video

  1. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Video: huyu hapa bondia mzee aliyepigwa na mwakinyo

    Ila waTanzania hua tunapenda kudanganywa na kusifia ujinga ujinga. Nikweli mchezo wa ndondi ni taaluma kama ilivyo taaluma zingine na ninaheshimu mabondia na taaluma Yao ya ndondi. Lakini ukweli lazima usemwe. Hivi inawezekanaje kijana wa miaka 27 mwenye mazoezi kede, kupigana na mzee ?, af...
  2. Msanii

    JamiiForums Tanzania Maandamano D25: Fuatilia taarifa, picha na video

    Updates za maandamano yasiyo na kikomo Tanzania. Twende pamoja Mbagala tarehe 25 Desemba 2025 saa 1 jioni Kawe tarehe 25 Desemba 2025 saa 2 usiku Kahama jioni ya tarehe 25 Desemba 2025 Maandamano Tegeta 25 Desemba 2025 saa 2. Usiku Taarifa za maeneo mengine ya nchi zinafuatiliwa na...
  3. Clayton Paul

    JamiiForums Tanzania (6MB)-BERLIN CONFERENCE ANIMATED VIDEO

  4. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Msaada.simu yangu haiplay video hadimwisho.

    Yaani cm yangu kama kuna video ina play nusu inastaki haiendelei tena labda nianze tena upya ikiplay ikafika kipande kile kile inasimama tena. Na sio video hiyo hivyo tuu ni kila video nitakayo play.kwa mfano kama instagram ndo kabisaa niifurahii kabisa inafunguka kidogo tuu ikishatulia ndio...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Video ikionesha namna Nicodemus alivyokamatwa na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi

    Wakuu SI niliona Simbachawene hivi karibuni alionya mwenendo wa aina hii ya ukamataji? au ndiyo sikio la kufa? === WATU WANAOPIGANIA HAKI WAMEKUWA WANYAMA TANZANIA Hivi ndivyo Polisi walivyo mchukuwa Nicodemus Julius loyore Amekamtwa jana ofisini kwake walienda watu waliovaa kiraia...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Video: Mjomba wa Bibi harusi apokea kipigo kizito akidaiwa kumsifia Rais Samia kwenye harusi

    Wakuu Nimekutana na hii Video inayosambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii inamuonesha mjomba wa bibi harusi akipokea kipigo baada ya kudaiwa kumsifia Rais Samia kwa kusema "Samia ni rais mzuri"
  7. 888I

    JamiiForums Tanzania Tume ya Jaji Chande wanahitaji picha na video ili "wajue" kilichotokea Oktoba 29?

    Mambo vipi wana JF.,. Nimeona hii taarifa rasmi ya Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani Oktoba 2025 – wanaomba wananchi wapeleke maoni, ushahidi, picha, video, maandishi na nyaraka zozote za matukio hayo kwa barua pepe: maoni@tume.uchunguzi.go.tz au WhatsApp/SMS. Sasa...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wewe kijana mjinga, tazama hii video huenda ujinga utakutoka

    Badala ya kuwatafutia kazi US hata za kulea wazee yeye anawatafutia vurugu.
  9. U

    JamiiForums Tanzania Video: Laiti Bi Samia angesikiliza busara za aliyekuwa Waziri Mkuu wake Kassimu Majaliwa, yasingempata mabaya!

    https://youtube.com/shorts/fqV8YjqT4bg?si=-IfgOWOIcnYOg8Wh Maneno kuntu ya aliyekuwa PM In brief note: Kassimu Majaliwa: Madaraka hayalazimishwi. Mungu ndiye hupanga nani awe nani ktk kuongoza watu wake Kassimu Majaliwa: Hata ukilazimisha kupata nafasi hiyo, huwezi kupata kama Mungu hajasema...
  10. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Waandamanaji Mbeya wanaendelea kukusanyika na mabango

    Mbeya wanaendelea kukusanyika wananchi watatulia madai yao yakisikilizwa Ila vitisho haviwezi kuwatuliza. Wamebeba mbango yanayosomeka: Uchaguzi urudiwe Tume huru Utekaji NO Samia must go Free Tz
  11. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Gen Z Mwanza waandamana, wafikisha mabango yenye ujumbe kwa JWTZ

    Hii ndio hali huko Mwanza vijana wakiandamana kwa amani barabarani, wengine wakitoa dukuduku zao mbele ya Jeshi la Wananchi (JWTz)
  12. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Hali ilivyo mkoa wa Iringa

    Mkoa wa Iringa asubuhi ya leo 9 Disemba 2025 katika siku ambayo ni Sikukuu ya Uhuru Nchini
  13. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Hali ilivyo leo katika mkoa wa Ruvuma leo Desemba 9

    Hivi ndivyo hali ilivyo siku ya leo Disemba 9 mkoani Ruvuma katika maadhimisho ya miaka 64 ya Uhuru wa Tanganyika.
  14. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Polisi wakikagua abiria Tegeta Kibaoni

    Ni asubuhi leo desemba 9, 2025 katika maeneo ya Tegeta Kibao jijini Dar es salaam, Askari Polisi wakifanya ukaguzi wa kila gari yakiwemo mabasi yanayotokea Kaskazini (Arusha, Moshi na Tanga).
  15. McLaren

    JamiiForums Tanzania Video: Kimara wameshaanza kutesti mitambo. Watu wameanza kuingia barabarani

    Wakuu, Naambiwa huko Kimara mambo yameshaanza kuchemka. Wananchi wameanza kujitokeza barabarani
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mange kufungiwa namba ya whatsapp kutapunguza sana ueneaji wa video na picha za matukio ya D9

    Mange alikuwa anafowadiwa matukio mengi kwasababu alipatikana whatsap. karibia kila mtu mwenye smartphone kajiunga whatsapp, wachache wapo instagram, wachache zaidi wapo X. Wenzake kina Hilda, Sativa, Maria n.k. hawaweki hadharani namba zao za whatsapp, hutegemea zaidi Instagram na akaunti...
  17. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kama hutaweza kuandamana, tusapoti kwa kupiga picha na video clear za kuonesha sura mapolisi na wote wenye silaha

    Najua wapo wanataman mabadiliko ila hawako tayari kujitolea hata ikibidi uhai wao, sasa kama ni hivyo, wewe tusaidie kuchukua matukio hasa kuonesha sura zao hao wahuni wenye silaha. Hii haiwezi kuisha hadi samia aishie, kama anasema amepata kura 98% sasa kesho tutaona hao milion 32...
  18. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Video hii imerekodiwa Uyole mkoani Mbeya

    Tumia nyenzo za kidigitali kubaini eneo halisi iliporekodiwa video hii. Je, ni kweli imerekodiwa Uyole mkoani Mbeya kama ilivyodaiwa na mtumiaji mmoja wamtandao wa Instagram? anasema "Leo Mapema Uyole Fashion Week Hapa Igawilo"
  19. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Magari ya matangazo yasambazwa mtaani kutoa taarifa kwamba watu wasiandamane. Hii imekaaje? Ni uoga au paranoia?

    Polisi ahsante sana kwa kuendelea kutangaza maandamano haya, mnafanya kazi nzuri mnatangaza nchi nzima, nyie jifanyeni kama mnasema hayatakuwepo kumbe ndio mnayatangaza kwa kasi ya ajabu.
  20. Cannabis

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hii video iliyowekwa na Spika mstaafu Dr. Tulia Instagram ina maana gani?

    Kutoka Instagram, Dr. Tulia ameweka video ya binti akifanya usafi kwa kufagia na kushindwa kutoa jani ambalo limeanguka chini kwa kutumia mfagio wake. Kwa hali ya kushangaza binti huyo anaonekana akihangaika kuchukua mashine ya kufanyia usafi (leaf blower) kujaribu kulivuta jani hilo bila...
Back
Top Bottom