uwezekano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. milele amina

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uchaguzi wa CHADEMA,Kuna uwezekano Lissu akakosa Bara na Pwani Umakamu mwenyekiti na uwenyekiti

    Katika uchaguzi ujao wa Chadema, kuna dalili kwamba Tundu Lissu huenda akakosa nafasi za uongozi bara na pwani, hasa (katika nafasi za umakamu mwenyekiti na uwenyekiti.) Hali hii inatokana na changamoto mbalimbali zinazokabili chama hicho, ikiwa ni pamoja na mpasuko wa ndani na ushindani mkali...
  2. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Mpanzu ni usajili wa kisiasa kuna uwezekano asicheze kabisa Simba

    Elie Mpanzu aka Joshua Mutale toka kongo. Huu ni usajili wa kisiasa na inawezekana asichezee kabisa Simba msimu huu. Simba ni mabingwa wa kufanya sajili za kisiasa kutuliza joto la mashabiki. Lakini pia Mpanzu hana quality ambayo wengi wanaamini anayo ni winga wa kizamani wa kucheza kwenye...
  3. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Unavyonunua gari fikiria na uwezekano wa kupata mteja kama ukiamua kuliuza

    Kuna magari ni kama "mimba" (tukumbuke umri wa mimba isiyo na hitilafu ni siyo chini ya miezi tisa). Kuna magari hayauziki hata upunguze bei kiasi gani labda uuze kwa hasara kubwa au uuze kama skrepa lakini kuna magari mengine unaweza kupata mnunuzi wa bei nzuri tena siku hiyohiyo unayotangaza...
  4. Titus Christian Katunzi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mimi nmesoma Elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii, hivi Kuna uwezekano wa kubadilishwa kutoka kwenye ualimu nikaenda ustawi wa jamii?

    Naomba msaada plz. Mimi nmesoma Elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii, hivi Kuna uwezekano wa kubadilishiwa muundo kutoka kwenye ualimu nikaenda kufanya kazi Uastawi wa jamii au maendeleo ya jamii? , na je maendeleo ya jamii scale yao ya mshahara ni zaidi ya ualimu? Naomba kueleweshwa kwa...
  5. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Prince Dube aliingia uwanjani akiwa na wenge la pombe ya usiku (hanging over) Yanga kuna tatizo kubwa.

    Mpaka sasanikitizama video za marudio ya mechi ya Yanga vs Al hilal nikiangalia jinsi ambavyo prince Dube alikuwa anaanguka peke yake bila kuguswa 😆 tena yupo kwenye position ya kufunga anaanguka kama walevi wa ambiance au K vant Mpaka wqchezaji wa Al hilal wakawa wanaonyesha ishara ya...
  6. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Simba ndiyo club iliyokomaa zaidi kimpira Tanzania

  7. T

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uwezekano wa vita kuu ya dunia ya 3 kutokea? Na JE, tujiandaaje??

    Wahenga walinena, 'lisemwalo lipo na kama halipo liko njiani linakuja!' Katika hii vita Kati ya Urusi na Ukraine, Urusi ilishataadharisha mapema kuwa iwapo Mataifa ya NATO yatairuhusu Ukraine kutumia Silaha za masafa marefu kushambulia ndani ya Urusi, basi Urusi itahesabu kuwa NATO imeingilia...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano kilichomtoa Gamondi pale Yanga ni kutoamini katika Uchawi na Majini, Inahuzunisha sana

    Wazungu huamini sana katika uwezo wa wachezaji, lakini huku africa hasa Pale ambapo inasemekana wenye akili ni wachache sana wanaamini katika Uchawi. Inasikitisha sana unafukuza kocha huku mbeleni una mechi za CAF.
  9. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Yanga agalieni uwezekano wa kumrudisha Youssef Ammar, na kusajiri mshambuliaji mmoja mzuri kijana jahazi linazama

    Mimi siyo mtaalamu wa soka wala siyo daktari wa michezo. Hapa nitaweka mtazamo wangu kwa hisia tu hivyo mkiona nipo sahihi fuateni, mkiona sina hoja puuzeni tu. Nikiangalia muenendo wa viwango vya wachezaji kiafya na viwango vyao wanaporudi toka majeruhi na kurudia kupata majeraha na utimamu wa...
  10. Twilumba

    JamiiForums Tanzania Sehemu za kuingilia Kigamboni; Kigamboni Ferry na Darajani kufungwe Camera kudhibiti uwezekano wa kuwa eneo la kihalifu

    Kulingana na matukio ambayo yameanza kujitokeza ya uhalifu nazishauri Mamlaka sasa ziwezeshe vifaa vya utambuzi kama Camera kwenye maeneo ya kuingilia kigamboni kwa maana ya Ferry na Daraja la Mwalimu Nyerere ili kwa kiasi kudhibiti matukio ambayo yameanza kujitokeza hasa ukizingatia kuwa...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia akutana na Mawaziri Nchini wazungumzia uwezekano wa kufadhili vipande vya SGR vilivyosalia

    Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayesimamia Kanda ya Afrika Mashariki na Kusini, Victoria Kwakwa, amesafiri kwa njia ya Treni ya Kisasa-SGR kuanzia Dar es Salaam hadi Dodoma ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku 3 nchini Tanzania kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Benki ya...
  12. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali imejipangaje kukabiliana na uwezekano wa kutokea uhaba wa mafuta mkubwa duniani kutokana na mzozo unaoendelea katika ghuba ya Uajemi?

    Iran Tovuti kubwa ya habari duniani Reuters imeripoti kuwa "Nchi zinazopatikana katika ghuba ya Uajemi (Persian Ghulf states) zitakazo saidiana na Israel kuishambulia Iran katika visima vyake mafuta (oil facilities) , hazitabaki salama. Iran itajibu mapigo kwa kuangamiza oil facilities zote...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano kwamba wanaoteka na kuua wanafanya hivyo kwa maslahi yao bila raisi Samia kujua kwa kuwa wananufaika na uwepo wake madarakani?

    Kuna watu wamemlaumu raisi Samia moja kwa moja kwamba anahusika na utekaji na uuaji unaofanyika nchini kwa sababu kuna viashiria vikubwa sana vyombo vya dola vinahusika katika uhalifu huu. Lakini je, ni kweli kwamba raisi Samia anahusika moja kwa moja na utekaji na uuaji unaofanyika nchini hivi...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nafasi ya Urais: Dkt. Samia atashinda uchaguzi huu. Ni Wabunge gani wa CCM wana uwezekano mkubwa kutetea viti vyao Bungeni 2025?

    Nia na dhamira yake njema kwa waTanzania, Record yake nzuri ya maendeleo yanayoonekana kwa wanainchi kijamii, kisiasa, Kitaifa na kimataifa ndani ya muda mfupi sana, ndiyo inambeba zaidi Dr.Samia Suluhu Hassan, na kumuhakikishia ushindi wa kishindo wa urais 2025, atakapogombea nafasi hiyo ya juu...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huenda Gachagua akajiuzulu wakati wowote, maana imethibitika hakuna uwezekano wa muujiza kumnusuru kuondolewa nafasi ya unaibu rais

    Huenda haitazidi ijumaa ya kesho.. Akisubiri kubanduliwa na bunge bila kujiuzulu, basi atakua amejiondolea mwenyewe sifa na vigezo vya kikatiba kuwania nafasi za uongozi wa kisiasa wala, kushikilia nafasi yoyote ya utumishi wa umma nchini Kenya. Kwa lugha nyingine, atakua amajifungia maisha...
  16. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania Michael Clifford ana uwezekano wa kuweka wazi majina ya wahusika wote ambao alifanya nao online conference ya kumpiga risasi Lissu

    Wakati ukuta, tuliwahi kusema na watu walisema MICHAEL CLIFFORD anaenda weka majina ya wote walioshiriki katika unyama wa Lissu. Kwakua tulizoea wafunga mdomo watanzania je tutaweza mfunga mdomo Michael Clifford?
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Uhaini My God!. Kuna Uwezekano Anadanganywa na Kadanganyika? I Don't Believe This!. Sitatizwi na Uongo Wao, Natatizwa na The Motives Behind Such Lies!

    Wanabodi, Mabandiko mengine sio mabandiko ya kitoto!, ukijiona huelewi, we jipitie tuu!. Angalizo la Alama ya Kuuliza "?". Mimi mwenzenu jameni, nimewahi kuitwa mahali na kufikishwa mbele ya kamati fulani kwa kutuhumiwa nimesema statement fulani!, kumbe masikini mimi, sikutoa statement...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Wenye mawazo bunifu mazuri mnakaribishwa kuyaendeleza mawazo yenu na kupata washirika kutoka ndani na nje ya nchi na uwezekano wa kupata ufadhili

    Watu wote mnaofikiri mna mawazo bunifu manakaribishwa kuyaendeleza mawazo yenu kupitia usaidizi wa shirika lisilo la kiserikali la ResearchLink International. Tafandhali jaza fomu iliyopo katika link hapo juu, submit na fuatilia e-mail kwa maelezo zaidi. Wazo lako linapaswa kuwa la kipekee sana...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna uwezekano John Heche akatimkia ACT Wazalendo

    kama mazungumzo na makubaliano yao yatamalizika vizuri kama yalivyo anza, na wakaafikiana vyema, basi ni wazi mungwana anakwenda kuchukua nafasi muhimu sana ya uongozi wa juu kitaifa ndani ya ACT WAZALENDO... demokrasia ndani ya vyama vya siasa inashamiri na kusitawi vyema, na kwakweli inazidi...
  20. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania hivi kuna uwezekano wa mfumo wa ujamaa kufanya kazi kukiwa na wastani mkubwa wa ongezeko la watu?

    tunafahamu kuwa ujamaa ni mfumo bora ambao ndani yake kuna baraka kubwa kutoka kwa mungu,kawaida mungu hutaka watu wake wajumuike ili kumuabudu na kumsifu kwa pamoja,kuishi,kumiliki na hata kufa na kuzikana kwa pamoja,lakini naweza kusema ujamaa ni mfumo wa mbinu/mchakato katika kujenga ubepari...
Back
Top Bottom