vijana

  1. JamiiForums Tanzania TBT nikiwa chuoni: Vijana wadogo, hakuna Msichana mgumu wala usinunue dawa za mvuto...

    Kwa vijan wengi, Maisha ya vyuoni ndio huwa maisha ya kuishi kwa uhuru kwa mara ya kwanza, Ndicho kipindi vijana wengi hutilia mkazo swala la kutafuta wachumba. Na nisikudanganye, zamani bila kutumia ujanja unaweza ondoka chuoni hujawahi kuwa na dem, sijui kwa ikuhizi. Mabinti wengi wa vyuoni...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Buhari awataka vijana wa Nigeria wawe na adabu

    Mzuka wanajamvi! Rais mkakamavu wa Nigeria ambaye apendi upuuzi Ndugu Mohamodou Buhari amewaonya vijana wa Nigeria wawe na adabu na nidhamu kama wanataka kazi/ajira na kuajiriwa. Buhari akizungumza kwenye Arize TV alisema usalama ni muhimu kwa uwekezaji nchini ambapo ukosefu wa ajira umepaa...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia, zungumza mambo haya 10 na vijana wa Kitanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ameahidi kuzungumza na vijana wote wa Tanzania kupitia vijana wa mkoa wa Mwanza. Hii ni fursa kubwa kwa Raisi kuweza kusikia kutoka kwa vijana, lakini pia kuwashirikisha vijana wa Tanzania mwelekeo wake na mategemeo yake...
  4. JamiiForums Tanzania Sheria ziwaongoze vijana katika kufanya maamuzi

    SHERIA ZIWAONGOZE VIJANA KUFANYA MAAMZI YA NAFASI ZAO. Vijana wengi wamekuwa wakiaminiwa kwenye serikali na vyama vyao vya siasa tangu nchi hii ilipopata uhuru. Imani hii kwao inatokana na ukweli kwamba hata msingi wa uhuru wa nchi hii ni matokeo ya Umoja wa Vijana walioamua kuungana na...
  5. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kushiriki kuhudhuria mkutano (hotuba) ya kiongozi wa Serikali

    Wanajamii Forum ________________ Ninaomba kama kuna mtu anaweza akawa na idea kuhusu namna ya kushiriki kikao, mkutano ama shughuli yoyote ya kiongozi wa kitaifa Mfano Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nk... Mfano kuna taarifa kuwa hivi...
  6. JamiiForums Tanzania Mawazo mchanganyiko juu ya kuongeza ajira kwa vijana

    Nchi nyingi duniani zinakabiliwa na janga la ukosefu wa ajira kwa vijana,mfano nchi ya Nigeria ambayo nusu ya watu wake ni vijana wenye umri kati ya miaka 15-35 inakabiliwa na ukosefu wa ajira ya zaidi ya vijana 11.1 milioni. Halikadhalika nchi za Afrika ya Kusini, Kenya, Uganda na zingine...
  7. JamiiForums Tanzania Waambieni vijana wenu wanaosoma kuwa hakuna u-genious bila juhudi binafsi

    Vijana wengi wanaosoma husema fulani genius anafaulu sana, huku wakiamini kashushiwa na Mungu huo uwezo. Nimewapiga stop ndugu zangu wasiamini hii nadharia. Waambieni kuwa ugenius hauji bure bure tu unakuja kwa juhudi haswa tena juhudi. Niliwahi kuwaambia ndugu zangu kuwa mtaalamu aliyekuwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani Umoja wa Vijana wa CCM

    Miaka ya huko nyuma Umoja huu wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) ulisifika sana kwa kuandaa viongozi bora , wenye weledi na uongozi, wenye maarifa, uzalendo na nchi yao, wachapa kazi na wenye misingi ya haki, utu na maadili ya kutosha mfano wa ni pamoja na Waziri Mwandamizi wa siku nyingi...
  9. JamiiForums Tanzania Bank kuu yamwaga Ajira kwa vijana wenye Sifa

    Fungua PDF Mnaosemaga GPA si Chochote mjionee wenyewe.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mawasiliano ya kiutamaduni kati ya China na Afrika kupitia filamu yaleta tija ya ajira kwa vijana

    Mwingiliano wa utamaduni kati ya China na Afrika hivi sasa umekuwa mkubwa sana. Ni kutokana na maingiliano haya ndio maana pande hizi mbili zimekuwa zikifahamu baadhi ya tamaduni za pande zote mbili. Sote tunafahamu kwamba utamaduni umejikita na kuonekana kwenye mambo mbalimbali, yakiwemo lugha...
  11. JamiiForums Tanzania Vijana tuliobaki benchi tujifunze kwa wanaotumbuliwa

    Wanabodi, Hakuna mwanadamu aliyekamilika kabisa hapa duniani. Hivyo nawaomba vijana wenzangu tujifunze kujikubali kwa kujikosoa na kukubali kwamba hata sisi tuliwahi kufanya makosa au madudu ambayo yalisitahili adhabu kabisa, lakini kwa sababu ya Kona tuliyofanyia madudu yetu hayo haikuwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Vijana tuache tamaa, tujifunze uaminifu

    Najua ndio muda wetu wa kutafuta, lakini si kila fursa inayopita mbele yako lazima ufanye ujanja ujanja ili ufaidike. Jifunzeni kujenga uaminifu kwa watu hasa msiowajua. I hate untrustworthy people.
  13. JamiiForums Tanzania Tuipigie chapuo bangi (marijuana) bunge likubali kuwa zao la biashara

    Habari wadau..! Najua humu ndani kuna greater thinkers wengi ,kama jambo tutalipitisha hapa basi bungeni watalitafakari kwa kina. Nchi nyingi duniani zimehalalisha matumizi ya bange na wanatengeneza pesa ndefu sana . Kwa kwetu pamba,korosho ,kahawa naona zinasuasua kwa nn basi tusipigie...
  14. JamiiForums Tanzania Eti vijana mjitolee

    Umemaliza Chuo 2014..... Una mzigo mkubwa wa Deni la HESLB... Kuna mtu analipwa milioni 10 kwa mwezi anakuhubiria ujitolee ndo akuajiri..... Au Umesomeshwa kwa mkopo mama kakopa akitegemea umalize uajiriwe umsaidie kulipa madeni,biashara riba imekula hujaajiriwa mwaka wa sita uko tu mtaani...
  15. JamiiForums Tanzania Ni mambo gani ambayo wazee wa kitanzania hujutia na hawataki vijana nao yawatokee?

    Habari wakuu. Kawaida ya binadamu umri ukienda huanza kutathmini maisha yao na kuanza kujutia baadhi ya mambo na kusema ninge. Ni mambo gani ambayo wazee wa kitanzania hujutia sana na wangependa vijana wawe tofauti? Si wazee tu, hata wewe kama kunajambo unafikiri ulitakiwa kulifanya tofauti...
  16. X

    JamiiForums Tanzania JKT yatangaza majina ya vijana waliohitimu Kidato cha Sita 2021 wanaotakiwa kujiunga na JKT kwa Mujibu wa Sheria

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limechagua vijana waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita kwa mwaka 2021, kutoka shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria. Vijana waliochaguliwa wamepangiwa katika kambi za JKT Rwamkoma - Mara, JKT Msange - Tabora, JKT Ruvu...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ni kweli hakuna vijana unaowaamini?

    Ni Jambo la kawaida Sana kuwa kiongozi hujaribu kuwaweka karibu watu anaowamini Sana na akitegemea matokeo chanya Toka kwao. Mh.Rais kumbuka kuwa asilimia kubwa ya watanzania kwa sasa ni vijana, wanahitaji kupewa nafasi za uongozi ili kuleta tija na msukumo mpya katika utendaji wenye ufanisi...
  18. JamiiForums Tanzania Ni bora kuwastaafisha wafanyakazi mapema wakajiajiri kuliko kuwaambia vijana wasio na mtaji wajiajiri

    Wanasiasa waache kutumia lugha za kukariri kuwaambia vijana wajiajiri hafu hawana mtaji kuna haja ya wafanyakazi wa Serikali kufanya kazi miaka 10 tu na baadaye watakuwa na mtaji wa kuja kujiajiri na kuajiri kundi kubwa la watu wasio na ajira Badala ya kukaa miaka 30 au 40 kazini mwisho iwe...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wengi wa CCM wanatetea siasa chafu za Sabaya?

    Vijana wengi hasa wasio na ajira waliingia CCM sio kwa kukipenda chama bali kutafuta ridhiki na ajira za upendeleo ndani ya chama na serikali, huku role models wao wakubwa wakiwa akina Makonda, Polepole, Hapi, Mwigulu, Gambo, Sabaya, Murro, Shaka, Musiba, Habibu na wengine wengi. Mienendo na...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa udogo wa eneo la Israel na Palestina kwanini tusiwapeleke JWTZ kutuliza ghasia?

    Israel na Palestina kwa sasa wapo vitani ila ni watu wachache sana kwenye eneo dogo sana, eneo lao linaingia mara 40 kwa Tanzania, eneo lao hata kwenye ramani ya dunia kama una matatizo ya macho inabidi uvae miwani. Nmefikiria nmeona hata vijana wetu walio fiti wa jeshi letu wakienda huko sio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…