Vijana sisi ni watu wenye nguvu sana katika Historia mambo mengi makubwa yalifanywa na watu wakiwa katika umri wao wa ujana mfano hao kina Malcom X, Marcus, Martin Luther, Mandela, Nyerere na wengineo Historia inawazungumzia mpaka leo kwasababu ya waliyoyafanya wakiwa vijana at their 20's and 30's.
Sisi Vijana wa leo wa Kitanzania tumekuwa very passive kazi yetu ni kuyapokea yanaletwa kwetu kama yalivyo ni vijana hatuna muda wa kukaa na kutafakari na ku come up with concrete thing.
Hatupo tayari kuleta madaliko ama mabadiliko we have been very Conservative na mambo tuliyoyakuta kwa wazee wetu.
Okay, naomba niongee na vijana graduates ambao mmemaliza Chuo miaka kwa miaka imepita bado mpo tu mnahangaika na bahasha zenu mnashindwa kuzisaidia familia zenu as far as familia za Kibongo are concerned, with your degree or diploma lakini huwezi kusaidia chochote kwenye familia zaidi ya kulalamika hali ngumu kila siku.
Nizungumze na wewe ambaye siku hizi hufanyi biashara tena kama awali unalalamika vyuma vimekaza, vimekaza.
Nizungumze na wewe ambaye umeajiriwa kila siku unalalmika mshahara haupandi una kazi na una stress kama mshahara hautoshi, tusubiri haya yatabadilika automatically eti.