video

  1. JamiiForums Tanzania Mabasi yamegeuka kuwa mabanda ya machinjio

    Haya mabasi yamegeuka kuwa mabanda ya machinjio na kuwapa abiria ulemavu wa maisha. Hawa madereva ni sikio la kufa daima na sio mambo ya kusadikika, wenyewe tunayaona huko road wanavyoyafyatua mabasi. Mfano: ~ Ukiwa na kagari kadogo utaletewa basi hapo nyuma honi zote, taa kali, kama muoga...
  2. JamiiForums Tanzania Video: Hali ya maisha kwa watu weusi yazidi kuwa mbaya USA

    Kwa kawaida watu wengi wasio na makazi nchini USA ni wale wa asili ya Afrika, sasa najiuliza, kundi hili tu ndio wavivu wa kufanya kazi? Kundi hili tu ndio wahanga wa madawa ya kulevya? Au ni tatizo la kimfumo zaidi? Lakini pia, kwenye video hapo chini, kwa siku za hivi karibuni, na wale wa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila video ya Ubongo Kids YouTube ina chata ya Upinde wa Mvua au rangi za Upinde wa Mvua?

    Hili ni jambo jipya kwa sasa kwa videos za Ubongo Kids. Hapo awali hazikuwa na hizi rangi za upinde wa mvua. Lakini hivi karibuni naona videos zao zote YouTube ambazo zinaenda kwa jina la AkiliAkili zina rangi za upinde wa mvua! Ubongo Kids wametokea kuaminiwa kwa videos zao zinazoburudisha na...
  4. JamiiForums Tanzania Video: Tunisia Wanavyojisifu Kuuza Watumwa wa Kiafrika

    Utakumbuka hivi Majuzi Rais wa Tunisia Mh. Kais Saed alisema nchi yake inavamiwa na Waafrika ambao wanataka kubadili demography ya nchi yake. Sasa Mzee Mmoja akihojiwa nchini humo ameeleza kuwa Waafrica hawana dhamani kama wao Watunisia na wao wamekuwa wakiwauza tu kama bidhaa. Siku za karibuni...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi ajinyonga kisa kukataliwa kwenda kuangalia video usiku(Mtwara)

    Mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya Secondari Kiromba, Azana Dadi (13) ambaye ni Mkazi wa eneo la Muungano kata ya Kiromba wilaya na Mkoa Mtwara, Amekutwa amejinyonga chumbani kwake kwa kutumia mtandio wake. Jeshi la polisi Mtwara linafanya uchunguzi wa tukio hilo aidha UCHUNGUZI wa...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna Askari anayehusishwa na video ya vitendo vya aibu, Jeshi la Polisi lije na ufafanuzi kuweka mambo sawa

    Wiki hii kumetoke trending katika mitandao mingi ya ya kijamii inayomuonesha Askari polisi akiwa kwenye gari na akisikiliza wimbo wa Whozu "Vava vava Vavavavayo" . Nimezunguka Twitter kote na Instagram , kuna walioenda moja kwa moja na kumpa tuhuma za Ushoga. Sasa kwa kuwa video hiyo...
  7. JamiiForums Tanzania Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?

    Huyu askari kadharirisha jeshi la polisi kiukweli . Serikali inafumbia macho masuala haya why? huyu yuko na familia na watoto . Kuna watu wanasema tunamchafua kwani alikuwa kaelewa kusema labda kabakwa au katekwa amejitakia mwenyewe na unaonekana amejirekodi . Video ya pili anaonekana anapigiwa...
  8. JamiiForums Tanzania Video: Kauli ya mwanachama huyu wa Chama Cha Mapinduzi inazidi kuwachanganya Watanzania

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Kwa muda wa miaka mingi kumekuwa na tuhuma nyingi zinazomuhusu huyu jamaa. Wengi wakidai kwamba mwanachama huyu ni jasusi maalum ambae yuko katika kiti kile kwa sababu maalum. Moja kati ya sababu...
  9. JamiiForums Tanzania Mwenye clip ya basi la Simba likirudi kinyume maeneo tofauti atume

    Waswahili wanapenda sana kukomalia mambo ma hata pale ushahidi ukiwa hafifu au wakiletewa ushahidi tofauti na wanachotaka kuamini, wanakuwa wagumu kukubali. Nimeona clip inayosambaa ya basi la Simba likirudi kinyume katika mtaa mmoja mwembamba. Kwanza sielewi kinachoshangaza nini kwa gari...
  10. JamiiForums Tanzania Video: Tuwe makini na imported rice

    Sijui hiki kiwanda kiko nchi gani.
  11. JamiiForums Tanzania VIDEO: Mke wa Balozi amuanika mumewe

    Nawasihi Usioe Mwanamke mpumbavu! Full Part 1 Part 2 Part 3 Eti anasema kabisa “kaiba mishumaa yangu” Aah kmk
  12. JamiiForums Tanzania Video ya Dkt. Mollel kuhusu watanzania kuwa wajinga

    Kuna Post inasambazwa kwa nguvu kubwa kwenye mitandao inayomhusisha Naibu Waziri wa Afya, Mollel na imeleta taharuki kubwa sana kwa wananchi, ombi langu kama kuna mwenye Video Clip ya maneno hayo aitupie hapa ili kumaliza huo utata. Vinginevyo isije ikaleta tasfiri tofauti kwamba kuna mkakati...
  13. JamiiForums Tanzania Video: Huyu mwamba aliwakosea nini hawa mabinti?

    Kuna hii video iko viral mwamba anakula hamsa kama zote toka kwà mademu; nadhani ni kenya. Swali je aliwakosea nini?
  14. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Midoli ya kutangazia nguo zisizo na stara yapigwa marufuku kuwekwa nje ya maduka

    Mkuu wa Wilaya ya Mjini Magharibi Unguja, Rashid Simai Msaraka amepiga marufuku, Wafanyabiashara wa Wilaya hiyo kuweka midoli yenye nguo zisizo za staha nje ya maduka yao. DC Msaraka ametoa kauli hiyo baada ya kukutana na Mfanyabiashara maeneo ya Kwahani Zanzibar akiwa ameweka midoli hiyo nje...
  15. JamiiForums Tanzania Sakata la video ya madawati Sinde Mbeya mwalimu wa kujitolea alikuwa sahihi

    Hili sakata kwa tuliowasikiliza viongozi wa mkoa ni wazi walikiri kuwa kulikuwa na uhaba wa madeski shuleni Sinde, viongozi hao walisema siku husika walikuwa wakigawa madeski japo haohao wanasema shule haikuwa na uhaba wa madeski! Hayo madeski walikuwa wakigawa ni ya ziada? Viongozi wa mkoa...
  16. JamiiForums Tanzania Video: Nini chanzo cha 'ujasiri' huu dhidi ya trafiki?

    Katika pitapita zangu mtandaoni nimekutana na video hii ambayo kwa jicho la haraka inaonesha dereva akikaidi takwa la askari wa usalama barabarani kusimamisha gari. Jamaa ameonekana kugoma kufunga breki hata baada ya askari huyo kusimama mbele ya gari. Unadhani ni ipi sababu ya huyu bwana kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Video: Moja ya shule zilizojengwa kwa tozo, foreign reserve trilioni 1.3 na pesa za UVIKO

  18. JamiiForums Tanzania Video: Mtoto mdogo mwenye uwezo mkubwa wa kutambua mambo mbalimbali

  19. L

    JamiiForums Tanzania Marekani haipaswi kukaa kimya juu ya video ya siri kuhusu kampuni ya Pfizer

    Hivi karibuni, video ya siri inayomwonyesha Jordon Trishton Walker, aliyeelezwa kuwa Mkurugenzi wa wa Pfizer anayeshughulikia Utafiti na Maendeleo, Operesheni za Mkakati na Mipango ya Kisayansi ya mRNA, akisema jinsi kampuni hiyo inavyotafiti kubadili virusi vya Corona ili kuongeza faida ya...
  20. JamiiForums Tanzania REVIEW: Makosa matano (5) yaliyoonekana kwenye video ya muziki ya Inauma ya msanii Aslay

    Imechambuliwa na kuandikwa na Ally Nassor Px . Tarehe 6 February 2023. Sehemu ya kwanza kuipost ni hapa JF Lakini pia nitaipost Twitter. ____________________________________ Video imetoka majuzi Tarehe 3 mwezi wa pili mwaka 2023. Ikiwa imeongozwa na director Majagi. Mpaka sasa tarehe 6...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…