uwezo

  1. Kumchukia mtu kutokana na mafanikio yake ni kufilisika kwa uwezo wa kufikiri

    Kufanikiwa kumekuwa moja wapo ya sababu ya kufanya maadui waongezeke kwani kadri neema zinavyoongezeka ndivyo hivyo hivyo maadui wanaongezeka. Swali kubwa ni kuwa Kuna mantiki yoyote kumchukia mtu aliyefanikiwa? Iko wazi chuki ni miongoni mwa vitu vinavyosababisha msongo wa mawazo. Kumchukia...
  2. Uwezo wetu wa akili ni mdogo mno, teknolojia yetu inaenda kama konokono, binadamu anachekwa kila kona

    Binadamu kafeli, tunaenda kwa speed ndogo sana ya maendeleo hasa kwenye suala la technologia, speed yetu ipo limited mno, kuanzia anga, majini hata nchi kavu. Tunajisifu ujinga tu, tukigundua kitu kidogo tu makelele miaka mitano au sita,akitokea mmoja wetu na wazo la ujinga tu(mf:elon musk)...
  3. Ukosekanaji wa Haki kwenye Mhimili wa Mahakama, kunaweza kuwa kunachangiwa na Majaji/Mahakimu wenye uwezo mdogo kubaini haki?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila siku za Jumatatu, huwaletea makala za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambayo huchapishwa na gazeti la Nipashe la Jumapili, ambazo ziko kwa mtindo wa maswali, majibu ya maswali hayo, utayapata wewe mwenyewe, na kisha tutawatafuta wahusika, ku balance hii mada, hivyo...
  4. Unaweza kuiua timu yako kwa kuwa unaamini uwezo wa timu pinzani?

    Mechi kali kama ya leo ya Simba na Yanga huwa na vimbwanga vingi kila shabiki akizungumzia umaridadi wa timu yake. Mbali na hilo, kuna suala la hela. Je, unaweza kuiua timu yako kwa kuwa anaamini uwezo wa timu nyingine? Kama unaweza, kwa nini usihamie timu hiyo ambayo unaamini uwezo wake?
  5. Watu wenye uwezo wa Ajabu Duniani

    JIONEE WATU WENYE UWEZO WA AJABU NA KUSHANGAZA Je, unafahamu kuwa watu wenye nguvu za ajabu kuliko uwezo halisi wa kibinadamu wapo? Ni kweli watu hao wapo na wengine wanaishi hadi sasa. Ni watu ambao wana vitu vya ajabu kama uwezo, nguvu na kuwa imara madhubuti. Wafuatao ni baadhi ya watu hao...
  6. Watanzania kabla ya kuanza mradi wa Bandari ya Bagamoyo tafuteni Articles za 'Lesson from Sri Lanka Hambantota Port'

    Watanzania kabla ya kuanza huo mradi wa Bandari ya Bagamoyo naomba tafuteni Articles za LESSON FROM SRI LANKA Hambantota port. Kama hizo article umezipata please tunaomba uzishare ndani ya huu uzi. Wabongo mnataka mjidai mnawazidi akili wa Sri Lanka ninyi. Tunataka siku mkianza kulia tulie...
  7. Mishahara kuchelewa, kipimo kingine cha uwezo wa Rais Samia

    Leo tarehe 24 mishahara bado haijalipwa. Ieleweke kwamba vitu kama hivi ndivyo vitakavyopima uwezo wa Rais Samia kama anastahili Awamu ya Pili au la. Nachelea kusema kwamba kwa mwezi kama huu (mwisho wa mwaka wa fedha) kufika tarehe 24 mishahara haijalipwa si dalili njema huko tuendako.
  8. Junior anaonyesha uwezo wake wa kutumia mikono na miguu

  9. Serikali haina uwezo kuajiri walimu vyuo vikuu au sio kipaumbele?

    Katika kitu kinashangaza ni hili la vyuo vya umma vya elimu ya juu kuwa na upungufu mkubwa mno wa waalimu. Yaani kitu ninachojiuliza ni kwamba serikali haina uwezo kuajiri kuziba huu upungufu mkubwa wa waalimu au ni kwamba sio kipaumbele chao. Inashangaza zinatolewa ajira za walimu wa sekondari...
  10. Kama una uwezo jenga nyumba ya nyuma ni muhimu sana

    Rafiki yangu alipata eneo la nusu heka, aliamua kujenga nyumba ya nyuma ya vyumba vitatu na kimoja ni en-suite. Kwa kweli sikumuelewa, ingawa vyumba viwili aliwapa dada na kaka wa kazi na ensuite aliiweka kwaajili ya wageni. Uchaguzi uliopita baba yake alikua mmoja wa wazee wa chama kimoja...
  11. B

    Rais Mkumbuke Nassary na Masele, Ni vigeugeu ila wanao uwezo wa kukusaidia

    Joshua Nassary pamoja na Steven Masele Ni baadhi ya vijana ambao wakitumiwa vyema wanaweza kutusaidia kusogea mbele. Mmoja alisaliti Chadema lakini mwingine alisimama Imara ila chuki binafsi na kukomoana zikamfifisha malengo yake. Tunapojadili kuijenga Tanzania lazima tuachane na chuki binafsi...
  12. Mwigulu Nchemba: "Napendekeza kupunguza adhabu kwa makosa ya pikipiki na bajaji lengo ni kuweka adhabu kwa kuzingatia uwezo wa kulipa"

    Good evening jamiiforums Soma hapa>>> Kwanini tozo kwa makosa ya usalama barabarani zisishabihiane na uzito wa kosa husika? WAZIRI MWIGULU NCHEMBA LEO BUNGENI ===== "Mh. Spika napendekeza kupunguza adhabu kwa makosa ya pikipiki na Bajaji kutoka elfu thelathini za sasa hadi elfu kumi kwa kosa...
  13. Serikali ya Rwanda inajenga nyumba self contained kwa wasio na uwezo

    Ni nyumba ya vyumba viwili. Sharti la kuingia humo ni kusaini mkataba na serikali kuwa hutaiuza wala kuipangisha ni kwamatumizi yako na familia Swali ninalo jiuliza ni kuwa wanalipa kodi au service charges? Ni jukumu la mpangaji kufanya repair kukiwa na kasoro? Hii inaitwa investing in people...
  14. Kwanini kuweka mifumo imara nchini kunaogopwa?

    Mwendazke na uzalendo wake wote hakutaka kuweka mifumo kabisa ndo maana kwa sasa kila kitu chake kishapinduliwa. Mama na yeye haelekei kujenga mifumo bali anafuata nyayo za mwendazake, Je ni kitu gani wanaogopa? Kwanini hawataki kuweka mifumo? Mama anaweza kuacha legacy ya kuwa Rais pekee...
  15. Hizi ndio nchi kumi Afrika zenye uwezo mkubwa wa kijeshi

    Habari zenu ndugu zangu wakubwa kwa wadogo. Leo nimeangalia katika BBC Swahili nikakutana na list ya nchi kumi za Afrika zenye uwezo mkubwa kijeshi. Ki ukweli hii list imenishangaza kuona baadhi ya nchi ambazo zimeshindwa hata kuleta amani au hata kutuliza hali ya usalama katika nchi zao...
  16. Niseme tu Katiba Mpya tusubiri miaka 100 mbele, kizazi hiki hakina uwezo wa kuisimamia hiyo katiba mpya inayodaiwa

    Napingana sana na wana harakati na waumini wanao dai sasa nchi inahitaji katiba mpya ili iweze kwenda mbele.Mimi napingana nao kwa sababu kuu zifuatazo 1. Kwa sasa kudai uandaaji wa katiba mpya ni kupoteza fedha na muda kwa sababu sisi kama nchi bado hatuna uwezo wa kuisimamia hiyo katiba mpya...
  17. T

    Hivi kiongozi bora ni mentality, uwezo na imani yake ndo vinampa ufanisi au chama alichomo?

    Mfano mzuri ni Mhe Lowassa. Alipokuwa CCM kuna waliompenda na kuna waliomkosoa kwamba ni fisadi mkubwa sanaa. Akabadili jezi ikawa vice versa. Mfano wa pili ni Nyarandu vivo hvo amebasili jezi wafuasi wamebadir mioyo yao na waiomchukia pia wengi wameanza kumpenda. Hadi huwa nafikiria TZ siasa...
  18. M

    Wizara kuweka gharama za kulipia nguzo 1,2,3 = Tsh 27000/= linaleta kero kubwa, TANESCO hawana uwezo wa kufidia punguzo hilo

    Wizara ya Nishati umeshindwa kutatua kero za kuunga umeme kwa wananchi na badala yake imezidisha ugumu wa kupata huduma ya umeme hasa kwa wateja Wanahitaji nguzo 1,2,3,4,5,6,7,8,9, Hadi kumi. Wizara ilitoa sharti gumu kwa TANESCO inayojiendesha kihasara kupunguza gharama za umeme wa nguzo na...
  19. Kilichotokea jana kuhusu LUKU ni matokeo ya kuajiri watu kwa kuangalia vyeti pasipo kuangalia uwezo

    Habari wadau! Jana baada ya kutokea kashikashi ya mfumo wa manunuzi ya Luku, nikawaza sana hawa wahandisi wa umeme waliozingua watakuwa ni product ya chuo gani? Nikajiuliza je walipigwa interview kweli kabla ya kazi au ndio wale waliopata ajira za kamuite? Au ndio huu mfumo wetu wa kuangalia...
  20. Mkoa wa Mbeya unahitaji RC Mwenye uzoefu , hawa Makada wa ccm mnaowaleta kuja kujifunza kazi hawana uwezo wa kubadili chochote

    Baada ya Amos Makalla aliyekuwa Katibu wa uchumi na fedha wa CCM Taifa kuteuliwa kuwa RC na kuletwa Mbeya kujifunza uongozi na baadaye kushindwa na kutimuliwa , akaletwa kada mwingine aliyeitwa Chalamila , huyu alitolewa kwenye ukatibu wa ccm Iringa , huku akiwa hajui lolote kuhusu uongozi zaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…