IRGC Yatishia Makampuni makubwa ya Magharibi

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,000
Reaction score
7,618
Baada ya viongozi wakuu wa iran kuuwawa kila siku

Sasa IRGC-Walinzi wa Mapinduzi ya Iran walitangaza kwamba kuanzia kesho saa 20:00 saa za Tehran, mauaji yoyote zaidi ya afisa mkuu wa Iran yatasababisha kulipiza kisasi dhidi ya orodha ya makampuni makubwa.

Taarifa hiyo inataja makampuni ikiwa ni pamoja na Cisco, HP, Intel, Oracle, Microsoft, Apple, Google, Meta, IBM, Dell, Palantir, Nvidia, JPMorgan, Tesla, GE, Spire Solutions, G42, na Boeing, wakidai teknolojia zao zinaunga mkono juhudi za vita kati ya Israeli na Marekani.
 
😄😄😄😄🏃‍➡️🏃‍➡️🏃‍➡️🏃‍➡️
 
Nawewe shabiki mkubwa umetajwa mbona ujajiweka apo juu!!!
 
Iran wanakufa maji si kuna jihadists wamekuwa wakidai humu kwamba waislam hawaogopi kifo sasa hao washia mbona wanalilia tena.

Wanadai kwamba ukifa kwenye jihad unaenda akhera kupewa mabikra 72 wenye macho kama mayai na wasioenda choo na pia unapewa uume unaosimama mwaka mzima bila kusahau mito ya Haineken na Vodka.🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom