uwezekano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tunayoitaka: Dira na Uwezekano

    Tanzania, nchi yenye utajiri wa rasilimali na utamaduni, imekuwa ikipiga hatua kubwa katika nyanja mbalimbali za maendeleo. Hata hivyo, ili kufikia ndoto ya Tanzania tunayoitaka, kuna mambo kadhaa muhimu ambayo yanapaswa kuzingatiwa. Makala hii itajadili masuala ya kiuchumi, kijamii, kisiasa, na...
  2. JamiiForums Tanzania Saikolojia: Mtoto wa chini ya miaka 6 anayeshuhudia matukio ya Ukatili ana uwezekano wa kuyafanya akiwa mkubwa

    Leo kuna jambo nimelisikia kutoka kwa Mtaalamu mmoja wa Saikolojia aliyehojiwa na Clouds FM akisema matukio ya Ukatili yamekuwa yakiendelea kutokea kwasababu Watoto wanaoishi katika mazingira hayo wanaharibiwa kisaikolojia na hali hiyo inawafanya kuja kutenda Ukatili pale wanapokuwa wakubwa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upo uwezekano wa Arusha kutoka kuitwa Geneva of Africa na kuitwa Wadudu City, tunavurugana

    Arusha inasifika kwa utalii.....Arusha ni jiji linalokutanisha watu wa makundi mbalimbali kwa sababu ya hali yake ya hewa. Katika ukanda wa Afrika Mashariki DAR imeshindwa kushindana na Nairobi kwa sababu hali ya DSM ni joto na hivyo uvutia watu wachache kuishi ikilinganishwa na Nairobi ambayo...
  4. JamiiForums Tanzania Uchunguzi wa Jiolojia Unathibitisha Uwezekano wa Rasilimali Muhimu katika Maeneo ya Kimberlite ya Tanzania: Je, Almasi Zaendelea Kupatikana?

    Kimberlites ni miamba ya kipekee ambayo mara nyingi hufanana na mianzi ya juu ya koni na ambayo ina uwezekano mkubwa wa kuwa na almasi. Hii ndio kimberlite ilivyokamili kabla ijapata mabadiliko ya kijiolojia: UGUNDUNZI: Kimberlite iligunduliwa kwa mara ya kwanza huko Kimberley, Afrika Kusini...
  5. JamiiForums Tanzania Uwezekano wa Vita Vikuu vya Tatu (WW III) vya Dunia ni mdogo sana

    Pamoja na purukushani zinazoendelea sehemu mbalimbali za dunia za kuchokozana, kuvamiana na kubutuana siku za hivi karibuni uwezekano wa kutokea vita vikuu vya tatu vya dunia bado ni mdogo sana. Kwanza tukumbuke katika vita vya kwanza na vya pili vya dunia ambavyo chanzo chake kilikuwa ni ulaya...
  6. JamiiForums Tanzania Kama nchi tunajipangaje na huu uwezekano mkubwa wa WW3 ambao utakuwa na athari kubwa duniani?

    Kwa mashambulizi ya jana na usiku huu waliyofanya Iran kwa Israel tutegemee Israel kujibu. Tishio ni kubwa kiasi kwamba "Doomsday Plane" ya Israel imeonekana ikipaa ikidhaniwa ni viongozi wanahama nchi. Ni kubwa kiasi kwamba inasemekana Netanyahu amehama Ikulu na kukimbilia kwenye jumba kubwa la...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali Inafanya Tathimini ya Uwezekano wa Kupanga Bei Moja ya Bidhaa za Petroli Nchi Nzima

    SERIKALI INAFANYA TATHMINI YA UWEZEKANO WA KUPANGA BEI MOJA YA BIDHAA ZA PETROLI NCHI NZIMA Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga amesema Serikali kupitia EWURA inafanya tathmini ya uwezekano wa kupanga bei moja ya bidhaa za petroli nchi nzima. Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Aprili 3,2024...
  8. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, Sheria ya Mpira inasemaje juu ya goli la Yanga? Je, kuna uwezekano wa kufungua kesi?

  9. JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa Rais wa JMT ndie Serikali, Bunge na Mahakama? Yuko juu ya Mihimili yote 3. Je, kuna uwezekano Rais wa JMT pia yuko juu Katiba?

    Wanabodi, Hii ni makala kwenye gazeti la Mwananchi la Jumatano. Kwa wasomaji wapya, naendelea na makala zangu elimishi, kutoa elimu ya katiba, sheria, haki na wajibu, ili kutoa darasa kwa Watanzania kuijua katiba yao ya JMT ya mwaka 1977, kwa jicho la Mtunga Katiba, kwa mimi kuvaa viatu vya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa sana Simba kushinda. Yanga ni mtihani

    Katika maandalizi yanayoendelea kwa Simba na Yanga kuelekea mechi zao dhidi ya Al Ahly na Mamelod inaonyesha Simba wana nafasi kubwa sana ya kushinda mechi yao tena kwa idadi kubwa ya magoli hapa nyumbani. 1. Inaonyesha wachezaji wao wamedhamiria sana safari hii kufika nusu fainali. 2...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa akili ku-operate sawasawa ukiwa umelala? How do we dream our future? How do we get revelation/healing in dreaming?

    Sayansi inatuambia kuwa ulimwengu wa ndoto ni matokeo ya fikra na akili yako wakati ulipokuwa unafanya shughuli zako za kila siku,akili zetu hugeuka camera na kudaka baadhi ya matukio na kuyasave katika ubongo hivyo tunavyopata muda wa kujipumzisha ndivyo akili inapata kurejelea zile kumbukumbu...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Aubin Kramo hajui kuwa jina lake limeondolewa kwenye wachezaji wa Simba

    Pamoja na mapenzi kwa timu yangu, ila mara kwa mara sijasita kuja na malalamiko dhidi ya uongozi wa Simba na moja ya maeneo yanayokera wengi yanahusiana na treatment ya wachezaji wake kuanzia wale walio bora hadi wale ambao wanaonekana mchango wao umepungua mno na wanaigharimu timu. Imefika...
  13. JamiiForums Tanzania Wadau hivi kuna uwezekano wa busara na pesa kuwa katika chombo kimoja?

    Vikao vingi vya harusi, misiba na michango mengine hautaweza kuona mwenye pesa kuwa na busara ya kuongoza kikao au hata kawaida kumshuhudia mwenye pesa awe na busara. Nadhani sijawahi kushuduia unajua kwanini? Je, ulishawahi kushuhudia combination hii? Unamkumbuka Rais wa Yanga alivyowaita wana...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano 20th July, 2024 Mike tyson akarudi Ulingoni kupambana na Jake Paul

    Mike tyson mwenye umri wa miaka 57, na Jake Paul mwenye umri wa miaka 27, wameonesha nia ya kuingia ulingoni na kuzichapa. Una maoni gani juu ya huu mpambano, nani unampa karata yako ya ushindi? Cc: Maghayo
  15. JamiiForums Tanzania BoT, je kuna uwezekano wa kuongeza quality za noti zetu ili kupunguza gharama za kuchapisha mara kwa mara?

    Leo nimepokea huu ujumbe kutoka benki kuu. "Ewe Mwananchi Benki kuu ya Tanzania inakukumbusha kutunza vyema Noti na Sarafu zetu ili taifa lisipate gharama kuchapisha fedha kila mara kufidia uharibifu" IPi ni nafuu zaidi? waongeze ubora ili kuchelewa kuchakaa kwa noti zetu au quality iendelee...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa Mungu kuwa na nguvu sawa kitu alichokiumba (shetani)?

    Ramadhani njema wanajamvi! leo naleta hoja lakini hoja yangu ni ya kiimani nataka kujua kupata kujifunza kutokana na fikra zangu hazinishawishi pia,nifahamike mimi imani yangu ni muislamu hivyo siyo kama nakebehi kuhusu hoja yangu na ikiwa nimekosea mungu anisamehe. Qur'an na bibilia...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa quran kikawa ni kitabu kilichokuwa na kila kitu

    Katika surat al baqar aya 48 amewaelezea waislael ambapo anasema" o children of israel!remember my favour which i bestowen upon you and that exalted you above the people..kwa kuangalia ayah hii nikagundua quran haijabakisha jambo kwani hata wadudu na sayari zimeongelewa.
  18. JamiiForums Tanzania Je kuna uwezekano wa Simba kuhamia moja kwa moja uwanja wa Mej. General Isamuhyo ulioko Mbweni?

    Nimewaza na kuwazua, kwa muda sasa Simba imeweka kambi yake maeneo ya Mbweni na ni umbali mdogo sana kutoka uwanja wa Meja Generali Isamuhyo ulipo. Yaani umbali wake ni mdogo kiasi kwamba katika mechi inayokuja ya JKT vs Simba, Simba wanaweza kuamua siku ya mechi kutembea kwa miguu kutoka...
  19. JamiiForums Tanzania Misri yapeleka Jeshi mpakani kukabiliana na uchokozi wa Israel

    Kimya kingi kina mshindo. Hatimae nchi ya Misri imeamua kuongeza askari wake maeneo ya mpaka wa Rafah na lango la Karem Shalom. Uamuzi huo umekuja baada ya maonyo ya awali na kufuatia taarifa ya jeshi la Israel kwamba liko mbioni kupeleka askari wa miguu eneo la Rafah walipojikushanya...
  20. JamiiForums Tanzania Wataalam wa sheria, hakuna uwezekano wa kwenda mahakamani kuishinikiza Serikali iruhusu uwepo wa mshindani wa TANESCO?

    Habari za leo, Natumaini mnaendelea vizuri na utekelezaji wa majukum ya kila siku. Binafsi nimekuwa nikifuatilia utekelezaji wa shughuli za mahakama Nchini Kenya nimeona mamna ambavyo Mahakama ya Kenya imekuwa ikitoa mashinikizo mbali mbali kwa serikali kwa manufaa ya wananchi Tukirudi hapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…