video

  1. J

    JamiiForums Tanzania Biden: Ni Wajibu wa Marekani kuisaidia Israel hadi itakapohakikisha Hamas imefutika na wamebaki raia Wema wa Palestine!

    Rais Biden amesema ni Wajibu wa Marekani kuisaidia Israel hadi kundi la Hamas litakapoangamizwa kabisa na kubakia raia Wema wa Palestine Biden amesema ana hakika mwisho wa Magaidi wa Hamas umefika Source BBC news
  2. JamiiForums Tanzania Video: Mvua kubwa ilivyosababisha athari mitaa ya Mwanza, leo Desemba 10, 2023

    Hizi ni video zinaonesha hali ilivyokuwa asubuhi ya Desemba 10, 2023 katika Mitaa ya Uhuru na Liberty Jijini Mwanza ambapo mvua kubwa iliyonyesha maeneo tofauti imesababisha uharibifu wa baadhi ya vitu na miundombinu.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Video inafikirisha sana

    Kwa kuwa tumejikuta tu Duniani bila idhini yetu kuwa tuzaliwe na tuishi humu au lah ila tunapitia changamoto sana za kuwa duniani. Basi tu kwa kuwa tumejikuta tupo tu ila sio sehemu salama kabisa kwetu wanadamu kuishi. Mateso ni mengi sana katika gereza hili la Roho zetu yaani Duniani.
  4. JamiiForums Tanzania Video: Wapalestina watumia mawe kujaribu kupigana na HAMAS waliokua wanaiba chakula cha misaada

    Hali imekua mbaya, Wapelestina na magaidi ya HAMAS waanza kugombea chakula cha misaada, kwenye hii video jameni maskini Wapalestina wanatumia mawe kupambana na magaidi yaliyojihami kwa bunduki. Wafuasi wa HAMAS humu JF tafuteni namna ya kuwafikishia chakula waache kutesa watu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Video: Mafundi wa TANESCO waporomoshwa na vijana wenye hasira za kukatika-katika kwa umeme

  6. JamiiForums Tanzania Sasa utaweza kueleweshwa na Kutafsiriwa video yoyote yenye lugha yoyote kupitia AI(Akili bandia)

    IQ>>AI Na KENGE Technology ya AI inazidi kukua siku hadi Siku,kupelekea makampuni makubwa kama Google na Microsoft kushindana ubunifu wa AI Technology.Kwasasa tumeona picha nyingi zikisambaa kila mtu anaweza kutengeneza picha yake kama tulivyoona hapa Jinsi ya kutengeneza Picha kwa AI...
  7. JamiiForums Tanzania Population Crisis: Kim akilia machozi kuwaomba Wanawake wa Korea Kaskazini kuzaa watoto ili kuongeza idadi ya watu

    Huyu jamaa na makombora yake sikujua naye anaweza kufikwa na huzuni mpaka abubujikwe machozi, akina mama pia nao wajiunga kwenye kulia machozi maana mkuu analia, hii ilikua baada ya kusoma taarifa jinsi uzao unapungua, mama hawazai tena kisa changamoto nyingi. ================== Rais wa Korea...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna Video vixen ni watamu balaa, wananiumiza roho mwenzenu

    INTRODUCTION Hamjambo bandugu... Leo nimejiuliza "Nikishapata sanaa hela NINI KINAFATA?" Nikajijibu "Ni stareheeee" Sasa nikiwaza, hivi Hawa Video Vixen watoto warembo wanapatikana wapi? BODY: Ngoja twende mdogomdgo MTANIELEWA TUU... Mi bwana pamoja ya kwamba sitaki kuoa ila hawa watoto...
  9. JamiiForums Tanzania Video: je wanyama Wana hisia kama binadamu?

    Nimeona video Moja nyati wawili wakiwa wanapigana, then akaja nyati Mwingine akamshambulia Mmoja Kati ya wale nyati waliokua wanapigana. Nikawa najiuliza je nyati Wana hisia kama binadamu? Kwamba labda na wenyewe wanaweza kua na rafiki damudamu mpaka akamsaidie? Mfano kama jinsi kundi la nyumbu...
  10. JamiiForums Tanzania Maada naomba kujuzwa app ya kudownloard video youtube

    wana forums, naomba msaada wa kujuzwa app ambayo naweza kushusha video yaani ku (downloard) video youtube, asanteni.
  11. JamiiForums Tanzania Video: Msemaji wa magaidi ya HAMAS alivyotupa mic baada ya kubanwa na swali la kwanini waliua kiholela

    Jamaa alimumunya maneno na kujaribu kueleza kuwa hawakuua watu wasio wanajeshi ila alipohojiwa na kubanwa kwanini waliua familia za watu kwenye nyumba zao, watoto na akina mama, lizee likatokwa na jasho na kutupa mic, lilishindwa kujibu. Ni aibu sana kwa mzee mtu mzima kama huyu kushindwa...
  12. JamiiForums Tanzania Video: Kama wazazi tumejenga mazoea na watoto wetu wa kike namna hii, tutawaacha salama kweli!?

    Aisee, haya mambo tuliyasikia huko Ulaya, lakini nowdays si ajabu kuyakuta Afrika. Inasikitisha sana, huu ni zaidi ya mmomonyoko wa maadili
  13. JamiiForums Tanzania Madazeni ya wapiganaji wa Brigedia ya Qassam Imejitokeza katikati ya Ghaza kwenye viwanja vya Mashujaa wa vita

    Brigedia ya Qassam, kitengo cha makomandoo wa Ghaza walioongoza mashambulizi ya kipekee kuwahi kutokea israel na kuchukuwa mateka kutokea ndani ya Israel na kuja nao Ghaza kibabe. Pia ndiyo waliokuwa mstari wa mbele kukabiliana na majeshi ya mazayuni kwa siku 48 kabla ya mapoigano kusimamishwa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Sikio la kufa halisikii dawa: Mtuhumiwa na watu wake wadaiwa kusambaza video ya Pauline akimuhoji kijana husika

    Kwa mshangao mkubwa, nimeoni picha ya kijana husika kwenye clip akihojiwa na mwanamke anaetajwa kuwa ni Pauline (haonekani katika video) na kwa maelezo ni kuwa clip hiyo yenye kuonyesha sura ya huyo kijana akihojiwa na Pauline imesambazwa na Pauline na watu wake. Sasa huku sio ndio kujimaliza...
  15. JamiiForums Tanzania VIDEO: Rais wa Sudan na Mwenyekiti mpya wa EAC alivyoshindwa hata kujua Marais wa Nchi nyingine

    Viongozi wa Mataifa ya Afrika wana shida gani jamani? Kwanini uendelee kung'ang'ania Madarakani wakati una hali mbaya kiafya? Kazi yenyewe ya stress sana bado ukomalie kubaki hapo badala ya kulea Wajukuu. Hapo anaonekana pamoja na kuwa na Karatasi ya Hotuba bado anashindwa kutaja majina ya...
  16. JamiiForums Tanzania Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

    EMMANUEL GEKUL ambaye ni mdogo wake mbunge wa Babati Mjini (CCM), Pauline Gekul akimtishia kumuua kwa kumkata kichwa na kumpiga risasi PAULINA SLAA NARSIS mkazi wa Babati Mjini akimtuhumu kusambaza video za Hashimu Ally. HASHIMU ameeleza jinsi alivyotekwa, kuteswa akiwa ameshikiwa bastola na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Video: Hamas wakiwaachia mateka wa Isreal. Wazee na watoto wakibebwa na Hamas kupandishwa katika magari

    Ukweli daimag huwa kweli. Ndio maana mayahudi walikuwa hawataki kabisa mateka wao kuachiwa kukimbia aibu Hamas wakati wanaachia mateka walikuwa wakiwabeba na kuwapandisha ktk magari kwa huruma kubwa wakiwaonyesha MOD. UZI HUU UACHE USIUDELETE AU KUHAMISHA...
  18. JamiiForums Tanzania Wajumbe wa 300 UN walazimika kutazama video za HAMAS, nafikiri sasa makelele yatapungua, kichapo kiendele

    Wajumbe 300 wa Umoja wa Mataifa wamelazimika kutazama unyama uliofanywa na HAMAS na kilichosababisha Gaza ichezee kichapo, ni video zilizokua zinachukuliwa na HAMAS wenyewe kwa walivyo wapumbavu, inapaswa zisambazwe kote kote duniani, ili makelele yapungue na kuipa Israel fursa ya kuendeleza...
  19. JamiiForums Tanzania Video: Natural Disasters (Nov.19.2023)- Flood in Mecca, Earthquake in Turkey, Snowfall in Europe

    Natural disasters wreak havoc worldwide, causing widespread damage, loss of life, and displacement. Torrential rains caused severe flooding in the Dominican Republic, the Philippines, Dubai, Santa Katarina, and Hugh, leading to evacuations, fatalities, and transportation disruptions. Ethiopia...
  20. JamiiForums Tanzania Biashara kuchukua video kwenye maharusi

    Naomba kuuliza ile camera inayotumika kuchukua vidio mbalimbali kwenye events kama maharusi,misiba, etc inauzwa sh ngapi pamoja na stand yake na je inalipa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…