Biden anasema kuna uwezekano wa "wanajeshi wa Marekani kupigana na wanajeshi wa Urusi"

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,978
32,387
Wanaukumbi.

🇺🇸 BIDEN WARNS: WE HAVE TO FIGHT RUSSIAN TROOPS IF UKRAINE FALLS

In what appears to be a form of blackmailing to an entire nation, Biden ties the confrontation with Russian troops directly to the withholding of aid to Ukraine

"Congress have to pass aid for Ukraine"

"If Putin attacks a NATO ally, we will fight Russia"

"American troops fight Russian troops"
===============
🇺🇸 BIDEN AONYA: TUNATAKIWA KUPIGANA NA ASKARI WA URUSI IWAPO UKRAINE ITAANGUKA.

Katika kile kinachoonekana kama aina ya kudhulumu taifa zima, Biden anafungamanisha makabiliano na wanajeshi wa Urusi moja kwa moja na kunyimwa msaada kwa Ukraine.

"Congress inapaswa kupitisha msaada kwa Ukraine"

"Ikiwa Putin atashambulia mshirika wa NATO, tutapigana na Urusi"

"Wanajeshi wa Amerika wanapigana na askari wa Urusi"

View: https://youtu.be/_iZv5ursdYg?si=KPEIbHNy_UiYwspq
 
Huyu mzee kaishachanganyikiwa hajui ashike wapi aache wapi kavurugwa.
Hapa Hamas, pale Hizbollah, huku Houths, kule Urusi.

Na Israel yeye hawezi kwenda kupigana vita nje ya Gaza ambako anapigana na watoto na wagonjwa.

Urusi atapiga kambi zote za Marekani mamaee.
 
Nimecheka sana shekh upo overated Cha msingi USA aanguke tu Ili Dunia ipate amani
 
Huyu mzee kaishachanganyikiwa hajui ashike wapi aache wapi kavurugwa.
Hapa Hamas, pale Hizbollah, huku Houths, kule Urusi.

Na Israel yeye hawezi kwenda kupigana vita nje ya Gaza ambako anapigana na watoto na wagonjwa.

Urusi atapiga kambi zote za Marekani mamaee.
Miaka 100 mnamchagua rais. Dah kweli akili nyengine bana
 
Kazi kwelikweli...wakipigana hiyo vita itakuwa zaidi ya vita vyote vilivyowahi kupiganiwa hapa Duniani...kwa hali ya teknolojia ya sasa itakuwa rahaa na karahaa ndani yake...Kuna nchi jirani kama Estonia, Finland, Poland, Belarus, Canada na Ukraine ndizo zitakuwa uwanja wa mapambano....tutaona sieges nyingi sana katika historia.
Wakianza vita bila kuviziana, ninaipa nafasi kubwa kwa USA kushinda kuliko Russia...ila Russia akimvizia USA itabidi adhoofishe kwanza bases zote za USA zilizo nje nchi kabla ya kuingia directly kwa wanajeshi waliopo ndani ya USA.

Tutakosa vifaa vingi sana make viwanda vingi duniani vitaanza uzalishaji wa silahaa.
 
Nadhani hapa watu hawajaielewa statement ya Biden. Alikuwa analiambia bunge la America kuwa wasipoidhinisha budget kwa ajili ya kumsaidia Ukraine basi Russia anaweza kushinda na asiishie Ukraine bali ataishambulia nchi ambayo ni mwanachama wa Nato na kupelekea majeshi ya America kupigana moja kwa moja na majeshi ya Russia kitu ambacho kitapelekea hasara kubwa kwa dunia
 
Ok kumbe wameanza kiwewe
 
Basi sawa.
 
Ninaipa nafasi kubwa kwa USA kushinda kuliko Russia...
Doh
Screenshot_20230930-151618.png
 
Nadhani hapa watu hawajaielewa statement ya Biden. Alikuwa analiambia bunge la America kuwa wasipoidhinisha budget kwa ajili ya kumsaidia Ukraine basi Russia anaweza kushinda na asiishie Ukraine bali ataishambulia nchi ambayo ni mwanachama wa Nato na kupelekea majeshi ya America kupigana moja kwa moja na majeshi ya Russia kitu ambacho kitapelekea hasara kubwa kwa dunia
Mleta mada mwenyewe hakuelewa.
 
Back
Top Bottom