vifo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Superbug

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe vifo vilivyotokea Morogoro, JB na wenzake walipopigwa risasi na kufa papo hapo

    Kama miaka kumi iliyopita kuna wafanyabiashara wa madini walikuwa nane walikuwa wanaenda Mahenge walipofika nanenane walimiminiwa risasi na Polisi wakidhaniwa ni majambazi akiwemo aliyekuoa mfadhili wa bendi nyingi za muziki mjini Darisalama aliyeitwa JB Mnaokumbuka vizuri tukio hili mtukumbushe.
  2. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Al-Shabab washambulia vituo vya Polisi Somalia, wasababisha vifo

    Wanamgambo wa Al-Shabab wameshambulia vituo vya polisi na vituo vya ukaguzi katika Mji Mkuu wa Somalia, Mogadishu, mapema leo Jumatano Februari 16, 2022. Imeelezwa kuwa watu kadhaa wamepoteza maisha na wengine 16 wamejeruhiwa. Televisheni ya taifa imeripoti kuwa watu watano wamefariki katika...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Uchafuzi (Pollution) husababisha vifo vingi kuliko COVID-19

    Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira ambayo imetolewa leo, imesema uchafuzi unaofanywa na kampuni pamoja na nchi mbalimbali husababisha vifo vingi kuliko hata vifo vinavyosababishwa na janga la COVID-19 Kulingana na ripoti hiyo, dawa za kuwaua wadudu, plastiki na uchafu kutokana na vifaa...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Tuzuie vifo vitokanavyo na wivu wa mapenzi

    Kumekuwepo na visa vingi vya watu kujiua kutokana na wivu wa mapenzi.Hili huwa linaniuma sana hasa inapotokea mwanamke amejiua kwa sababu mume amechepuka Kwanza tujue chanzo nini nini mwanaume kuchepuka kwanza kabisa ijulikana kuwa wanaume ni wadhaifu sana kwa wanawake.Kwa asili mwanaume ana...
  5. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Kufuatia vifo watu 14 wakiwemo waandishi 6, Rais toa maelekezo misafara ya viongozi

    Kwa heshima na taadhima namwomba Mhe. Rais SSH atoe maelekezo kuhusu misafara ya viongozi wa Serikali kupunguza au kuepusha ajali zisizo za lazima. Hakuna ulazima wa Waziri, RC au DC kuwa na msururu wa magari na mrundikano wa waandishi wa habari kwene gari moja. Waandishi aidha waqe na private...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania RT imeripoti kuwa vifo vya mafua ni vingi kuliko vifo vya COVID19

    Moja kati ya sehemu ambayo napenda kuisoma ni RT ambao wamekuwa wakiripoti vitu kwa uhuru wote, hadi sasa ni wao ambao wanaripoti kuhusu maandamano yanayoendelea nchi za Ulaya ya watu ambao hawataki chanjo. Maandamano ambayo hautayasikia kwenye vyombo vyetu Leo kupitia channel yao ya telegram...
  7. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Vifo vya watu 14: Mkuu wa Mkoa Mwanza awajibike

    Ajali za magari ya serikali sasa zimekithiri. Watu wanakufa kama kuku na makosa yanalundikwa kwa dereva tu. Sasa inabidi iwepo uwajibikaji kisiasa kwa makosa ambayo inaelekea usimamizi wa sheria na kanuni za barabarani ni hafifu. Kuua kwa mpigo watu 14 hawezi laumiwa dereva peke yake. Mkuu wa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Haya mazoea ya kuanza kuanika vifo mitandaoni siyo kabisa

    Imekuwa kawaida kabisa mtu akisikia fulani kafariki kuanza kumweka kwenye status mitandaoni na maneno kama RIP!! Lakini tunafahamu kabisa yawezekana kabisa wanafamilia wameona mwanafamilia fulani asipewe taarifa mapema mpaka yafanyike maandalizi fulani kutokana na changamoto zinazomkabili...
  9. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Mjadala huru: Kwanini vifo vya Mkapa na Magufuli vilifuatana?

    Kifo humpasa mwanadamu kumfika hilo halina ubishi. Lakini kwa nini kifo cha Mkapa na Magufuli vilifuatana?!
  10. beth

    JamiiForums Tanzania WHO: Janga la Corona limechochea ongezeko la vifo vitokanavyo na Malaria

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema vikwazo katika Huduma ya Afya vilivyotokana na janga la COVID-19 vimepelekea vifo 69,000 zaidi vya Malaria mwaka 2020, ikilinganishwa na mwaka uliopita. Takriban watu 627,000 ulimwenguni, wengi wao watoto wadogo kutoka Mataifa masikini ya Afrika walifariki...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hadi Novemba 28, maabukizi ni watu 26,273 na vifo ni 731

    Waziri wa Afya, Dkt Dorothy Gwajima amesema takwimu za Tanzania zinaonyesha hadi kufikia Novemba 28, 2021 jumla ya watu waliothibitika kuwa na maambukizi ya #Uviko-19 ni watu 26,273 na vifo 731 ambavyo vimetolewa taarifa.
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Sudan: Wananchi waendelea kuandamana kupinga mapinduzi, idadi ya vifo yafikia 11

    Maandamano ya kupinga Mapinduzi yaliyoongozwa na Jenerali Abdel Fattah al-Burhan yameendelea, huku Ripoti zikidai idadi ya waliopoteza maisha imeongezeka kufikia 11. Watendaji katika baadhi za Wizara na Taasisi za Serikali wamepinga hatua ya Jeshi kuchukua Mamlaka na wamekataa kuachia nafasi...
  13. Teleskopu

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la vifo kwa asilimia 5,427

    Huku akitumia data za: CDC (Centre for Disease Control) FDA (Food and Drug Administration) na VAERS (Vaccine Adverse Events Reporting System), Dr Jessica Rose amewasilisha uchambuzi wake unaobainisha ongezeko KUBWA la vifo kwa asilimia zaidi ya 5,000 😲:oops: kwa kipindi cha chini ya miaka hii...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alificha taarifa ya Vifo vya Corona at our Risk

    Salim Ahmed Salim foundation imetoa mchango wa 100m/- MUHAS kuunga mkono jitihada dhidi ya UVIKO-19. Hatua ya kupongezwa kabisa yenye kustahili kuungwa mkono bila kujali nani haoni umuhimu huo. Hata hivyo wakfu huo wamesema walisukumwa kutoa pesa hizo katika kuyaenzi maisha ya marehemu mke wa...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais wa Brazil kushtakiwa kwa makosa ya Uhalifu Dhidi ya Binadamu

    Brazil's president will be accused of a series of crimes over his handling of the country's COVID-19 pandemic, a draft of a major inquiry report says. The report is the culmination of a six-month inquiry that has revealed scandals and corruption in government. President Bolsonaro has been...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania WHO: Vifo vya TB vimeongezeka kutokana na athari za COVID-19

    Shirika la Afya Duniani(WHO) limesema vifovinavyotokana na maradhi ya TB vimeongezeka duniani kwa kuwa juhudi nyingi zimeelekezwa kwenye #COVID19. Hadi sasa watu milioni 4.1 wanaugua TB kutoka watu milioni 2.9 mwaka 2019. Ambapo WHO wamesema kuna haja ya kuwekeza kwenye namna ya kuwapima na...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Urusi yarekodi vifo 984 ndani ya saa 24 zilizopita

    Urusi imerekodi idadi kubwa ya vifo vinavyotokana na Virusi vya Corona kwa siku ya pili mfululizo. Nchi hiyo inakabiliwa na Wimbi la maambukizi na vifo, hali iliyopelekea Serikali kuamuru kasi ya utoaji Chanjo kuongezwa. Vifo 984 vimerekodiwa leo na idadi hiyo ni kubwa zaidi ndani ya siku moja...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Vifo Nchini Brazil vyafikia 600,000

    Taifa hilo limerekodi zaidi ya vifo 600,000 vya COVID19, ikiwa ni Nchi ya pili duniani kufikisha idadi hiyo baada ya Marekani ambayo imerekodi vifo 672,196 tangu kuanza kwa mlipuko Brazil imerekodi visa vipya 18,172 na vifo 615 kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Wizara ya Afya =======...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hadi 07/10/2021 wananchi wa Marekani waliochanja ni 65%. Lakini maambukizi mapya ni 102,000 na vifo kwa jana ni 1,709!

    Hapo ndkpo mjue hii chanjo ya corona haisaidii kitu. Marekani ni moja ya mataifa ya kibeberu yaliyofanikiwa kuchanja zaidi ya asilimia 60 ya watu wake. Kiwango hicho kinadharia kinapaswa kuikinga jamii na maambukizi mapya kwa kuleta kitu kiitaacho "herd immunity", Lakini kwa corona hakuna...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Vifo vilivyotokana na COVID-19 vyafikia 5,128

    Kenya imepata jumla ya maambukizi 249,725 tangu kuripotiwa kwa Virusi vya Corona nchini humo. Vifo vya Corona vimefikia 5,128 kwa takwimu walizotoa Oktoba 1 Hadi kufikia sasa watu 241,828 wamepona wakati watu 963 wakiwa bado hospitalini na wengine 2,078 wakitibiwa majumbani mwao Wagonjwa 61...
Back
Top Bottom