Habari wakuu
Hapa nilipo sina amani kabisa ,uwezo wa kunusa umepotea kabisa ,ninakula chakula bila kusikia harufu yake.
Ninamafua ya kawaida hayanibani sana ,ila hili la kutonusa na kusikia harufu ya kitu limekuwa kubwa zaidi
Naomba kujua tiba yake
Uzi tayar