Tujikumbushe vifo vilivyotokea Morogoro, JB na wenzake walipopigwa risasi na kufa papo hapo

Kama miaka kumi iliyopita kuna wafanyabiashara wa madini walikuwa nane walikuwa wanaenda mahenge walipofika nanenane walimiminiwa risasi na polisi wakidhaniwa ni majambazi akiwemo aliyekuoa mfadhili wa bendi nyingi za muziki mjini darisalama aliyeitwa JB Mnaokumbuka vizuri tukio hili mtukumbushe.
Hawa ni wale wa Zombe au ni wengine
 
JB mzeee wa EXTRA BONGO enzi hizo Hapo Dar West imebamba, Meeda iko on Fire, Ukienda Vingunguti unamkuta Mama Sakina anakimbiza. Ukienda Tabata unamkuta Mzee Proffesa Mushoro yuko Rufita Night Park.

Daaaah Tumezeeeka aysee tuache vijana wale bata sasa. RIP Pedeshee JB uliondoka na radha ya Muziki wa Dansi maaaana ulifanya Muumin, Choki, RIP Banza wawe na thamani
 
Fungua code mkuu wengine hatukuwepo
 
Yan
JB mzeee wa EXTRA BONGO enzi hizo Hapo Dar West imebamba, Meeda iko on Fire, Ukienda Vingunguti unamkuta Mama Sakina anakimbiza. Ukienda Tabata unamkuta Mzee Proffesa Mushoro yuko Rufita Night Park.
Daaaah Tumezeeeka aysee tuache vijana wale bata sasa. RIP Pedeshee JB uliondoka na radha ya Muziki wa Dansi maaaana ulifanya Muumin, Choki, RIP Banza wawe na thamani
Yani wewe kweli kabisa ulikuwa unamfahamu vema kongole mzee.
 
Back
Top Bottom