video

  1. JamiiForums Tanzania SI KWELI Video hii imerekodiwa Uyole mkoani Mbeya

    Tumia nyenzo za kidigitali kubaini eneo halisi iliporekodiwa video hii. Je, ni kweli imerekodiwa Uyole mkoani Mbeya kama ilivyodaiwa na mtumiaji mmoja wamtandao wa Instagram? anasema "Leo Mapema Uyole Fashion Week Hapa Igawilo"
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Magari ya matangazo yasambazwa mtaani kutoa taarifa kwamba watu wasiandamane. Hii imekaaje? Ni uoga au paranoia?

    Polisi ahsante sana kwa kuendelea kutangaza maandamano haya, mnafanya kazi nzuri mnatangaza nchi nzima, nyie jifanyeni kama mnasema hayatakuwepo kumbe ndio mnayatangaza kwa kasi ya ajabu.
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hii video iliyowekwa na Spika mstaafu Dr. Tulia Instagram ina maana gani?

    Kutoka Instagram, Dr. Tulia ameweka video ya binti akifanya usafi kwa kufagia na kushindwa kutoa jani ambalo limeanguka chini kwa kutumia mfagio wake. Kwa hali ya kushangaza binti huyo anaonekana akihangaika kuchukua mashine ya kufanyia usafi (leaf blower) kujaribu kulivuta jani hilo bila...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video : Joto la maandamano lazidi kupanda kanda ya ziwa

    Wakuu kiukweli nasikitika kuona viongozi wakiendelea kuonesha kutojali yaliyotokea. Kanda ya Ziwa bado inaonekana vijana hawapo tayari kuweka silaha chini. Baadhi ya mitandao ya kijamii vijana wa kanda ya ziwa wanasema aliyemuuwa Magufuli ndie aliyekua vijana October 29 kwa tamaa ya madaraka.
  5. JamiiForums Tanzania KWELI Eneo iliporekodiwa video hii ni makutano ya barabara Moshi mjini, Kilimanjaro

    Mdau tumia nyenzo za kidigitali kubainisha eneo halisi iliporekodiwa video hii?
  6. JamiiForums Tanzania Nguvu ya Umma: Harmonize ashusha video yake huko Youtube baada ya raia kususia kuitazama na kuambulia viewers wachache

    Harmonize tarehe 29 alipandisha ngoma mpya YouTube, badae ameona aifute kutokana Viewers kuwa chini ya 5k since then mpaka jana. Wananchi especially Gen Z wameona sio tu show zao hata kuwasapoti kwenye platform mbalimbali ni kitu hakitakiwi kwasasa, Wananchi wameamua kuwapuuza the so called...
  7. JamiiForums Tanzania Video: As the man of the house, what’s your next move?

    As the man of the house, what’s your next move?
  8. JamiiForums Tanzania Video: Vibe la waumini wa Gwajima kanisani leo

    Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima, leo jumapili ya Novemba 30, 2025, wameendelea na ibada za kila jumapili, ikiwa ni jumapili ya kwanza tangu Kanisa hilo kuruhusiwa kuendelea na shughuli zake baada ya kuzuiwa kwa muda. ‎ Novemba 24, 2025, Waziri Mkuu...
  9. JamiiForums Tanzania KWELI Video hii imetengenezwa kwa akili unde

    Huku ukieleza nyenzo ya kidigitali uliyotumia, bainisha picha halisi iliyotumika kutengeneza video hii.
  10. JamiiForums Tanzania Kijana: Viongozi ndio chanzo cha vijana kufanya maandamano

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka ameendelea na ziara yake maalum ya kukutana na kuzungumza na vijana katika Mkoa wa Ruvuma ambapo ameonya dhidi ya watendaji wa serikali wanaokwamisha shughuli za vijana kuwa hawatavumiliwa. Akiwa wilayani Songea leo Ijumaa tarehe...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Rais anasema kanisa lifunguliwe alilifunga kwa sababu gani? Aeleze sababu

    Miongoni mwa waumini wa kanisa la Askofu Gwajima, lililofunguliwa hivi karibuni baada ya maelekezo ya Waziri Mkuu na kupewa uangalizi wa miezi sita, amesema kuwa serikali haipaswi kuwanyamazisha wasiseme mambo. Amehoji kuwa: ‘Mnasema Rais amelifungulia kanisa, lakini kwanini alilifunga awali?’...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Polisi ilimwachia akakikimbia, akapigwa Risasi ya kwanza ikamkosa, ikapigwa Risasi ya pili ikampata akaanguka na kufariki

    Kutoka kwenye ukurasa wa Sativa mtandao wa X; Ushahidi mwingine wa POLISI na vyombo vya USALAMA wakiua watanzania. Huyu ni kijana ambae alikamatwa 29 oktoba siku ya maandamano huko TUNDUMA MKOANI SONGWE. Hapo alishushwa kwenye Gari la Polisi baada ya kupigwa sana na kuambiwa AKIMBIE...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 VIDEO: Gwajima aliwahi yatabiri haya yanayotokea sasa

    VIDEO: Gwajima aliwahi yatabiri haya yanayotokea sasa
  14. JamiiForums Tanzania Video: Sitaki kulala ndani kwa ajili ya watu wajinga, tukubaliane na aliye madarakani amani ndiyo kila kitu

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa ruhusa kwa magari ya abiria kuanza kutumia barabara ya Mabasi Yaendayo Haraka Awamu ya tatu inayoanzia katikati ya jiji la Dar es Salaam kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JNIA hadi Gongo la Mboto kwa lengo la kupunguza msongamano wa magari katika...
  15. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Raia wa Kenya: Nashangaa JWTZ na wasanii wa Tanzania raia wameuawa lakini mpo kimya, mmewaangusha wananchi

    Kwa umoja ambao wananchi wa Kenya wamekuwa wakionyesha kukemea mauaji na udikteta wa Samia unazidi kuleta matumaini kwetu watanzania Jeshi la wananchi Tanzania limewaangusha wananchi, raia wameuawa lakini wapo kimya wanaendeleza harakati za Samia, wameiapisha serikali haramu kuwa halali na...
  16. JamiiForums Tanzania Watalii wameambiwa wapuuze video za CNN huku serikali kutokanusha video zile wanamaanisha nini ?

    Watalii wameambiwa wapuuze video za CNN huku serikali kutokanusha video zile wanamaanisha nini ? Leo serikali imeaibika na kutrend vibaya sana na zile video za mauwaji zime trend zaidi na kupewa umakini na dunia. Serikali haramu inazima moto kwa kuwasha kiberiti.
  17. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msemaji mkuu wa Serikali Gerson Msigwa awahakikishia watalii usalama na kupuuza taarifa potofu

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza na Vyombo vya habari leo Novemba 23, 2025 amewahakikishia watalii wote kutoka mataifa mbalimabali kuwa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inawakaribisha wote nchi yetu itabaki kuwa ya amani na wazi kupokea wote wanaowiwa kuja...
  18. JamiiForums Tanzania Msigwa alisema serikali inachunguza video kisha itatoa ufafanuzi lakini imekuja na malalamiko ya kutangazwa kimataifa tu na sio ufafanuzi wa video

    Msigwa alisema serikali inachunguza video kisha itatoa ufafanuzi lakini imekuja na malalamiko ya kutangazwa kimataifa tu na sio ufafanuzi wa video. Aidha vyombo vya kimataifa vili itafuta serikali kabla ya kuripoti ili kutoa ushirikiano lakini serikali iliingia mitini kwa siku takribani 25 sawa...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CNN Evidence: Tanzania Police Killed Protestors

    In the chaotic aftermath of Tanzania’s disputed presidential election last month, police and gun-wielding men on patrol shot at groups of protesters, many of whom appeared unarmed or were holding only rocks and sticks, a CNN investigation has found. Geolocated videos from the scenes, audio...
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video zaidi ya 300 za mauaji yaliyofanywa wakati wa uchaguzi zimewekwa kwenye google drive: Pitia link hii

    Angalizo: Video hizi zinatisha na zinaweza kukuletea msongo wa mawazo au kuku traumatize. Kuwa makini. Pole nyingi kwa watanzania wote. Google drive link: Samia Massacre Oct 2025 – Google Drive
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…