Naomba kufahamishwa vigezo vya kupanga timu (standings)

Mkazamoyo

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
1,257
2,068
Wakuu kuuliza si ujinga je ni vigezo gani hutumiwa na hizi app zinazoenesha livescore (sanasana flashscore) kupanga msimamo wa ligi pale timu zinapokuwa hazijacheza hata raundi moja Yaani zote zina game played 0 na point0? Niimeuliza hivi baada ya kuona msimamo wa ligi yetu kwa msimu mpya ujao unaonesha kwenye top 5 ni

1. Young Africans
2. Simba
3. Azam
4. Mtibwa
5. Mbeya city
then kule mkiani ni
13. Geita gold
14.Namungo
15. Dodoma jiji
16. Mbeya kwanza
But kwa app zingine hupanga kwa alphabetical order ambapo utaona azam, biashara na coastal wanaongoza then kule mkiani unawakuta wakurungwa wa kariakoo simba na yanga wananing'nia
Hii niliona pia kwa ligi zingine kama vile EPL and others

Je, hawa flashscore wao hutumia kigezo kipi haswa? Wajuzi karibuni
 
Back
Top Bottom