#COVID19 RT imeripoti kuwa vifo vya mafua ni vingi kuliko vifo vya COVID19

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,005
9,872
Moja kati ya sehemu ambayo napenda kuisoma ni RT ambao wamekuwa wakiripoti vitu kwa uhuru wote, hadi sasa ni wao ambao wanaripoti kuhusu maandamano yanayoendelea nchi za Ulaya ya watu ambao hawataki chanjo. Maandamano ambayo hautayasikia kwenye vyombo vyetu

Leo kupitia channel yao ya telegram wameandika habari ifuatayo

Covid half as deadly as typical flu year — experts say

Daily deaths from Coronavirus in the UK are running at less than half the expected mortality rate in a bad flu year, MailOnline analysis has found.

Approximately 130 people are dying in England with Covid every day at what is thought to be the peak of the Omicron wave, compared to 1,300 last January.

Comparatively, there were more than 400 influenza deaths during the last bad flu season in 2017-18 and nearly 300 per day the year before those.

Is it time to just live with the virus?


Swali la mwisho ni je, tuendelee kuishi na corona

Wanasema kuwa mafua yaliwaumiza watu vibaya miaka ya 2017 na 2018 ambapo kwa siku walikufa watu 300, lakini kwa sasa ambapo tumeamua kuipa nguvu Corona wanasema ni watu 130 tu wanakufa kwa siku. Hii ni sababu tangu zamani nilisema kabla ya kudhani kuwa corona ni shida lazima data zisiwe na confirmation bias ya kutaja idadi tu bila kufananisha na magonjwa mengine kujua hali ilivyo

Mbali na yote, kama mwaka 2017 watu 300 walikuwa wanakufa kwa siku kwa mafua ni wafrika wangapi walikufa kwa mafua

UBAYA WA HAYA YOTE
Tukumbuke kuwa wanaoishi kwenye umasikini wa kutupwa katika nchi zilizoendelea ni 1%, kwa hiyo Afrika ndio ina masikini wengi wa kutupwa na kwa data za IMF za hivi karibuni watu milioni 100 wameingizwa katika umasikini wa kutupwa kwa kipindi cha COVID19. Tusipokuwa na watu wa kufanya tafiti na kuangalia mambo bila kuwa na mlengo wa kisiasa tutakuwa katika nafasi tofauti na tuliyo sasa ambao ni mwendo wa siasa hata kwenye afya

Anyway, tukapate chanjo
===
 
Hawa wakubwa naona leo pia wameripoti ishu ya bangi kusaidia kama Kinga dhidi ya maambukizi ya UVIKO 19.
 
Back
Top Bottom