Nilimsikia mh. Lissu kwenye Moja ya mikutano yake akisema, kuahidi na kuapa kuwa watakinukisha vibaya sana siku ya uchaguzi 2025. Ukweli sisi waoga tulishikwa na hofu kuhusu kauli hii adimu kuisikia.
Shida yangu ni kwamba sijui kukinukisha vibaya sana ni nini, watatumia nini kunukisha, kwa...
Wakuu mpo wazima hapa.
Leo nimewaza tu.
1. Kuna mtu ana jikuta yeye ni NYERERE wa sasa hivi hapa jamhuri ya muungano wa Tanzania
2. Kuna mtu hataki kustaafu. Analazimisha mambo kwa utashi wake na manufaa yake na familia yake.
3. Kuna mtu ameonesha udalali wake wazi wazi. Kashindwa ndani ya...
Wakati sisi Wairan wa Samvula Chole, Manzese Majimatitu, Tandale kwa Tumbo, Manzese kwa Mfuga Mbwa, Buguruni kwa Mnyamani na Buguruni kwa Mnyamani tunasema Irani haikuumiziwa Vinu vyake vya kirutubisha Nyuklia.
Waziri akiri viliharibiwa vibaya. Na anasema hawajakoma. Watarudi tena kuanza...
Nimeona vijana wengi waliomaliza chuo kikuu na kufaulu vizuri sana lakini maisha yanawapiga vibaya kwasababu wanafikiri elimu za darasani ndio kila kitu katika maisha. Nope, sio kweli. Nawafahamu watu wengi tu walioishia darasa la saba na wengine hawajui hata kusoma vizuri lakini ni matajiri...
Wakuu kwanini msikae kimya tu hata kama mnamchukia? Huu ni wakati wetu wa kutamba na mama yetu. Nyie tulieni ikifika zamu yenu mtatamba na wakwenu.
Mnanikosesha amani, nikiongea mnaanza kuniita Ponjoro wa Kinondoni , jina sio baya sana ila mtulie nasisi tule keki ya taifa, tukishiba mtakuja na...
Pole Sana Gambo. Najua mke wako sasa anarudi kupiga chaki.
Ila usivunjike moyo karibu katika kilimo cha mananasi ,papii , oliento sasa mlemavu ududu yaani.
Nisiwachoshe kwa misalamu ambayo haijibiwi
Wakuu mpenzi wangu tulidekezana sana. Na hatukuwa na siri yoyote kati yetu. Tuko naye kwa miaka miwili sasa mpaka akapata ujauzito na kajifungua salama kabinti kazuri.
Sasa kasheshe imeanza hapa. Mwanzo simu yake ilikuwa yangu na yangu yake. Ila sasa...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekiri kwamba uharibifu mkubwa na mkubwa ulifanyika katika maeneo ya nyuklia ya nchi hiyo katika mashambulizi ya hivi karibuni ya Marekani na Israel.
Abbas Araghchi aliambia shirika la utangazaji la serikali Alhamisi kwamba tathmini ya uharibifu huo inafanywa na...
Ni mara 100 zaidi hata angenitumia mbuzi au kuku ningejua baada ya muda watazaliana na biashara itakuwa.
Kanitumia muziki wa youtube, leo siku ya 3 kuna views 600,
kakomaa sana na muziki, wazazi na ndugu tumemuasa lakini wapi, hasikii wala haoni kwenye muziki. anapost sana status za one day...
Wale wote waliojiunga CHAUMMA nafikiri sasa wanajilaumu sana kwa uamuzi wao wa kukurupuka.
Mbowe umetumia akili nzuri sana kutest zari kwanza nafikiri umeona jinsi ambavyo ungeaibika kama ungejitokeza CHAUMMA.
NO REFORMS NO ELECTION!!!
Huyu bwana alianza kwa mbwembwe kubwa akiwa analazimisha watumishi wote wa serikali kuu nchi nzima wawe wanamtumia email kila wiki kuelezea walichofanya kila wiki mwishowe ikaishia kwa yeye kutakiwa na bodi ya wakurugenzi arudi kazini kwake Tesla na kufanya majukumu yake aliyotekeleza.
Naada ya...
"Pana sheikh nimesoma kwenye mitandao anasema wote wanaomsema mama wapate ugonjwa wa kiharusi, huyo ni hseikh huyo. Sasa nikiangalia huyo ni sheikh au shehena? basi hilo shehena hamna sheikh hapo. Tabia ya mtume Mohamed S.A alikuwa anampenda kila mtu"
Mbunge wa Viti Maalumu, Thea Medard Ntara amesema Serikali inatakiwa kuelekeza nguvu katika kudhibiti matumizi ya Dawa za P2 kwa maelezo kuwa zimekuwa na athari kubwa katika kizazi cha Wanaotumia ikiwemo kupata saratani ya uzazi, ujauzito kutoka, kutokwa na damu nyingi au kidogo.
Amesema hayo...
Wadau hamjamboni nyote? Three Israeli soldiers were killed and two were wounded by an explosive device during operations in northern Gaza’s Jabalia yesterday evening, the military announces.
The slain soldiers are named as:
Staff Sgt. Lior Steinberg, 20, a combat medic, from Petah Tikva...
Kwenye pitapita zangu nimekutana na tangazo hili kutoka kampuni ya Bima ya Jubilee Insurance ikitangazia umma kuhusu Bi Neema Vegula kuwa sio sehemu ya familia ya Jubilee Insurance.
Ukilisoma tangazo hili limekaa kimtego sana na kwa upande mwingine sidhani kama linafuata miongozo na sera za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.