vifo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) Elishilia Kaaya amefariki dunia

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), Elishilia Kaaya amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi. Alikuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya AICC jijini Arusha.
  2. JamiiForums Tanzania COVID-19: Urusi yarekodi idadi kubwa zaidi ya vifo tangu kuanza kwa mlipuko

    Taifa hilo limerekodi vifo 697 vya COVID-19, idadi ambayo imetajwa kuwa kubwa zaidi kuripotiwa ndani ya siku moja tangu kuanza kwa mlipuko. Aidha, Mamlaka pia zimerekodi maambukizi mapya 24,439 huku 7,446 kati ya visa hivyo vikitokea Mji Mkuu wa Moscow. Ongezeko la maambukizi limetajwa...
  3. JamiiForums Tanzania Joto lavunja rekodi Canada, vifo kadhaa vilivyotokea ghafla vyaripotiwa

    Wakati hali ya joto ambayo imetajwa kuvunja rekodi ikiendelea Nchini Canada, Polisi huko British Columbia imepokea ripoti za takriban vifo 70 vilivyotokea ghafla tangu Jumatatu. Imeelezwa, wengi kati ya waliofariki dunia ni Wazee na joto lililopo katika eneo hilo limetajwa kuchangia kwenye vifo...
  4. JamiiForums Tanzania Mamlaka Nchini Zambia zahofia ongezeko la vifo vya COVID-19

    Mamlaka za Afya Nchini Zambia zimeeleza wasiwasi wake juu ya ongezeko la vifo vitokanavyo na Virusi vya Corona wakati huu ambapo Taifa hilo linapambana na wimbi la Tatu la Maambukizi Waziri wa Afya, Dkt. Kennedy Malama amesema vifo 407 vimeripotiwa ndani ya wiki tatu za wimbi hilo. Jumla ya...
  5. JamiiForums Tanzania Brazil: Vifo vitokanavyo na COVID-19 vyafikia 500,000

    Idadi ya waliopoteza maisha kutokana na mlipuko wa Corona Nchini Brazil imefikia 500,000 huku Wataalamu wakionya janga hilo linaweza kuwa baya zaidi kutokana na kasi ndogo ya utoaji Chanjo Maelfu ya watu wameandamana Jumamosi dhidi ya Serikali wakitaka mabadiliko katika programu ya Chanjo. Miji...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nadharia iliyoshiba kuhusu vifo na wendazao

    Mabibi na mabwana zimekuwapo nadharia nyingi na zingine nyepesi nyepesi kuhusiana na vifo na wendazao. Mtumishi huyu wa Mungu katika udadavuzi wake kwa hakika ana hoja za msingi: Kwamba pana vifo vya aina 4: 1. Uzee (wa miaka ma Mia wako hapa) 2. Vya kusababishwa na kusababishiwa (wa kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Magonjwa yasiyoambukiza huchangia theluthi mbili ya vifo

    IMEBAINISHWA kuwa magonjwa yasiyoambukiza kama kisukari, saratani, moyo na mfumo wa njia ya hewa husababisha theluthi mbili ya vifo duniani. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Idara ya Afya ya Jamii na Lishe wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), Dk.Ray Masumo wakati akifungua semina...
  8. JamiiForums Tanzania Chimala: Basi la Isamilo lapata ajali, linadaiwa kusababisha vifo 3

    Nimesikia taarifa ya ajali ya Basi la Kampuni ya Isamilo kutoka kwa kanda ya Ziwa kwenda Mkoani Mbeya majira ya kati ya saa Tisa na saa kumi alfajiri baada ya kupita kidogo Chimala. Iasemekana kuna vifo vya watu 3 akiwemo katoto kadogo, hatuji chanzo cha ajali lakini najiuliza hawa madereva...
  9. JamiiForums Tanzania Wakati Namibia wakipewa fidia ya € 1 bln, Tanzania inafanya nini kudai fidia ya vifo vya halaiki vya vita ya Maji Maji?

    Maji Maji in light of Namibia genocide SATURDAY MAY 29 2021 National Archives of Namibia, Windhoek. Historian Jürgen Zimmerer is one of the most respected experts in German colonial history. Photo by Kettengefangene Dar es Salaam. The memories about Maji Maji rebellion emerged among some...
  10. JamiiForums Tanzania Familia za VIP's Tanzania tafadhali muwe mnawahi ' Kukanusha ' taarifa za Kuzushiwa 'Vifo' Ndugu zenu kuliko Kuzinyamazia tu

    Kuendelea tu Kunyamaza Kwenu kama sehemu ya ( za ) Familia ni kutoa mwanya kwa Wazushi na Wambea ' Kutudanganya ' Watanzania na kuanza kuishi kwa Taharuki ( Wasiwasi ) kitu ambacho nakiona kama vile hakina Ustawi Kwetu. Ila GENTAMYCINE huwa nikisia Taarifa za chini chini ( za Uzushi ) kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya wanadamu wanahusika na vifo vyetu

    Kuna Mambo mawili unayotakiwa kuyajua rushwa, ma drugs na mabiashara yote haramu yanaendeshwa na watu kuuza mpaka viungo na mauaji yote anayofanya ni mwanadamu. Lengo kubwa ni watu Wapate karatasi inayoitwa hela hivyo unajikuta umetumbukia pabaya. Tunalishwa sumu, makapi, vitu vilivyo expire...
  12. JamiiForums Tanzania Utafiti: Inaripotiwa kuwa vifo zaidi ya 7,000 hutokana na miandiko mibaya ya Madaktari

    Kulingana na tafiti ya the Institute of Medicine (IOM)- 2006, majeruhi 1.5 million kila mwaka hutokana na wafamasia, waudumu wa afya kushindwa kusoma maandiko ya madaktari. Vifo zaidi ya 7000 hutokana na mgonjwa kupatiwa dawa isiyo sahihi tofauti na maelezo ya madaktari. Muda mwingine hata...
  13. JamiiForums Tanzania UN: Vifo 745,000 vimetokona na kufanya kazi sana

    Utafiti wa Shirika la Afya duniani WHO, na la kazi duniani ILO unaonesha kufanya kazi kwa muda mwingi katika kipindi cha mwaka 2016, kumechangia vifo 745,000. Katika utafiti weao huo, mashirika WHO na ILO kwa pamoja yanakadiria watu 398,000 wamekufa kutokana na ugonjwa wa kiharusi na 347,000...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Vifo vya Mabina wa CCM na Mawazo wa Chadema vilikuwa vya kinyama sana, baadhi ya maeneo watu ni makatili sana!

    Nakumbuka aliyekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza mzee Mabina aliuawa kwa kupigwa mawe. Kadhalika aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Geita Alphonce Mawazo aliuawa kama jambazi. Hii dunia kuna binadamu makatili jamani. Eid Mubarak!
  15. JamiiForums Tanzania Gaza: Mashambulizi ya makombora yaendelea, Idadi ya vifo vya Wapalestina yafikia 122

    Mashambulizi ya maroketi yameendelea siku ya Ijumaa kati ya Israel na Palestina, huku idadi ya vifo na majeruhi pamoja na uharibifu wa mali vikiongezeka. Israel imeendelea kufanya mashambulio katika ukanda wa Gaza ikipuuzia wito wa Jamii ya Kimataifa wa kusitisha mashambulizi, ikisababisha vifo...
  16. JamiiForums Tanzania New Zealand kupiga marufuku uuzwaji wa sigara na bidhaa za tumbaku kwa Mtu aliyezaliwa baada ya mwaka 2004

    New Zealand ipo kwenye mchakato wa kupiga marufuku uuzwaji wa sigara na bidhaa nyingine za tumbaku kwa Mtu yoyote aliyezaliwa baada ya mwaka 2004 Ni juhudi za kuondokana kabisa na matumizi ya sigara ikiwezekana hadi kufikia 2025 Mtu yeyote asivute sigara Nchini humo. ================= New...
  17. JamiiForums Tanzania Mkuranga: Serikali yakifunga Kiwanda cha Nondo kutokana na vifo vya Wafanyakazi wawili

    Mkurugenzi mkuu wa Baraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (Nemc), Dk Samuel Gwamaka amekifunga kiwanda cha nondo cha Fujian Hexingwang kwa sababu hakina mazingira mazuri ya watu kufanya kazi. Hatua hiyo imetokana na vifo vya wafanyakazi wawili wa kiwanda hicho kilichopo Wilaya ya Mkuranga...
  18. JamiiForums Tanzania CoronaVirus Brazil: Vifo vyafikia 400,000. Uungwaji mkono wa Rais Bolsonaro waporomoka

    Idadi ya vifo vinavyotokana na Ugonjwa huo imezidi 400,000. Nchi hiyo ni ya pili duniani kurekodi vifo vingi zaidi huku ikiendelea kupambana na mpango wake wa utoaji Chanjo. Ndani ya saa 24 zilizopita vifo 3,001 vimerekodiwa. Bunge la Nchi hiyo limeanza uchunguzi kuhusu namna Serikali...
  19. Y

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Awamu ya Sita wekeni taa Uwanja wa Ndege wa Bukoba, msisubiri vifo na majanga

    Chonde Chonde Serikali ya Awamu ya 6 wekeni taa katika uwanja wa ndege wa Bukoba, msisubili vifo na majanga yatokee ndiyo taa hizo ziwekwe. Tatizo hili limekuwa la muda mrefu na sijui tatizo liko wapi, ambapo uwanja wa ndege wa Bukoba ni kati ya viwanja vichache nchini vyenye habiria wengi na...
  20. JamiiForums Tanzania Vifo vingi vya Marais wa Kiafrika vinatia mashaka

    Angalia Laurent Kabila alivyouawa, mlinzi wake Rashid Kasereka, ambaye baadaye alipigwa risasi na Col Eddy Kapendi. Ni kama mchezo wa kuigiza. Maana inasemekana Rashid alikuwa anasubiriwa na mtu nje ya Ikulu huku ngazi ya kuruka ukuta nje ikiwa imeandaliwa. Mpaka leo hii nani alipanga njama za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…