Afghanistan: Kaimu Waziri Mkuu asema Uongozi wa Taliban umekidhi vigezo, utambuliwe kimataifa

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Mullah Hasan Akhund anayekaimu nafasi ya Waziri Mkuu wa Nchi hiyo amesema Utawala wa Taliban umekidhi vigezo vyote hivyo itambuliwe na Serikali za Kimataifa

Akhund ameeleza hayo katika hotuba yake ya kwanza tangu akaimu nafasi hiyo Septemba 2021. Serikali zimekuwa zikisita kuitambua #Taliban tangu ichukue Madaraka, hali iliyopelekea kusitishwa utoaji Mabilioni ya Fedha za Ufadhili

======

Afghanistan's acting prime minister, Mullah Hasan Akhund, on Wednesday called for international governments to officially recognise the country's Taliban administration, saying at a news conference in Kabul that all conditions had been met.

"I ask all governments, especially Islamic countries, that they should start recognition," Akhund said, in his first major public broadcast appearance since he assumed the role in September.

Foreign powers have been reluctant to recognise the Taliban administration which took over Afghanistan in August while Western nations led by the United States have frozen billions of dollars worth of Afghan banking assets and cut off development funding that once formed the backbone of Afghanistan's economy.

Source: Reuters
 
Waweke serikali isiyo na dini ila raia wawe na dini na waache kuonea Mama zetu shenz type
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom