DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,143
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limetoa muongozo kwa mashabiki kufanya maombi ili kuruhusiwa kuingia uwanjani na mabango na bendera.
Maombi yanatakiwa kutumwa CAF kupitia barua pepe:
📧 security@cafonline.com
siku moja kabla ya mechi.
Muombaji anatakiwa kuambatanisha picha ya rangi ya bango analotaka kuingia nalo.
Maombi ya bango na bendera kila moja yatumwe tofauti.
Kutafanyika ukaguzi wakati wa kuingia kwa wale ambao maombi yao yamepitishwa ili kutambua kama bango linakidhi vigezo vya usalama wa moto.
Cliford Mario Ndimbo
Ofisa Habari na Mawasiliano, TFF
🗓️ Agosti 8, 2025