video

  1. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Video: security agencies cordon off pff offices

    Security agencies have cordoned off the People’s Front for Freedom (PFF) offices on Katonga Road, preventing members from accessing the premises where Juma prayers had been planned for Dr. Kizza Besigye and former Lord Mayor Erias Lukwago, who are facing treason charges. Courtesy of UBC
  2. JamiiForums Tanzania Bongo Zozo amempost Humphrey Polepole, anadai amemmiss sana rafiki yake

    Leo nimeona Bongo Zozo amepost video ameweka na Caption "Nimemkumbuka sana rafiki yangu jamani 🥲🥲" Imefanya niwaze, ndugu, jamaa na marafiki wa Humphrey Polepole watakuwa wanaumia sana. Tunakoelekea Watanzania wataanza kuikimbia nchi yao wataanza kudhalilika kwenye nchi za watu kama Wanigeria...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Naandaa Video Inayoonyesha Mkusanyiko Wa Kauli Tata Za Viongozi wa CHADEMA na wanaharakati Zilivyochochea Vurugu wakati na baada ya Uchaguzi

    Ndugu zangu Watanzania, Nipo Nafanya Maandalizi Mazito kwelikweli ya Kutoa video itakayoonyesha Mkusanyiko wa Kauli Tata na za kichochezi zilizokuwa zikitolewa na viongozi wa CHADEMA na wanaharakati kabla ,wakati na baada tu ya zoezi la uchaguzi kufanyika. Ambazo kwa kiasi kikubwa zilionyesha...
  4. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda VIDEO: Minister Intercepts School Van Carrying Over 70 Pupils Instead of 29

    The Minister of State for Youth and Children Affairs, Dr. Lakisa Mercy Faith, has condemned the dangerous practice of overloading school vehicles after intercepting a coaster carrying more than 70 pupils, despite having a seating capacity of only 29. (video courtesy of Hon. Dr. Lakisa Faith)...
  5. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Video: University students evicted over 2006 land dispute ruling

    More than 20 Muni University students have been evicted from rented houses in Ayibiri Cell, Arua City, following a 2006 land dispute ruling. Residents argue the eviction order applies to Ocolini Cell in Bunyu Ward, not Ayibiri Cell in Onzivu Ward. Courtesy of UBC
  6. JamiiForums Tanzania Nimeangalia video mpya ya Bertin ya Arusha CBD, ni pazuri sana

    Nilikuwa naangalia video mbili za Bertin zinazoonesha maeneo ya Arusha hasa City Centre, kwa kweli ni pazuri sana Kuna very high level ya ustaarabu, ukiangalia unaona kabisa haya ndio mazingira ambayo yanatakiwa kuwepo Tanzania nzima Paved roads, bustani, miti mingi sana, utulivu na usafi wa...
  7. JamiiForums Tanzania VIDEO: Hawa ndio kuku na mayai yao tunalisha familia zetu. Nawaonea wivu watu wa mikoani kuwa na access na kuku wa kienyeji kila kona na kwa ukaribu

  8. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda VIDEO: "Where Is Muwanga Kivumbi?" LOP Questions Government Over MP's Whereabouts

    Leader of the Opposition Joel Ssenyonyi has demanded that the government explain the whereabouts of Butambala County MP and National Unity Platform (NUP) Deputy President for Buganda, Muhammad Muwanga Kivumbi, whose location has remained unknown since Friday after he was reportedly intercepted...
  9. JamiiForums Tanzania Video: Wakaka wa jf kutuma na yakutolea mmeshindwa mnajifanya wanaume haya hii challenge ya kiume mnaiweza

    Wanaume wa jf mmejaa majigambo tele haya mnameza kumjibu huyu mwenzenu kwa challenge hii: (kwa mtazamo wangu huyu ndio mwanaume huyu hashindwi kunibeba) https://vt.tiktok.com/ZSXrCKy7k/
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania DCI Wamuua Suspect wa Armed Robbery Aliyenaswa Kwenye Viral Video ya Uvamizi Westlands

    Mshukiwa mmoja anayehusishwa na tukio la armed robbery lililonaswa kwenye viral video akivamia restaurant moja eneo la Spring Valley, Westlands, ameuawa katika operesheni ya maafisa wa Directorate of Criminal Investigations (DCI) huko Joska, Machakos County. Kwa mujibu wa DCI, detectives...
  11. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda VIDEO: Government to Connect One Million Ugandans to Free Electricity

    The government has announced plans to connect one million Ugandans to electricity free of charge under the Electricity Scale Up Project. Speaking about the programme, State Minister for Energy, Phiona Nyamutooro said eligible households will receive both one pole and no pole electricity...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali iruhusu video za uchi na ngono mitandaoni na vipindi vya luninga

    SERIKALI IRUHUSU VIDEO ZA UCHI NA NGONO MTANDAONI NA VIPINDI VYA LUNINGA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Sisi ni wanadamu. Watu wapo wachache. Watu wanahaki ya kuwa binadamu kama ilivyo binadamu walivyo na haki ya kuwa watu. Sisi sio Malaika na haitakuja kutokea tukawa Malaika. Hiyo...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa dini: Vita vya Leo Ushindi wa Kesho (Audio + Video are using AI)

    Vita vya Leo Ushindi wa Kesho ni wimbo wa kutia moyo unaobeba ujumbe wenye nguvu kutoka Waamuzi 3:1–2. Katika kifungu hiki, Mungu aliwaacha baadhi ya mataifa ili kuwafundisha Waisraeli namna ya kupigana vita—hasa wale ambao hawakuwa wamepitia vita hapo awali. Hii inaonyesha kuwa wakati mwingine...
  14. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda VIDEO: None performing DISOs , RDCs to be fired -Balaam

    Minister of State for Local Government Balaam Barugahara has warned Resident District Commissioners (RDCs), Deputy RDCs and District Internal Security Officers (DISOs) that they should resign if they fail to expose corruption in the areas where they are deployed. Speaking during an...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ngoma ya AliKiba mac muga ilikua na video iliyokua mbele ya muda sana

    Kuelekea miaka 30 ya bongo fleva kuna baadhi ya ngoma zilikua mbele ya muda sana ukiachana na ngoma ya alikiba mapenzi yana run dunia ila video ya macmuga ilikua kali mno kwa kipindi hicho kwanza mandinga ya kwenye video yalikua hot 🔥 pia location director Ali fanya makubwa mnoo...
  16. JamiiForums Tanzania Hii video sio ya wagonjwa wakiletwa hospital bali ni mateka waliokuwa chini ya magaidi wa fulani kwa siku 67. Waliteswa, kubakwa na kushindishwa njaa

    Watekwa wakiwa kanisani na pastor wao aliuliwa huku wao wakichukuliwa mateka.
  17. JamiiForums Tanzania Video: Kama ulidhani umekwisha ona maajabu yote, nakuhakikishia bado kuna mengi hujayaona

    salam wakuu, Duniani kuna mengi ya kushangaza na kustaajabisha tazama mwenyewe. https://vt.tiktok.com/ZSCoTfqm5/
  18. JamiiForums Tanzania Meneja wa CCM Kirumba: Video ya watu wakijisaidia ovyo Kirumba ilipangwa ki-Propaganda ili kutuchafua

    Meneja wa Uwanja wa CCM Kirumba uliopo jijini Mwanza, Hassan Omar Ali amesema taarifa kuwa uwanja huo una changamoto ya uhaba wa vyoo ilikuwa ni mkakati wa kuchafua sifa iliyopangwa na watu wenye nia hovu juu ya eneo hilo. Hoja ya awali ~ Uwanja wa CCM Kirumba hali ni mbaya. Watu wajisaidia...
  19. JamiiForums Tanzania Wimbo: Sauti ya Yesu (audio + video vimetengenezwa kwa AI)

    Watu makini wa JF, kwa heshima kubwa napenda kuleta kwenu wimbo tuilioupatia jina "Sauti ya Yesu". Wimbo huu ni matokeo ya matumizi ya teknolojia ya akili unde (AI generated song). Hii ikijumuisha audio pamoja na video zote zimetengenezwa kwa kutumia akili unde. Yesu Anajibu Songs tunaamini...
  20. JamiiForums Tanzania V.A.R = Video Argentina Referee; Je, VAR inaibeba Argentina?

    VAR pale Argentina wanapofanya faulu Baada ya ushindi wa Argentina dhidi ya Misri, mjadala mkubwa umeibuka duniani kuhusu matumizi ya Video Assistant Referee (VAR), huku baadhi ya watu wakidai kuwa mabingwa hao watetezi wamenufaika na maamuzi yenye utata. Pia soma Mourinho: Mechi ya Misri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…