Vijana wa zamani tulitumia maneno tu

Vijana wa zamani tulitumia maneno tu

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
13,062
Reaction score
15,134
Naam ni maneno tu yalitumika kupata mwanamke wa aina yeyote....

Ingawa wengine walijaaliwa vitu na pesa (mtama kwa watoto).

Kwa vijana wa sasa hawana uwezo wa kumuimbisha mwanamke kwa maneno mpaka mwanamke akalegea.....kwa sasa wanatumia simu kutongozea aidha hawana ujasiri wa kuimbisha ana kwa ana.....pengine hii inachangia kubomoa nguvu za kiume.....VIJANA MPOOO
 
Vijana wa siku izi ni uchawa, visungura, kubeti hizo nguvu za kiume wazitolee wapi ?!!
 
Technologies imerahisisha why vijana tuangaike,tupo different generation mzee,mademu mwenyewe hawataki kuonana na kutongozana live utasikia we niambie shida yako kwenye simu
 
Kumuimbisha mwanamke tena ambaye katiba inamtambua ni mtu mzima mwenye akili njema na timamu ni sanaa tosha ya mtu mwenye kichwa kinachochanganua mambo vizuri.Sasa mtu wa leo ambaye ni kizazi cha mapooza ataiwezea wapi sanaa hiyo na amezoea ku-google?
 
Naam ni maneno tu yalitumika kupata mwanamke wa aina yeyote....

Ingawa wengine walijaaliwa vitu na pesa (mtama kwa watoto).

Kwa vijana wa sasa hawana uwezo wa kumuimbisha mwanamke kwa maneno mpaka mwanamke akalegea.....kwa sasa wanatumia simu kutongozea aidha hawana ujasiri wa kuimbisha ana kwa ana.....pengine hii inachangia kubomoa nguvu za kiume.....VIJANA MPOOO
Kumbuka wanawake hao wa kipindi hicho hata ukimgusa shingo tu analoa, hawa wa siku hizi hata ukitekenya hawastuki.

Kila zama na mbinu zake bwashee
 
Hakuna kitu..
Vijana wa zamani tulipigina na kuchomana visu na watesi wetu wanaosaradia mademu wetu......
Maana ilikuwa hakuna mwenye hela za kushindana zaidi ya domo, kwa hasira za kuimbisha halafu mpuuzi mwingine aje kukuzidi ilikuwa ni dharau kubwa sana.....
 
Back
Top Bottom