vibaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    JamiiForums Tanzania Wakuu, nazeeka vibaya

    Kutokana na uzee wangu, watoto wangu wote walishaondoka nyumbani na wako kwenye miji yao wakijitegemea. Wengine wameoa na wengine wameolewa. Changamoto iliyopo kwa hawa watoto, kwa sasa hawanijali kabisa ata kuthamini ule mchango wangu uliowafikisha hapo walipo, pamoja na kuwasomesha na...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: Kosa tunalofanya viongozi wengi ni kutumia vibaya madaraka kwa maslahi binafsi

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk. Emmanuel Nchimbi, amewashukia viongozi wanaotumia vibaya dhamana ya uongozi kwa ajili ya kujinufaisha, badala ya kuwatumikia wananchi waliowachagua. Akizungumza Aprili 11, 2026, katika kuadhimisha miaka 104 ya kuzaliwa kwa Hayati Mwalimu Julius Nyerere. "Lakini...
  3. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mji Mkuu wa Irani Umeshambuliwa vibaya sana na vikosi vya US na Israel

    Vyanzo vyangu kutoka Iran vinaripoti kuwa kumetokea milipuko mikubwa nchini humo. Video zinazoonyesha milipuko karibu na kituo kikubwa cha makombora nje kidogo ya mji wa Isfahan zimethibitishwa. Kitengo cha BBC Verify kimechambua video tatu zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, ikiwemo...
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania IRGC Yatishia Makampuni makubwa ya Magharibi

    Baada ya viongozi wakuu wa iran kuuwawa kila siku Sasa IRGC-Walinzi wa Mapinduzi ya Iran walitangaza kwamba kuanzia kesho saa 20:00 saa za Tehran, mauaji yoyote zaidi ya afisa mkuu wa Iran yatasababisha kulipiza kisasi dhidi ya orodha ya makampuni makubwa. Taarifa hiyo inataja makampuni ikiwa...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Huwa mnatandikaje Kitanda Wakuu? Msinijibu vibaya naumwa!

    Wakuu, mimi sijui kabisa kutandika kitanda 😅 Huwa mnatandikaje? Naomba mnisaidie hatua za kufuata, msinijibu vibaya maana naumwa.
  6. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Marekani Itaanguka Vibaya Sana Kwenye Vita ya Iran

    Vita yoyote iliyofanikiwa duniani hutokana kwa kiasi kikubwa na upangaji wa mashambulizi unaofanywa na makamanda kimedani. Marekani iliingia vita ya Vitenama ikiwa haina plani za kivita ikitegemea kupiga mabomu tu, njia ambayo pia imetumiwa na Urusi kuivamia Ukraine; mbinu hiyo huwa haifanikiwi...
  7. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Nimekaa miezi 6 bila kufanya mapenzi nilikuwa na furaha na amani, wiki iliyopita nimefanya nilijisikia vibaya siku 4.

    Hapo vip! Ipo hivi mimi ni mwanaume ambaye mapenzi sana sio kipaumbele kwangu. Na nikikaa muda mrefu bila kufanya mapenzi nakuwa na amani na furaha sana kwenye maisha yangu pia nakuwa mtu wakufocus sana na mipango yangu,najiamini sana,najiona nipo salama sana,pia spirituality nakuwa na nguvu...
  8. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tatizo lilianza baada ya wanaCCM mtandao kudhania wakimuondoa hayati JPM watafanikisha mambo yao. Hali imewageukia vibaya na wanatawala kwa tabu

    Kama ilivyokuwa kwa Burkinafaso Blaise Compaore alidhania kumuua Thomas Sankara itaKuwa neema kwake kuwa atatawala kwa kujiachia na kula mali za umma anavyotaka. Naona hapa Tanzania hali ni mbaya sana kwa wanaCCM mtandao ambao wanahusishwa kumuondoa hayati JPM ambae alionekana kuwazibia mianya...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Jaji hajui tofauti ya session na seatings? au amenukuliwa vibaya

    Jaji hajui tofauti ya session na seatings halafu useme tuna Jaji hapa! Isije kuwa nimenukuu vibaya, maana siamini! Jaji ni mtu mkubwa sana kisheria, anajua sana sheria kuzisoma, kuzitafsiri, kuzifundisha...and lastly kuzitumia....having higher mental faculty of reasoning! Kutoka.mtandaoni...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Taifa leo linaenda kuaibishwa vibaya sana

    Fisi S.C ndo team pekee kutoka TZ kwenye group lake haina point hata moja. Ni aibu sana kwa Taifa. Na leo inaenda kuchabangwa tena uwanja wa Taifa kama kawa ikigawa furaha kwa wengine. Kwa kweli ni jambo la kusikitisha sana na kuhuzunisha. Mnakuwa na team bovu lisindikizaji tu kwa wenzie...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Shujaa Lissu achangiwe tena. Waliokwapua fedha zake wamefanya vibaya sana.

    Watanzania mil 7 kila mmoja akitoa bukubuku inatosha kabisa kupata fedha za kumashika mkono Shujaa Lissu ambae yupo gerezani kawa bila makosa
  12. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wananchi: Kuzimwa kwa intaneti kote nchini wakati wa uchaguzi mkuu kumeathiri vibaya uchumi na maisha

    Kuzimwa kwa intaneti kote nchini Uganda wakati wa uchaguzi mkuu kumeathiri vibaya uchumi na maisha ya wananchi, hususan wafanyabiashara na vijana wanaotegemea huduma za mtandaoni. Biashara za fedha kwa njia ya simu zilisimama, waendeshaji bodaboda waliopata wateja kupitia programu walipoteza...
  13. Red black

    JamiiForums Tanzania Kuna mshikaji wangu Desemba nilikuwa naview status zake alikuwa anafanya matanuzi/starehe vibaya sana leo kashajisahau

    Leo hii kajisahau kanitumia test ya kipuuzi sana huku sikutafutiana lawama tu, Muwe makini na status zenu mnazoweka Whatsapp na social media nyingine
  14. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania "Kuji-brand" ni kitu kinachowatafuna wasanii wengi kimyakimya na kuja kuumbuka vibaya kama mkubwa Fella

    "Kujibrand", "Kulinda brand" ni mambo yanayowaumiza wasanii wengi kimyakimya na baadae kuja kuumbuka vibaya mambo yanapowazidia. Wasanii wengi wanadhani "Branding" ni kuishi maisha feki ya kitapeli ili uonekane wa thamani huku ukiteketea ndani kwa ndani. Mkubwa Fella kwa sasa anaomba michango ya...
  15. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Tafadhali GenZ msije mkaingia huu mtego wa Maria kuvamia magereza, mtachakazwa vibaya mno

    Huyu kigagula alipofikia ni pabaya. GenZ yeyote atakayethubutu kuvamia magereza kisa kaambiwa na shetani Maria ajue kitakachompata sio kitu kizuri. Anaweza pata ulemavu wa kudumu au kifo. Watapigwa wachakae. Kwa msiofahamu ni kuwa Askari Magereza hupitia mafunzo magumu sana kuliko askari wa...
  16. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tangu tupate uhuru, hatujawahi kuwa na Serikali mbovu na hatari na yenye Waziri Mkuu mbovu kama Mwigulu

    Tangu tupate uhuru, hatujawahi kuwa na serikali mbovu na hatari na yenye waziri mkuu mbovu kama huyu ila sasa. Jamaa linaongea utadhani kinywa na ubongo havina mawasiliano. Kila anachoongea ni uongo na stori za kijiweni tena kijiwe chenyewe cha washamba. Eti, msione hivi kuna watu wanatuonea...
  17. Pakome

    JamiiForums Tanzania Wazungu mnaowaamini sana uhuni walianza wao, ninyi mmejifunza kwao, msiwape siri za nchi yenu kwasababu watazitumia vibaya

    Kosa kubwa Waafrika wanalofanya ni kuwaamini sana Wazungu kiasi cha kuwapa siri za nchi zao Uhuni walianza Wazungu enzi za Ukoloni, uhuni mlio nao ni mdogo sana mliojifunza kwao huku mkubwa wakibaki nao wao wakiutumia kuiba mali zenu kuwafundisha ufiraji na kuua nchi zenu Jifunzeni kutatua...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kwanza ya Maandamano CCM tumeshashindwa vibaya mno. Hivi hatuna watu wa strategies Lumumba? Hawa Gen Z mnawapaje ushindi kirahisi?

    Kwa mtu yeyote anadhani maandamano hayakufanikiwa D9 basi sina shaka hata akili ya kucheza drafti hana. Situation iliyokuwepo D9 imetuma message na imekuwa delivered kwa kishindo kikubwa sana, Gen Z wapo kwenye WIN WIN situation, wakitangaza kuandamana na serikali ikiweka lockdown ni win ✔️...
  19. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia ameshinda, Watanzania wameshinda Taifa limevuka na Maadui zetu wameaibika vibaya sana

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia ni Mshindi katika Vita hii ya kulilinda Taifa letu dhidi ya maadui zetu. Rais Samia ameibuka kidedea kwa mara nyingine tena kama ilivyo kawaida yake ,Rais Samia amewaunganisha Watanzania dhidi ya maadui zetu, Rais Samia Amewapa ujasiri watanzania wa...
  20. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Padre Kitima aitumia TEC vibaya

    Kuhusu maandamano maalum, hakuna tamko la TEC au Kitima la kuwonya vijana kutofanya maandamano yaliyokatazwa ya Oktoba 29, 2025. Badala yake, baada ya vifo, Kitima alisema "vijana wanataka mabadiliko," na kuwataka wajibu. Pia, kuhusu maandamano yanayopangwa Desemba 9, 2025, hakuna onyo lolote...
Back
Top Bottom