Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,010
- 9,875
Exocoetidae ni familia yenye aina 64 za samaki ambao wana mbaywa na wanaweza kupaa angani. Uppaji wao huwa unafanyika baharini ili akichoka anarudi kwenye maji
Samaki hawa wanaweza kupaa mita 6 juu ya uso wa bahari na huwa na mwendo kasi wa hadi kilometa 70 kwa saa, na anaweza kupaa hadi mita 200 kaba ya kuchoka
Samaki hawa akichoka huwa anarudi na kugusisha mkia kwenye maji na kuendelea kupaa. Huwa wanafanya hivyo mara nyingi wakiepuka samaki wakubwa ambao wanawakimbiza wakiwa ndani ya maji
Samaki hawa huwa na hatari nyingine kwani wanapokuwa angani hukamatika kirahisi na ndege wanaozulura baharini kutafuta samaki