Yaani mwanamke akitaka attention ya vijana atapata tu

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
10,736
Reaction score
34,101
Hapa hata wale waliotaka kuwahi kuondoka kwenye kikao wataendelea kusubiri tu.
🤣

Screenshot_20250822-093139~2.jpg
 
Niondeke niende wapi? Niwahi nn? Na kwa nn? Wakati kumekaa uzur penyewe
Nyie ndiye mnapotosha kina dada wa siku hizi. Wakisoma comment kama hizi huwa wanadhani makalio ndiyo uzuri wa mwanamke hivyo wale wenye makalio makubwa wanaishia kuharibikiwa maisha wakidhani ni wazuri. Matokeo yake hawaolewi au wakiolewa ndoa hazidumu wakidhani wana thamani sana. Hawajiulizi mbona wanawake wasio na makalio makubwa ndiyo wanaongoza kwa kuolewa?
 
Wewe usiye ona uzuri kaa hivyo hivyo na waoa wanaoona uzuri waache
 
Nyie ndiye mnapotosha kina dada wa siku hizi. Wakisoma comment kama hizi huwa wanadhani makalio ndiyo uzuri wa mwanamke hivyo wale wenye makalio makubwa wanaishia kuharibikiwa maisha wakidhani ni wazuri. Matokeo yake hawaolewi au wakiolewa ndoa hazidumu wakidhani wana thamani sana. Hawajiulizi mbona wanawake wasio na makalio makubwa ndiyo wanaongoza kwa kuolewa?
Wenyewe wanapenda sifa na ss tunawapa watupeešŸ˜…
 
Uondoke kwani kamaliza kusoma taarifa? Yaani unaona kabisa mdada anasoma HOTUBA we unaondoka, huoni ni utovu WA nidhamu ?
 
Back
Top Bottom