uwekezaji

  1. ommytk

    JamiiForums Tanzania Eneo linauzwa au uwekezaji gezaulole Kigamboni lina heka 600

    Wadau jf habari za humu ndani kuna eneo kigamboni linauzwa gezaulole lina ukubwa was heka 600 kwa wawekezaji au watu makampuni ya kupima viwanja na kuuza fursa hii au makumpuni makubwa kuweka kiwanda
  2. Dumbuya

    JamiiForums Tanzania Nyanda za Juu Kusini: Uwekezaji kwenye Kusafirisha abiria (Niliyojionea)

    Habari Wanajamvi...Heri ya Mwaka Mpya ! Nipende kuleta kwenu mtiririko wa matukio na hali halisi niliyoshuhudia katika kuelezea sekta ya usafirishaji (abiria) nyanda za juu kusini (Iringa,Njombe,Ruvuma na Mbeya).Kutokana na uchangiaji wa moja kwa moja wa sekta hii kwenye uchumi na uhitaji wa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Hoteli ya Sugu iwafumbue macho vijana kuhusu nguvu ya uwekezaji

    Habari za boxing day wananchi, Sisi tulio uzeeni tunafarijika sana kuona kijana Kama Sugu ambaye ameishi maisha ya taadhari zote za kiuchumi akifanikiwa kuwekeza kwenye hoteli huku akiwa hana skendo yoyote ya wizi wa fedha za umma. Tumezoea kwa miaka mingi miradi ya vijana wa Chama cha...
  4. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Tumepiga hatua katika kujenga mazingira bora ya uwekezaji nchini lakini bado tunayo kazi kubwa ya kufanya

    Mwaka wa 2020 unaelekea ukingoni na ni kawaida yetu binadamu kufanya tafakari ya nini tumefanya kwa mwaka tunaomalizia na kuweka malengo ya mwaka ujao wa 2021. Hatua kubwa katika uchumi wa Tanzania kwa mwaka huu wa 2020 ni ile ya kuingia katika kundi la nchi za uchumi wa kati, ikiwa ni miaka...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Chato ni sehemu nzuri ujenzi wa vyuo na uwekezaji mwingine, karibu

    Katika kutungua eneo la kanda ya ziwa especially mkoa wa kagera na Geita naunga mkono juhudi za serikali kutengeneza maeneo yamkakati na yakudumu katika eneo lile. Ujenzi wa uwanja, mbuga ya wanyama, vyuo na majengo yenye adhi zikiwemo hotel kutasiadia sana kupunguza uhalifu kwa maana ulinzi...
  6. mama D

    JamiiForums Tanzania Rais, Mawaziri, Wakurugenzi bado kuna shida kubwa kwenye mchakato wa uwekezaji nchini

    Baada ya kuisoma ilani ya chama tawala CCM na kusikiliza hotuba ya rais alipokua anafungua bunge watanzania wengi tuliiona nia ya dhati ya serikali yetu kuboresha uchumi kwa kiasi kikubwa haswa kwa kuhakikisha wawekezaji wanapewa support na serikali kwa kujengewa mazingira mazuri na rafiki ya...
  7. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kipi kimemfanya Geofrey Mwambe aliyekuwa Mkurugenzi (Director) wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kuteuliwa kuwa Waziri wa Biashara na Viwanda?

    Wakuu amani iwe nanyi, Jana Mh Rais ameteua Baraza la Mawaziri na miongoni wa Mawaziri walioteuliwa ni aliyekuwa Mkurugenzi wa kituo cha uwekezaji Tanzania Mr Geoffrey Mwambe. Geofrey Mwambe amekuwa mkutugenzi wa TIC kwa kipindi cha miaka mitatu na katika kipindi hicho Mr Mwambe alichemka...
  8. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Tufanye haya ili kuendelea kuimarisha uwekezaji na ukuaji wa uchumi Tanzania

    Tunaelekea kuufunga mwaka wa 2020 na panapo majaliwa itakuwa heri kwetu kuuona mwaka 2021. Miezi hii ya mwisho wa mwaka huwa ni wakati mzuri wa tafakari ya wapi tumefanikiwa mwaka huu. Kama nchi, Tanzania ina mambo mengi ya kujivunia mwaka huu na mojawapo ni lile la kuingia katika kundi la nchi...
  9. leonaldo

    JamiiForums Tanzania Hongera CHADEMA kwa uwekezaji huu mkubwa

    Safi sana CHADEMA hamkuwekeza kwenye majumba,wala magari ya kifahari wala chochote cha starehe,kila mlichopata mlikitumia kuijenga taasisi yenu mioyoni mwa watu, hamkukaa bure richa ya kuwa mlikuwa kifungoni kwa miaka yote mitano. Chemichemi zenu zote za kuwaongezea kipato kwenye chama...
  10. tapemeasure

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji katika soko la Hisa la Dar es salaam na Mifuko ya UTT

    Habari za kutwa wana JF. Matumaini yangu wote mu wazima na mnaendelea vizuri kwa ujumla. Kwa muda mrefu nilikuwa nafatilia juu ya uwekezaji katika soko la Hisa la Dar es salaam na mifuko (DSE) ya UTT ila bado sijaelewa mambo yanaendaje na nilitamani sana kuwekeza katika maeneo hayo nikaona...
  11. mdhalendo

    JamiiForums Tanzania Lini wanachama wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii watanufaika na uwekezaji wa mifuko hiyo?

    Mifuko ya Hifadhi za Jamii kama NSSF inafanya uwekezaji mkubwa sana kwa kutumia michango ya wanachama. Miradi hiyo ya matrillioni ya Shillingi inajumuisha uwekezaji kwenye mabenki, kilimo na majengo makubwa ya kibiashara (Real estate), madaraja ya kulipia pamoja na uuzaji wa nyumba. Je, wenye...
  12. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Sekta ya mawasiliano ya simu na kukua kwa teknolojia kunavyobeba fursa za uwekezaji nchini

    Hakuna shaka yoyote kwamba mapinduzi ya kiteknolojia yameleta mabadiliko makubwa katika maisha yetu ya kila siku. Ugunduzi wa kupata mtandao wa intaneti ni moja ya mabadiliko makubwa zaidi katika teknolojia, kwamba leo hii ukiwa na simu janja yako na bando basi unapata intaneti. Programu...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Huu ni mfano wa uwekezaji wenye tija kwa taifa

    Mgodi wa Uchimbaji wa Dhahabu wa Geita (GGML) umetoa shilingi milioni 800 kwa ajili ya kuanzisha Kijiji Maalum cha maonyesho kinachoendelea kujengwa katika Mtaa na Kata ya Bombambili Mjini Geita. Afisa Mawasiliano wa GGML Theophil Pima, amesema kuwa mgodi huo umetoa fedha hizo ikiwa ni moja ya...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji kwenye ardhi ukoje

    Jamani wadau naombeni msaada naitaji kujua kuhusu uwekezaji kwenye ardhi na viwanja sehemu gani zenye tija kwa uwekezaji huu hapa Tanzania kwa sasa.
  15. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Fadhila za Lissu kwa majasusi wa kibepari na kisingizio cha uwekezaji nchini

    Ni wazi Tundu Lissu anajiamini na ameshaaminishwa na wale waliomtuma kuwa atakuwa Rais, imefika hatua anasema wajaribu waone, hapatatosha na hapatakalika dunia nzima inaitazama Tanzania nini watafanya, amekuwa akitishia kuwa maamuzi yoyote ya kutokuwa yeye Rais yatawapeleka watu ICC. Swali...
  16. Snowden E

    JamiiForums Tanzania Tanzania kujipatia faida ya asilimia 60 nayo Uganda ikipata asilimia 40 kutokana na uwekezaji wa mafuta

    Makubaliano ya bomba la mafuta: Tanzania kujipatia faida ya asilimia 60 nayo Uganda ikipata asilimia 40 Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli na mwenzake wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni katika picha ya awali Viongozi wa Tanzania na Uganda hatimaye wamekubaliana kuhusu ujenzi wa bomba la...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Mafuta ya Total Tanzania yampongeza Rais Magufuli na kuipongeza Tanzania, kujenga mazingira bora ya biashara ya Mafuta, Uwekezaji

    Wanabodi, Kampuni ya Mafuta ya Total, imempongeza Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli, na serikali yake ya awamu ya tano, kwa kujenga mazingira wezeshi ya biashara, na uwekezaji, yanayovutia wawekezaji wa kimataifa kuleta mitaji ya uwekezaji nchini na kuwawezesha Watanzania kupatiwa fursa za...
  18. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya benki ya Dunia inaonesha Zimbabwe ina nafasi nzuri kwa mazingira ya uwekezaji kuliko Tanzania

  19. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    Ndugu WanaJF, Kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi na hata hapa JF kuhusiana na changamoto ya vipindi vya Televisheni ya Taifa (TBC1). Malalamiko hayo yameegemea zaidi katika eneo la ubora wa picha na ubunifu wa vipindi. Kwa bahati nzuri, Mkurugenzi pamoja na Watendaji wa Shirika...
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ni mradi upi ungerudisha mtaji wa uwekezaji kwa TPDC?

    Mada: Ni mradi upi ungerudisha mtaji wa uwekezaji kwa TPDC kwa haraka zaidi Habari za leo wa kuu, Mimi ni kijana wenu, leo nimekuja na mada hii yenye tija kwa taifa. Taifa letu linayo gesi asilia ambayo, ina matumizi mengi 1. Gesi asilia inatumika kupikia majumbani 2. Gesi asilia inatumika...
Back
Top Bottom