhitaji wanaharakati uchwara kutupeleka kwenye mabadiliko...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Shukran vijana wa Tanzania aka Gen Z kwa kugomea maandamano ya 9/12

    Kuyawekea Mgomo maandamano haramu yaliyotangazwa na wakazi wa nje ya TZ 9/12/2025. Hongereni vijana, mnastahili kikombe cha ushindi. Ushindi si wa TZ tu bali Afrika nzima. sasa hakuna tena wa kuwachezea vijana wa TZ. Kongole, kongole, kongole!!!! IQ kubwa, akili zilizotulia na za kuambiwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Halafu kesho unamtuma eti Waziri wa Vijana akaongee na vijana. Akaongee na wanajeshi na Polisi

    Sio huyo tu, hata Mwigulu hatumuhiraji nae aende makambini akaongee na wabeba bunduki. Hii ndio nchi iliokuwa inaitwa kisiwa cha amani leo inatawaliwa kwa mtutu wa bunduki. Ni aibu na fedheha tupu mbele ya walimwengu. Anyway, haya ndio matokeo ya kutawaliwa na viongozi haramu wasio na...
  5. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baba Levo: Nawasihi vijana msishiriki vurugu kuharibu amani ya nchi yetu, kwanini ushambulie jitihada za Rais Samia?

    Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando Maarufu Baba Levo amewasishi vijana na watanzania wa ujumla kuepuka kushiriki vurugu zozote zitakazoharibu amani ya taifa akieleza tayari Rais Samia tayari amehakikisha maendeleo ya Tanzania akitaja miradi ya huduma za afya na miundombinu ya SGR na bwawa...
  6. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa tuambie Bilioni 200 za vijana alizotoa Rais amezikabidhi kwa nani? Tunazipataje? Au mpaka tuvae nguo za kijani?

    Gerson Msigwa najua umeifungia JF na wewe huingiii humu ila mie napitia hapa hapa kukutaka useme wazi hizo bilioni 200 ziko kwa nani tuzifuate? Hizo ni Kodi zetu zirudi kwetu, au mpaka tuvae nguoza kijani tuonekane CCM tukakutane na vibaka walioajiliwa Halmashauri wakiongozwa na wakurugenzi...
  7. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa anatakiwa kutambua kuwa Serikali za awamu zote zimekuwa zikitoa fedha kwa vijana ila zinaliwa na UVCCM

    Leo nimemsikia Gerson Msigwa akiwa kwenye chombo Cha habari kimoja wapo anadai Mh RAIS Samia ameishatoa bilioni 200 kwenda kwa vijana Anachotakiwakutambua kuwa Serikali za awamu zote zimekuwa zikitoa fedha kwa vijana ila zinaliwa na UVCCM na vibaka wengine ndugu wa madiwani na wabunge feki wa...
  8. loose Nut

    JamiiForums Tanzania Vijana nawaombeni mniahidi mkichukua nchi kesho D9

    Mimi mzee wenu kijana wa zamani napenda kuomba msamaha kwa niaba ya vijana wa zamani kwenu Gen Z tulishindwa kupambana kuweza kuhalalishwa uvutaji wa bangi. Siyo eti tulikosea hapana, tulijaribu tukashindwa kwa nia nzuri tu. Hii kitu imetuuma sana vijana wa zamani. Waliotangulia walitamani...
  9. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wazee wa mila Serengeti watishia kulaani vijana watakaoandamana

    Wazee wa Mila Wilayani Serengeti, Mkoani Mara, wametoa onyo kali kwa Kijana yeyote atakayeshiriki maandamano, wakisema atatalaniwa na kutengwa na koo yake Wakizungumza mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Angelina Marco, Wazee hao wamesema Wananchi wa Serengeti wanategemea shughuli za Kilimo...
  10. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Yericko Nyerere: Vijana washauriwe kuepuka miito ya kupanga mapinduzi

    Yericko Nyerere unasema Samia hajavunja Katiba Je, katiba inamuelekeza kuuwa raia wake?, Je, Katiba inamuelekeza kukaa kimya juu ya utekaji? Je, hiyo Katiba inasemaje kuhusu haki ya Maandamano kwa wananchi? Tulia kijana tunaujua unaupiga mwingi upate angalau ka uteuzi kutoka kwa Samia...
  11. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mdau: Vijana mnapenda starehe mnapenda anasa, acheni!

    Mdau mwenye lafudhi ya pwani atoa maoni yake kuhusiana na tabia mbovu zinazofanywa na vijana wa kizanzibari
  12. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Serikali Inacheka, Watu Wanalia! Vijana Tumekosa Ajira, Lakini Mfumo Uko Tu Huko Ujinga!

    Hey wana JF, leo nataka tuongee ukweli mchungu kuhusu hali ya ajira kwa vijana na hizi system zenye kutufanya waogope zaidi kuliko ilivyo sasa. Serikali ya Tanzania imekuwa inajifanya kila kitu kipo sawa lakini ukweli ni kwamba vijana wengi wanateseka. Serikali inatupeleka wapi na hizi sera...
  13. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania 12. Kama vijana hawatamiliki nchi, nchi itawamiliki

    Kama vijana hawatamiliki nchi, nchi itawamiliki. Na mkiiachia iwaendeshe, haitawaendesha kama binadamu- itawaendesha kama mizigo. Kama gunia la mahindi lisilopiga kelele. Hayo ndiyo mmeanza kuyaona sasa. Na bado mnafikiri ni kisiasa. Bado mnafikiri CCM au CHADEMA au ACT ndo watakuja kuwaokoa...
  14. U

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Viongozi watambue Gen Z sio vijana wa Mwaka 47, waache ‘siasa za kizamani’

    Tanzania ipo katika zama ambapo Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ni kiini cha mijadala ya Kisiasa, uwajibikaji na matumizi ya haki za kiraia. Takwimu za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) zinaonesha kuna ongezeko kubwa la watumiaji intaneti nchini, kufikia robo ya kwanza ya...
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Waziri wa vijana wiki mbili tu ushakimbia ujana kwa spana.

    Yule jamaa ukisikiliza mada zake unaweza kujua katoboa kumzidi Bakharesa na matajiri wengine kwa zile kanuni zake. Si unajua siku hizi umaarufu ndio unapewa idara kwa serikali ya CCM. Sijui kapotelea wapi?.
  16. S

    JamiiForums Tanzania Aviator itanitoa roho, Tafadhali serikali ingilieni kati vijana twafa

    Hello guys, Moja kwa moja, kwenye mada naiomba serikali itusaidie sisi vijana kwa kuifungia mchezo wa Aviator. Vijana wa chuo wanashindwa kulipa ada kwa sababu ya aviator, hata kununua nguo kwa vijana imekuwa changamoto. Tafadhali serikali sisi hatuwezi bila msaada wenu. Mkitusaidia katika...
  17. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Vijana Ndugu Nanauka akishindwa kuzuia D09 Afutwe Kazi

    GTs, Samia tangu amteue Nanauka kuwa waziri wa vijana sijaona alichofanya zaidi ya kucheza bao na wahuni aliowakodisha. Yaani badala ya kuamrisha yafuatayo; 1. Kuhakikisha vijana hawatekwi tena 2. Kuhakikisha vijana wote waliofariki maiti zao zinapatikana 3. Kuhakikisha vijana wote...
  18. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa ndizo sababu hasa zilizopelekea vijana wa kitanzania kuandamana.

    Pamoja na kuteua tume ya mchongo itakayo kuja na majibu ya uongo ili muendelee kuudanganya umma na kujisafisha. Tambueni umma wa sasa sio wa miaka ya uhuru hili mulielewe kabisa na umma wa sasa umewakataa. Baada ya hayo tambueni hizi ndio hoja za msingi za vijana. Kukithiri kwa vitendo vya...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baada ya serikali kupinga maandamano haramu vijana vichwa ngumu mkaandamane UN itawsaidia kulea wake na watoto wenu

    Tanzania inaendeshwa kwa mujibu wa Sheria na kanuni . Kuandamana ni haki ya kila Mtanzania ila ni haki ya serikali kupinga au kukataa maandamano kwa sababu za kiusalama na kijamii. Hakuna serikali itakayotoa kibali cha maandamano ya kuiondoa serikali husika. Mngetaka kuiondoa mngepiga kura na...
  20. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Picha: Vita ya Vijana na Wazee

    Baada ya Wazee kuhudhuria mkutano wa Rais Samia na kuonyesha kumuunga mkono kwa kupiga makofi na vigeregere kwa kila aliloongea. Vijana wameamua na wao kutowaunga mkono wazee kwenye madaladala.
Back
Top Bottom