Sisi kama vijana tumevumilia changamoto hii kwa muda mrefu sana. Tumekuwa tukinyamaza, tukifanya kazi, tukijaribu kusukuma maisha, lakini kwa kweli mambo yamezidi kupindukia.
Tumefikiria sana, tumeumizwa, tumelia kimya kimya, tumefanya kila juhudi iwezekanavyo—na sasa tumefikia hatua ya kusema...
Polisi wamechoka kuwavumilia nye mazombi. Wamelalamika chinichini imetosha. Nye nye wachukiwe wao na ndugu za kisa matumbo yenyu hehee. Hamtawatumikisha tena walahi. Wanaenda kujikomboa. Mwawapiganisha na raia Nye mwachekelea kwe mavinane hee. Mwawalipa bei ngani mpaka wawaue ndugu zao. Mayi...
Ni kujitoa ufahamu na kukosa akili viongozi wa CCM, watawala, BAKWATA na machawa wao wengine wengi kupayukapayuka kwamba vijana wanaharibu wanaharibu nchi na kufuata mkumbo tu kwa kurubuniwa katika harakati zao za kudai haki, kupinga dhuluma na kutaka uwajibikaji.
Wanaoharibu nchi hii ni CCM na...
Wakuu, nimeona niweke hili wazi kabisa kwa sababu mambo yanayojitokeza mitandaoni na mtaani si ya kubeza.
1. Kila mtu anapenda kuona mabadiliko na maendeleo, lakini hakuna kinachojengwa kwenye vurugu. Historia imeonyesha mara zote: fujo zikianza, wa kwanza kuumia ni vijana wenyewe.
2...
“Tunaapa kuilinda nchi hii na mipaka yake, kulinda usalama wa raia na mali zao. Na katika hali hiyo, nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo.” - Rais Samia Suluhu akizungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam
1.Usafiri 10,000
2.Chumba Lodge 30,000
3.Chakula + Vinywaji 30,000
4.Asante Kwa Kuja 50,000
Jumla 120,000 Brother Unaongeza Umasikini Tu Nyumbani Mpe Mke Hii 120,00 Uone Utakavyo Ombewa Na Kupata Zaidi Na Zaidi.
Swala la vijana wa Gen Z kujihusisha na matumizi ya silaha pamoja na nia ya kuharibu Uchumi wa Taifa kama taarifa hii ilivyotolewa na Jeshi la Polisi inadhihirisha kuwa vijana hawa ni wahalifu na sio waandamanaji wala wazalendo wa Taifa lao
Hakuna mzalendo wa Taifa lake anayepigania haki kwa...
List ni ndefu na vichwa ni vingi.. Nina heshima kwa wengine pia nimeona juhudi zao, uwezo wao, maono yao na michango yao.. Kwa hakika ya moyo nimewapa salute yangu kubwa
LAKINI naomba niwatambue hawa wawili kama majasiri waongoza njia... Chavala na Kabil
Wamekuwa ni chachu kubwa kwa vijana wa...
(Hii ndiyo sehemu wanayoogopa watu kuitaja hadharani - leo tunaifungua kama pochi ya mama lakini siyo Mama Omary Atakuua ...Aaaah kwanza hana pochi anafunga kwenye kitenge anamambo ya kizamani)
Vijana Ni “Tishio” Kwa Mfumo Wowote Unaoishi Kwa Mabavu ya Kiuchumi
China, Urusi, Marekani, canada -...
Inabidi viongozi kujua kuwa approach ya ku-deal na kizazi cha sasa haiwezi kuwa kama ya zamani.
Hii ni aina flani ya advocacy inafanywa kwa namna inayochekesha lakini inafikisha ujumbe kwa watawala!
Una videos zaidi? Share!
Duniani kote, taasisi ni mahali pa kujenga watu, kuunda fikra, kutengeneza ndoto, na kuibua vizazi vinavyokuja kubeba uchumi.
Lakini kambi ni mahali pa kuamrishwa, kukaa kimya, kutii bila kuuliza, kutumika bila kuulizwa.
"JKT ilizaliwa kama Taasisi. Mfumo uliigeuza Kambi."
Hili ndilo kosa la...
Hassan Ghazaly, Mmisri na mwanachama wa Kamati ya Mawasiliano ya Mfuko wa Ukaguzi wa Maridhiano wa Afrika (APRM) na Mwanzilishi wa Mtandao wa Mshikamano wa Kimataifa, amekabidhi matokeo ya Mkutano wa Tano wa Vijana wa Afrika uliofanyika Afrika Kusini kwa Mheshimiwa Dada Morero, Meya wa Jiji la...
Inawezekana tunajiuliza vijana wetu wametoa wapi hulka za ajabu ajabu? Jibu ni kuwa tumeiuwa taasisi ya familia kupitia ratiba mbovu za shule hususani english media.
Watoto wanakesha shule lakini wengi wa walimu wametoka nje ya nchi wamekuja kutufundishia mambo ya ajabu kwa watoto wetu.
Wizara...
Rais Samia ameyaongea hayo leo Disemba 2, 2025 wakati akiongea na Wazee wa Dar es Salaam akiongelea yaliyotokea siku ya Uchaguzi na yanayoendelea mitandaoni na mitaani akisema matukio hayo yamewapa Serikali funzo kuwa vijana wa Tanzania hawana elimu ya uzalendo na ndiyo maana serikali imeamua...
Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wamewasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), kwa ajili ya kumsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan ambaye anatarajiwa kuzungumza nao leo Desemba 2, 2025.
Mbali na hilo, Rais Samia atatumia jukwaa hilo kulihutubia Taifa juu ya masuala...
Mtake msitake, walio andamana ni vijana na walikuwa na mahitaji Yao
Tunakubali umeunda tume kweli nchi hii hatuna wawakilishi wa vijana wangekuwa kwenye tume hiyo Ili wazungumze nasi?
Ebu muulize IGP Mwema enzi akiwa IGP aliwai kutana na vijana wangapi walio nje ya Jeshi la POLISI na...
Shuhudia Wananchi Jijini Dar es salaam wakipinga kwa umoja kushiriki maandamano yanayotajwa kupangwa Disemba 9 mwaka huu na kama inavyosambazwa hapa mitandaoni ambapo tunashuhudia viasharia kulingana na waratibu kusambaza taarifa hizo baada ya kile kilichotokea Oktoba 29 .2025
Wakiwa kwenye...
Walahi washajaa kwenye mfumo hawa. Hehee! Walahi sikujua ingejuwa hivi Nye Nye. Vijana morali iko juu mawinguni. Waasubiri Siku ya Jambo lao.
Sasa huyu samuya Kesho naambiwa anaenda kutoa bonge la boko walahi yachekesha si mazuri. Yaani waambiwa hutuba yake itawatia ndimi gen z. Boko kama...
Anasema kusema vijana wamenunuliwa ni makosa na kuwakosea sana. Anasema vijana si wajinga kiasi hicho.
Ingawa, anaona kusema wamehamasishwa hilo halina mjadala kwani kulikuwa na uhamasishaji kabla ya Uchaguzi.
"Kusema vijana wamenunuliwa ili kuandamana si sahihi, wamehamasishwaje hiyo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.