uwanjani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    CHADEMA ondoeni timu uwanjani tu, ndoto ya demokrasia Tanzania haifikiki bila CCM kugawanyika kutokea ndani

    Nimechukua muda kutafakari historia za kisiasa za Venezuela, Iran, Russia, China n.k pamoja na kuangalia Hali ya kisiasa ya dunia kwa sasa, ukweli mchungu ni kwamba katika nchi yetu ni vigumu sana upinzani halisi kama wa CHADEMA kupambana na kuishinda CCM na kuweza kuleta demokrasia. Ukweli ni...
  2. Chizi Maarifa

    Viongozi Yanga tunataka mtuletee Soup na Chapati Uwanjani pamoja na Maji

    Naomba niweke hili ombi ili tuingie uwanjani mapema basi watuletee supu chapati mida ya saa 5 asubuhi. Hii itatuhamasisha sana na kutupa roho ya kuishangilia team. Pia tutaweza kuja kwa wingi uwanjani. Hersi pambania jambo hili. Maana naona kama mnajisahaulisha kuwa mashabiki tutakuja hapo...
  3. DuaZaMama

    Edo Kumwembe: Kuingia uwanjani saa nne asubuhi wakati mechi inachezwa saa kumi na moja jioni ni mateso

    "Kuingia uwanjani saa nne asubuhi wakati mechi inachezwa saa kumi na moja jioni ni mateso. Sio kwamba mashabiki wanataka, hapana, wanajihami. Wanahepuka kadhia ya baadae. Kule kwa wenzetu kila tiketi ina seat number. Mageti yote pia yanafunguliwa na unaingia katika geti la jukwaa lako. Naona...
  4. Waufukweni

    Mashabiki DRC wang'oa viti Uwanjani baada ya timu ya taifa kufungwa na Senegal

    Mashabiki wa DR Congo wameharibu Uwanja wao kwa kuvunja na kurusha viti baada ya timu ya taifa kushindiliwa mabao 3-2 na Simba wakali toka hifadhi ndogo ya Wanyama ya Teranga Senegal nyumbani kwao. DR Congo walikuwa wakiongoza 2-0 kabla bao hizo mbili kuchomolewa kisha wakafungwa na jingine...
  5. ngara23

    Kwanini Watanzania hawaendi uwanjani inapocheza timu ya taifa

    Tanzania tumepata bahati ya ku host mashindano Makubwa ya CHAN 2025 pamoja na Kenya na Uganda Kwa wenzetu Kenya tunaona viwanja vinajaa na TV zinawekwa kwenye maeneo ya wazi, Watu wana hamasa mno Hapa kwetu Tanzania tumeonekana hata kufika watu 10, 000 kwenye uwanja wa kubwa watu 64, 000...
  6. GENTAMYCINE

    Huyu Mchezaji wa Taifa Stars PIPINO JR anakimbia kimbia tu Uwanjani hana Tija

    Ni nadra sana kukuta Mchezaji wa Mpira wa Miguu mwenye Matege mabaya kama yake akawa anajua Mpira. Ilitokea bahati tu kwa Marehemu Ramadhan Lenny kuwa nayo na hakika alikuwa na Kipaji cha hali ya Juu hasa katika Nafasi ya Kiungo wa Juu na cha Chini. Hebu upesi sana Kocha Hemed Morocco amtoe...
  7. Kinoamiguu

    Karia umeyaona Matokeo ya Endowsoments, Acha kulia hatwendi uwanjani NG'OO

    Nilikuona jana kupitia Azam tv Ukiweweseka kuwaita watu uwanjani bila shaka hujui. Acha nikupasue na kukupa ukweli 1. kwakuwa wewe ni mwana CCM, ulifanya figisu hata kuwakataza wagombea wengine wasigombee kwa kuchukua endowsments zote bila haya wala AIBU jambo likapita na sasa wasubiri...
  8. Allen Kilewella

    Rangi ya viti kwa Mkapa imeleta giza uwanjani

    Mpangilio wa rangi za viti na rangi zenyewe umeleta giza ndani ya uwanja wa Mkapa. Hata Mpira unapooneshwa na kamera kuelekezwa kwenye maeneo ya vitu visivyo na watu au watu wachache unaona kabisa ule mvuto wa uwanja umepungua kabisa. Inawezekana lengo la kuweka rangi za bendera yetu ya Taifa...
  9. October 2pm

    Mama ni kisiki cha Msingi. Kila aliyejaribu ameanguka. Twasubiria uwanjani msikimbize timu

    Walileta Wachungaji tumewatuliza kama Gaucho minjino atulizavyo mpira. Wakaleta NRNE ya kina Lisu tukawapa joker wakalilamba. Wameleta wazungu pori tumewalisha ugwadu. Heheee! Wakamleta Askofu bao la baunsa ametoroka kusokojulikana. Ati wanamtegemea Poyepoye! Hasa! Poye yao. Na bado! Keyboard...
  10. DuaZaMama

    CAF Yataka Maombi Kabla ya Kuingia Uwanjani na Mabango au Bendera

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limetoa muongozo kwa mashabiki kufanya maombi ili kuruhusiwa kuingia uwanjani na mabango na bendera. Maombi yanatakiwa kutumwa CAF kupitia barua pepe: 📧 security@cafonline.com siku moja kabla ya mechi. Muombaji anatakiwa kuambatanisha picha ya rangi ya...
  11. USSR

    CHAN:Ushauri wangu kwa SERKALI.TFF.bodi ya ligi waacheni watanzania waingie bure uwanjani .usituuzie uzalendo

    Nchi zote waandaaji wamewaachia mashabiki wa soka kuingia viwanjani kushangilia timu zao za taifa bure . Timu shiriki zimekuja na mashabiki wamelipiwa viingilia nyie mpo busy kutoza hela nyingi sana sijui mnataka nini na idadi ya mashabiki inazidi kupungua mechi ijayo mtatazama wenyewe VIP Kwa...
  12. ngara23

    Sowah na timu yake ya Simba wamejitafutia laana kama Ile walivoingiza jeneza uwanjani

    Tundaman kwenye Simba day aliingiza jeneza iliyokuwa na zeruzeru ndani ili kumdhihaki Manara ambaye alihamia Yanga Jeneza ni mauti baada ya tukio hilo kweli hadi Leo Simba wapo kwenye mauti, Toka wamdhihaki Manara na jeneza lao hawajapata kombe na wala hawatapa kikombe chochote Leo kwenye...
  13. Dabil

    Simba haijali mashabiki zake na inawatapeli,Simba day ijayo wanastahili waende wenyewe uwanjani

    Simba haijali mashabiki zake na inawatapeli na kuwaingizia hasara,wakati mwingine kelele anazofanya Ahmed Ally ni kama unafki tu. * Simba ilileta mchango kwa ajili ya uzio wa uwanja wa Bunju,mashabiki wamechanga baadaye Magungu anasema imeenda kwenye matumizi mengine,na hakuweka bayana ni...
  14. sinza pazuri

    Je ikitokea hii first eleven inaingia uwanjani, Samia atatoboa?

    Kikosi kiwe namna hii. 1. Dr Philip Mpango 2. Simbachawene 3. Mpina 4. Sugu 5. Job Ndugai 6. Dr Bashiru Alli 7. Halima Mdee 8. Josephat Gwajima 9. Kassim Majaliwa 10 Freeman Mbowe 11. Humphrey Polepole Coach Sinde Warioba Supersubs 1. Boniyai 2. Kigwangwala 3. Gambo 4. Kabudi Paramagamba 5...
  15. The Supreme Conqueror

    Ahmed Ally: Yanga wapo hatua 10 mbele zaidi wana Simba wenzangu tuamkeni watatawala soka letu uwanjani hadi katika maamuzi

    AMEANDIKA AHMED ALLY Nimeona taarifa kutoka kwa @jemedarisaid kuhusu Nyuma Mwiko kumuwekea pingamizi Mgombea Urais wa TFF Wallace Karia, sina mashaka na taarifa zake lakini kamati ya uchaguzi ya TFF itatoa taarifa ya uchaguzi na tutathibitisha zaidi Kitendo cha Nyuma Mwiko kumwekea Wallace...
  16. MFALME WETU

    Hakuna nchi nyepesi kuongoza duniani kama TZ. Sikutegemea Simba kupeleka timu uwanjani leo

    Imagine Uto leo Wana hamu ya kucheza mechi, TAREHE 15 hamu Yao ilikuwa wapi mpaka wakavaa na Jezi zenye maandishi ya Hatuchezi Ng'oo? BODI ya ligi na TFF hawajatueleza aliyebadilisha Tarehe ni nani? kwa kanuni ipi kwa makubaliano na nani? kwanini bodi ibadilishe Tarehe na kupanga Tarehe mpya...
  17. THE FIRST BORN

    Kwa tunaotaka Mabadiliko Nchi hii tunaombea Simba Agome serious asilete Team uwanjani

    Habari Nisikuchoshe sana msomaji ila niseme hivi watanzania tunaotaka Mabadiliko katika hii Nchi tunaombea leo simba asilete Team uwanjani. WHY? Hii itamvuruga Mama yenu wa kilemba itatuma ujumbe mkubwa sana na atapata kiwewe na ukizingatia ni mwaka huu anahitaji Kura nyingi so atakua na...
  18. Tajiri Tanzanite

    Simba kuipeleka timu uwanjani tar 25 ni kuidhalilisha club kubwa na bora barani Afrika dhidi ya club kubwa kisiasa Tanzania

    Hapo vip! Simba ni club kubwa na bora barani Afrika na ni ya tano sasa kwa ukubwa barani Afrika.Hivyo ni club kubwa na bora no.1 Tanzania,Afrika mashariki na kati. Ni aibu kwa club ndogo kama yanga kutumia siasa kuharibu mpira Tanzania. Nb: Tukumbuke yanga tokea Dunia kuubwa na kuanzishwa kwa...
  19. Fbn

    Mfanyabiashara Tajiri wa India Afariki Ghafla Uwanjani Baada ya Kumeza Nyuki

    Tajiri mwenye asili ya India, mwenye umri wa miaka 53 na mpenzi maarufu wa mchezo wa polo, ambaye pia alikuwa karibu sana na Prince William, amefariki dunia kwa kusikitisha wakati wa mechi ya polo huko Windsor mnamo Juni 12. Mashuhuda wanasema alilalamika ghafla akisema, “Nimekimeza kitu,” na...
  20. Scared

    Shabikibwa simba lala nyumbani ukiwa uwanjani Leo utapokea kichapo Cha mbwa Koko Kuna mbavu zimekaa Kwa ajili hiyo

    Ujumbe umefika mechi ni tarehe 25 sababu mungu wa nchi amesema Sasa wewe kolo jichanganye ukanyage taifa Leo utapigika vibaya sana sababu ushatangaziwa mechi na tff ni tarehe 25 sababu mungu wa nchi ameshasema na hakuna wa kupinga Hilo heshimj mamlaka kabla hujashugulikiwa ipasavyo na nadhani...
Back
Top Bottom