video

  1. JamiiForums Tanzania Video: Kiongozi Mshamba wa UVCCM Tarime atangaza kipigo kwa wapinzani, wala hajaguswa na Polisi

    Ushahidi huu hapa .
  2. JamiiForums Tanzania Tunaposema CHADEMA ni taa ya nchi hatutanii, hebu angalia video hii

    John John Mnyika alishaweka angalizo mapema sana kuhusu chanjo ya COVID-19, sasa angalieni kilichosemwa leo .
  3. JamiiForums Tanzania Video: Kombora la Israel lilivyoangusha jengo la ofisi za Al Jazeera

    Mashambulizi ya makombora katika eneo la Gaza yanaingia siku ya sita mfululizo, huku idadi ya vifo ikiongezeka kufikia watu 140, wakiwamo watoto 39. Israel imeendelea kutumia makombora kushambulia majengo marefu katika eneo la Gaza, ikilenga jengo la ofisi za Shirika la Habari la Al Jazeera na...
  4. JamiiForums Tanzania Anahitajika VIDEO EDITOR

    Habari wadau! Anahitajika mtaalamu wa video editing,awe anajua kuedit vizuri video na mzoefu, tuma sms kwenye namba hii 0687234549. Note:awe mkazi wa Daressalaam.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Serikali ikemee kwa nguvu zote wanaodai Hayati Magufuli kauawa, iondoe video zote YouTube na kuwasaka wahusika

    Mada hapo juu inaeleweka vizuri. Kuna habari zmezagaa mitandaoni kuwa Rais John Magufuli kauliwa na watu wakubwa na walianza kufanya mipango siku nyingi. Habari hizi zipo pia vijiweni. Rais Samia Suluhu kwa makosa makubwa Sana na bila kujua kakosea alizungumzia habari hizi akilihutubia Bunge...
  6. JamiiForums Tanzania Video ya Anjela wa konde music worldwide yawa gumzo, yafikisha zaidi ya views milioni moja ndani ya saa 24

    Video ya msanii Anjela wa konde music worldwide imefanya maajabu na kuonyesha kukubalika kwa haraka sana ambapo imefikisha zaidi ya views milioni 1 ndani ya saa 24. Mafanikio makubwa ndani ya muda mfupi baada ya kutambulishwa kwa mwanadada huyo mwenye vocals hatari na mashairi machachari...
  7. JamiiForums Tanzania Video: Hivi ndivyo aliyekuwa DC wa Hai, Ole Sabaya alivyotumia madaraka yake vibaya kuiba, kutesa na kuua. Kwanini asiende jela huyu...?

    Hawa ndiyo "vijana wa kazi"wa Mwendazake Magufuli... Waliitumikia LEO kwa kuvunja sheria na maadili ya Utumishi kwa kunyanyasa wanaowaongoza (wananchi) kwa sababu wana madaraka na kusahau kabisa kuwa kuna KESHO... Walitegemea KULINDWA NA MTU badala ya matendo yao ya HAKI.. Katika video hii...
  8. JamiiForums Tanzania Video: Wataalamu wa silaha tuzungumzie accuracy ya hizi ndege za Israel

    _Yani nga inalenga pale pale _ Hakuna jengo la jirani lililoathirika. Hii inawezekanaje...? _Na hawa wachukua video walijuaje kama hilo jengo linakuja kuripuliwa?
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bora tu muendelee kukatalia Wakenya, hizi video huonyesha kwa kweli tutawakoloni mkiachia

    Huwa nafuatilia channel ya hawa wadau ambao huwahoji Watanzania vitu vya kawaida, yaani Watz wapo wapo tu siku ziende, elimu mbovu hawana uwezo wa kushindana na moto wa Wakenya. Bora hivyo wao huogopa Wakenya maana duh!
  10. JamiiForums Tanzania Video: Jeshi la Maji la Uingereza latumia teknolojia ya mtu kupaa kupambana na uharamia

    Jeshi la Maji la Uingereza limefanya majaribio ya kutumia mavazi maalum yanayomwezesha mtu kupaa kwa lengo la kuboresha operesheni za kuzuia uharamia baharini. Kampuni ya utafiti wa teknolojia ya anga ya Gravity Industries imechapisha video inayoonesha wanajeshi hao wakifanya mazoezi kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Video: Iftar ya Rais Samia ndani ya Ikulu ya Kenya

    Nadhani Rais alihisi yuko Zanzibar kabisa.
  12. JamiiForums Tanzania VIDEO: Aliyekuwa katibu mkuu CCM alivyosimamisha Msafara wake kusoma mabango

    Yeereeeeeh! Maisha yanaenda kasi sana na kubadilika ghafla. Video hapo chini aliyekuwa katibu mkuu CCM alivyosimamisha Msafara wake kusoma mabango.
  13. JamiiForums Tanzania Msaada naomba kufahamu desktop computer ya kawaida sana kwa kazi za video editing

    Salam ndugu zanguni. Naomba kufahamu ni desktop computer yenye sifa zipi inauwezo wa kufanya kazi za kuzalisha na kuhariri picha za video, naomba kusaidiwa hili kwa wataalamu wa humu jukwaani wanaofanya kazi hizi na wasiofanya. Inatakiwa iwe ya gharama za chini kabisa kuliko zote,Nataka kujua...
  14. JamiiForums Tanzania Kumbukizi Video: WW2, Wajapani wakipambana vikali wakitumia (suicide bomber) dhidi ya Marekani kulinda kisiwa chao cha Okinawa , Mei 1945

    Kuelekea mwishoni mwa vita ya pili ya dunia 1945 , vita upande wa Ulaya ni kama ilikuwa imeisha, hata hvyo upande wa Pacific ndo ilikuwa inashuhudiwa pambano kubwa zaidi kuwahi kutokea , kisiwa cha Okinawa ambacho ni sehemu ya ardhi ya Japani sasa kilikuwa kinashambuliwa na wamarekani...Japan...
  15. JamiiForums Tanzania Harmonize, hii 'chenchi' ya views laki 4 iwe fundisho kwako kwa mkubwa wako Diamond

    Ndani ya masaa 24 tu waah ilipata views 4.2 Milioni Video hii mpya ya attitude ilitoka juzi mda 20:15, leo muda huu inakamilisha masaa 48 kwa views milioni 3.8 DENI LA VIEWS MILIONI 4.2 YA VIEWS ZA DIAMOND ALIZOFIKISHA NDANI YA MASAA 24 HATIMAE LIMEKAMILIKA BAADA YA HARMONIZE KUFIJISHA...
  16. JamiiForums Tanzania MTANZANIA aibuka kwenye Video ya Ampiano inayotrend Dunia kwa sasa

    MTANZANIA AIBUKA KWENYE VIDEO INAYOTREND DUNIANI Kuna Video inayotrend kwa sasa Duniani Inayowaonyesha Vijana watatu waliovalia Taulo nyeupe Wakivuka barabara huku walicheza huko Washington DC, Marekani. Moja ya Vijana hao imeripotiwa kuwa ni MTANZANIA, ambaye ni wamwisho kwa Vijana...
  17. JamiiForums Tanzania Video: Anayehusika na hii barabara ya Shaurimoyo (Al-haramain), ana akili sawasawa kweli kichwani?

    Hii hali ipo mwaka wa 5 huu, sasa utasema huyo mtu ana akili zilizotimia kichwani kwake, huu si ujinga huu kabisa?! Na hapa ni katikati ya jiji kabisa
  18. P

    JamiiForums Tanzania Mwanangu ananirekodi video za uchi nikioga na nikilala

    Kutoka Ukurasa wa Instagram wa Idd Makengo Naomba unisaidie kama hiki ni kitu kibaya kwa mwanangu kwani nahisi kuchanganyikiwa. Mwanangu wakiume alinyonya mpaka alipofikisha miaka minne ndiyo nikamuachisha, mimi na mwanangu tuko karibu sana. Namlea mwenywe kwani Baba yake tulishaachana na...
  19. JamiiForums Tanzania Video ya Polisi akimshambulia kwa risasi kijana wa miaka 13 yatolewa Chicago

    Polisi wa Chicago wametoa picha za afisa aliyempiga risasi mtoto wa miaka 13 kwenye uchochoro wa giza. Video hiyo inaonesha polisi huyo akipiga kelele “dondosha” kabla ya kumpiga risasi Adam Toledo mara moja kifuani tarehe 29 mwezi Machi. Mvulana haonekani kuwa ameshika silaha katika sekunde ya...
  20. JamiiForums Tanzania Video: Pamoja na kuteswa sana awamu ya 5 lakini viongozi wa Chadema hawakujali kitu , roho zao kwatu kabisa

    Hii ni moja ya shughuli iliyosheheni viongozi wa juu kabisa wa Chadema , wakisakata rumba bila hata kinyongo na mtu , Hakika Chadema ni furaha tele . Jionee mwenyewe .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…