Viongozi Yanga tunataka mtuletee Soup na Chapati Uwanjani pamoja na Maji

Viongozi Yanga tunataka mtuletee Soup na Chapati Uwanjani pamoja na Maji

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,387
Reaction score
31,517
Naomba niweke hili ombi ili tuingie uwanjani mapema basi watuletee supu chapati mida ya saa 5 asubuhi. Hii itatuhamasisha sana na kutupa roho ya kuishangilia team. Pia tutaweza kuja kwa wingi uwanjani.

Hersi pambania jambo hili. Maana naona kama mnajisahaulisha kuwa mashabiki tutakuja hapo lakini tutalazimika kutumia nauli zetu na pia suala la msosi litakuwa kizungumkuti.

Lakini pia wazingatie siku za mbeleni kutugawia na nauli pia. Wasizoee tu kutuambia kiingilio bure. Je tutakuja kwa miguu? Watupe nauli wau wakodi malori ya kutuchukua na kuturudisha majumbani kwetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom