vifo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Polisi chunguzeni vizuri hivi vifo vya wanaume kwenye magesti. Mbona wanawake hawafi?

    Visa vya wanaume kufia guest wakiwa na "*viruka njia" wao vimekuwa vingi sana siku hizi. Wengi wanahusisha vifo hivi na kuzidiwa kwa mwanaume na dozi bab kubwa ya 6 kwa 6 anayopewa na mdada. Inaweza kuwa kweli lkn siyo mara zote. Nimewahi kupewa stori kuwa kuna mbinu inafanywa na wadada wahuni...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Joto kali nchini Hispania lasababisha vifo vya watu 510

    Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Taasisi ya Afya ya Carlos III ya Hispania, watu 510 wamefariki kutokana na wimbi la joto kali nchini Hispania. Joto kali lilianza tarehe 10 Julai, huku joto la juu zaidi nchini humo likifikia kati ya nyuzi 39 hadi 45.
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Idadi ya vifo kutokana na ghasia za kikabila Sudan imefikia 65

    Idadi ya watu waliofariki kutokana na ghasia za Kikabila katika Jimbo la Blue Nile Nchini Sudan imefikia watu 65 na wengine 150 wakijeruhiwa tangu kulipozuka machafuko wiki iliyopita. Waziri wa Afya wa Jimbo la Blue Nile, Gamal Nasser al-Sayed amesema vurugu hizo zimetokana na uchochezi wa...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Vifo vya Watuhumiwa Mikononi mwa Polisi, nini kifanyike ili mambo yakae sawa?

    Hivi karibu kumetokea matukio yakihusisha watuhumiwa kupotea maisha mikononi mwa vyombo vya usalama. Mkoani Morogoro Askari wawili wanashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya Hamis Hassan (30) Mkazi wa Mvuha, Jeshi la Polisi limesema marehemu aliuawa kwa kufyatuliwa risasi Mei 31, 2022. Jijini...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania WHO: Vifo Barani Afrika kushuka kwa 94%

    Vifo kutokana na Virusi vya Corona Barani Afrika vinatarajiwa kushuka kwa hadi 94% mwaka 2022, ikilinganishwa na mwaka 2021, Uchambuzi mpya wa WHO Afrika unaonesha makadirio ya Vifo 60 kwa siku, tofauti Vifo 970 kwa siku mwaka jana. Zaidi ya Maambukizi Milioni 11.8 na vifo takriban 250,000...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Baada ya vifo vya Said Oswayo na mkewe, Swalha Salum mali zinatakiwa kwenda katika Familia ya Mke au Mume?

    Tukio la Said Oswayo kumuua mkewe, Swalha Salum kisha na yeye kuuawa ikidaiwa amejiua bado ni gumzo Nchini Tanzania. Wivu wa mapenzi ndio unatajwa na wengi kuhusu matukio hayo yaliyotokea ndani ya mwezi huu Mei 2022, lakini hoja yangu hapa siyo kuhusu walivyouawa, nina kitu tofauti kabisa...
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Zaidi ya raia wa kawaida 500 wameuawa Nchini Mali

    Zaidi ya raia wa kawaida 500 wameuawa kutokana na mashambulizi yanayofanywa na vikundi mbalimbali Nchini Mali kuanzia Januari hadi Machi, 2022. Ripoti ya Umoja wa Mataifa (UN) imeelea kuwa hali ya usalama si nzuri, ikiwa ni ishara kuwa Jeshi limeshindwa kuwa na nguvu ya kudhibiti Nchi hiyo...
  8. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Manyara: Basi la Mohammed Classic lapata ajali na kusababisha vifo vya watu wanne na majeruhi 26

    Basi kampuni ya Mohammed Classic ya kutoka Arusha-Kigoma imepata ajali Eneo la Gehandu Hanang mkoani Manyara. ============================== Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Benjamin Kuzaga amesema: "Ajali hiyo imetokea imetokea Kijiji cha Ming’enji Wilaya ya...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Vifo vipya 21 vyaripotiwa Korea Kaskazini

    Vifo vipya 21 vimeripotiwa huku ikielezwa watu wengine walikuwa na dalili za Homa. Kiongozi wa Taifa hilo, Kim Jong Un amesema mlipuko wa COVID-19 umeiweka Nchi katika machafuko makubwa. Korea Kaskazini ambayo ni mojawapo ya Nchi ambazo hazikuwa na kampeni ya chanjo ina kiwango cha chini cha...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Vifo kutokana na mafuriko vyafikia 443

    Kiongozi wa Jimbo la KwaZulu-Natal, Sihle Zikalala amesema idadi ya waliopoteza maisha kutokana na mvua kubwa zilizopeleka maporomoko ya ardhi na mafuriko imeongezeka kufikia 443 Mbali na vifo, watu wengine 63 bado hawajulikani walipo. Mafuriko hayo yaliyotokana na mvua kubwa kunyesha kwa siku...
  11. L

    JamiiForums Tanzania “Maabara ya baiolojia ya vifo” ya Marekani

    Tangu mgogoro kati ya Russia na Ukraine ulipozuka, pamoja na vita vikali kati ya pande mbili, maabara ya kibaolojia iliyojengwa na Marekani nchini Ukraine pia imevutia macho ya pande zote. Hivi majuzi Russia ilitangaza kuwa imegundua zaidi ya maabara 30 za baiolojia nchini Ukraine, na kupata...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania WHO: Maambukizi na vifo vya COVID-19 vimepungua sana Afrika

    Idadi ya maambukizi ya Corona na vifo vinavyotokana na virusi hao vimepungua kwa kiwango kikubwa katika Bara la Afrika kwa mara ya kwanza tangu kuibuka kwa maambukizi hayo. Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) katika ripotiN yao ya Aprili 14, 2022, ambapo maambukizi...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Vifo na migogoro ya ndoa havitaisha hadi pale serikali ikiruhusu hili

    Migogoro mingi ya ndoa ukipitia majarada ya kipolisi na dawati la jinsia utagundua kwamba kwa 70% ni kutokana na ndoa za kikristu na 15% ni ndoa za kiislam, 10% ni ndoa za kimila (unyumba na wengi wao waishio kinyumba ni wakristu) na 5% inachangiwa na ndugu wa wanandoa wenyewe Hivyo ukichukua...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamati: Kinyesi na Mikojo ya Mifugo ndiyo chanzo cha kufa samaki mto Mara, sio sumu ya maji ya Migodini

    Musoma. Kamati maalum ya kitaifa iliyoundwa na serikali kuchunguza mabadiliko ya maji ndani ya mto Mara, imetoa taarifa ya chanzo cha mabadiliko katika mto huo yaliyosababisha maji kuwa meusi na kutoa harufu, huku samaki wakifa ambapo chanzo kimeelezwa kuwa ni shughuli za binadamu pamoja na...
  15. May Day

    JamiiForums Tanzania Kama tumemuacha huru aliyesababisha vifo pale Moshi huyu 'Mfalme' wa Mwanza tunamtesa kwa lipi?.

    Mimi ni miongoni mwa wapingaji wakubwa wa hizi shughuli za kiroho zinazofanywa na Wajanja wachache na kunufaika kwa migongo ya Wengine...na nilitamani sana kuona lile lililotokea pale Moshi wakati ule likifikia kutoa haki kwa wale Wahanga. Hivi karibuni kumetokea tukio pale Mwanza na sasa...
  16. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Kutunza historia kwanini siku za vifo vya Marais wetu zisiwe holiday?

    Nyerere kafariki miaka zaidi ya 20 iliyopita ila kutokana na Nyerere day kuwa ni siku ya mapumziko Leo hii mwanafunzi wa darasa la tatu anajua Nyerere alikuwa nani, hii ni kutokana na Nyerere day tu kuwa siku ya mapumziko Kwanini isiwe hivyo kwa Mkapa, ikawa hivyo kwa Magufuli lengo kutunza...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Iringa: Tsh Milioni 100 za wodi ya wazazi zapokewa kwa shangwe kijijini, zapunguza vifo vya kina mama

    Uongozi wa Kijiji cha Igoda, Kata ya Luhunga, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa umepongeza jitihada kubwa zinazofanywa na Kampuni ya Foxes Treck kupitia Taasisi ya Foxes Community and Wildlife Conservation (FCWC) kwa kujitolea zaidi ya Tsh milioni 100 kujenga wodi ya wazazi na zahanati...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa tahadhari ya Homa ya Manjano

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa tahadhari ya kuzuka kwa ugonjwa wa Homa ya Manjano (Yellow Fever) ambapo amesema tarehe 03 Machi 2022 Wizara ya Afya ilipokea taarifa kutoka WHO hapa nchini ikielezea kuwepo kwa mlipuko wa ugonjwa wa homa ya manjano nchini Kenya. Amesema hadi kufikia tarehe...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa: Raia waliouawa Ukraine wafikia 474

    Waziri wa Afya wa Ukraine, Viktor Liashko amesema Vikosi vya Urusi vimeshambulia na kuleta uharibifu kwa Hospitali takriban 61. Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa (UN) inasema Raia wapatao 474 wameuawa tangu uvamizi wa Urusi kuanza Mbali na Vifo, inaelezwa kuwa Raia wengine 861...
  20. John Haramba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Kenya afungwa jela kwa vifo vya moto shuleni

    Msichana mmoja raia wa Kenya amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa la kuua bila kukusudia kufuatia moto katika bweni la shule na kuua wenzake tisa. Msichana huyo mwenye umri wa miaka 18 alitenda kosa hilo mwaka wa 2017 akiwa na umri wa miaka 14 katika mwaka wake wa kwanza wa...
Back
Top Bottom