Mifuko ya Hifadhi za Jamii kama NSSF inafanya uwekezaji mkubwa sana kwa kutumia michango ya wanachama. Miradi hiyo ya matrillioni ya Shillingi inajumuisha uwekezaji kwenye mabenki, kilimo na majengo makubwa ya kibiashara (Real estate), madaraja ya kulipia pamoja na uuzaji wa nyumba.
Je, wenye...
Hakuna shaka yoyote kwamba mapinduzi ya kiteknolojia yameleta mabadiliko makubwa katika maisha yetu ya kila siku.
Ugunduzi wa kupata mtandao wa intaneti ni moja ya mabadiliko makubwa zaidi katika teknolojia, kwamba leo hii ukiwa na simu janja yako na bando basi unapata intaneti. Programu...
Mgodi wa Uchimbaji wa Dhahabu wa Geita (GGML) umetoa shilingi milioni 800 kwa ajili ya kuanzisha Kijiji Maalum cha maonyesho kinachoendelea kujengwa katika Mtaa na Kata ya Bombambili Mjini Geita. Afisa Mawasiliano wa GGML Theophil Pima, amesema kuwa mgodi huo umetoa fedha hizo ikiwa ni moja ya...
Ni wazi Tundu Lissu anajiamini na ameshaaminishwa na wale waliomtuma kuwa atakuwa Rais, imefika hatua anasema wajaribu waone, hapatatosha na hapatakalika dunia nzima inaitazama Tanzania nini watafanya, amekuwa akitishia kuwa maamuzi yoyote ya kutokuwa yeye Rais yatawapeleka watu ICC.
Swali...
Makubaliano ya bomba la mafuta: Tanzania kujipatia faida ya asilimia 60 nayo Uganda ikipata asilimia 40
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli na mwenzake wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni katika picha ya awali
Viongozi wa Tanzania na Uganda hatimaye wamekubaliana kuhusu ujenzi wa bomba la...
Wanabodi,
Kampuni ya Mafuta ya Total, imempongeza Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli, na serikali yake ya awamu ya tano, kwa kujenga mazingira wezeshi ya biashara, na uwekezaji, yanayovutia wawekezaji wa kimataifa kuleta mitaji ya uwekezaji nchini na kuwawezesha Watanzania kupatiwa fursa za...
Ndugu WanaJF,
Kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi na hata hapa JF kuhusiana na changamoto ya vipindi vya Televisheni ya Taifa (TBC1). Malalamiko hayo yameegemea zaidi katika eneo la ubora wa picha na ubunifu wa vipindi.
Kwa bahati nzuri, Mkurugenzi pamoja na Watendaji wa Shirika...
Mada: Ni mradi upi ungerudisha mtaji wa uwekezaji kwa TPDC kwa haraka zaidi
Habari za leo wa kuu,
Mimi ni kijana wenu, leo nimekuja na mada hii yenye tija kwa taifa.
Taifa letu linayo gesi asilia ambayo, ina matumizi mengi
1. Gesi asilia inatumika kupikia majumbani
2. Gesi asilia inatumika...
Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania(TIC), Geoffrey Mwambe amesema kuwa Miundombinu iliyojengwa na Serikali imewezesha kituo hicho kupiga hatua kubwa na kulete wawekezaji wengi katika Sekta ya uwekezaji hasa kwenye sekta ya Viwanda. Akizungumza katika mkutano na Waandishi wa Habari Jijini...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji,Angellah Kairuki amesema kuwa serikali ya Awamu ya Tano,inaendelea kutengeneza Mazingira mazuri kwaajili ya Uwekezaji ili kuvutia sekta hiyo. Akizungumza jijini Arusha katika ziara yake ya kikazi ya siku mbili Kairuki alisema kuwa serikali chini ya...
Asikudanganye mtu eti mambo anayofanya Rais Magufuli yanakuza GNI. Hakuna kitu kama hicho na ndiyo maana katika utawala wake wa miaka mitano (5) ya mwanzo amepata matokeo ya hovyo kabisa kwenye GNI. Haiwezekani pamoja na kelele zote, sifa zote anazopewa na wasaidizi wake then akuze GNI kwa...
Nikiwa kama Mwanachama wa Klabu ya Yanga mwenye Kadi ambayo Namba yake haina ulazima wowote ule kwa Wewe Kuijua naomba niwe wa Kwanza kuiomba Serikali makini inayoongozwa na ' Jemedari ' Rais Dkt. Magufuli kupitia Vyombo vyake ' Nyeti ' kabisa vitupie Macho katika hiki kinachoitwa ni ' Mchakato...
Wadau poleni na swaumu mulio katika mfungo wa mwezi wa Ramadhani.
Napenda kujulishwa kwa mwenye uzoefu biashara ya dhahabu inalipa vipi kwa mtaji wa million 5, tahadhali za kuchukua dhidi ya utapeli, vibali vya biashara na maeneo ambayo yako suitable kwa hiyo biashara.
Natanguliza shukrani...
UTAMBULISHO KUHUSU UWEKEZAJI
Uwekezaji ni operesheni ambayo baada ya uchambuzi wa kina inaahidi kulinda mtaji pamoja kuleta marejesho (ya kifedha) kutoka kwenye mtaji huo.
Maneno ya kuzingatia hapa ni “uchambuzi wa kina” “kulinda mtaji” na “marejesho”.
Bila vitu hivi vitatu basi operesheni...
Salamu wakuu,
Muwekezaji au mshirika anahitajika kwenye biashara ya televisheni mtandaoni kwenye jukwaa la YouTube.
Kituo kipo tayari chenye watazamaji zaidi ya laki moja na nusu waliojiandikisha.
Kinachohitajika
1. Uzalishaji wa maudhui -Vifaa na nguvu kazi
2. Leseni ya Mamlaka ya mawasiliano...
Habari wana-Jamii Forums Naitwa Fatma.
Nipo hapa kwa ajili ya kujifunza na kujadili mambo mbali mbali yanahusu fedha, uwekezaji na uchumi. Mbali na hilo napendelea pia mijadala inayohusu maswala ya kijinsia na pia ni mpenzi wa kusoma vitabu. Napendelea mijadala inayolenga kufunzana.
Asanteni...
March 22, 2020
Serikali yaombwa ipunguze bei ya nyoka na viumbe wengine wanaopelekwa nje kuuzwa ili wawekezaji hao wachangie fedha za kigeni nchini. Hayo maombi yamesemwa na Paul Madinda mfugaji na muuzaji wa viumbe nje ya nchi wakati akimfahamisha Naibu waziri Costantine Kanyasu juu ya fursa...
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imesema imeandaa mfumo bora wa kuziwezesha taasisi binafsi na mashirika ya umma kuwekeza kwa faida badala ya kupata hasara katika shughuli za biashara na uwekezaji kwenye jamii.
Akizungumza wakati wa semina ya waandishi wa habari za uchumi na biashara, Meneja wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.