DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,145
"Kuingia uwanjani saa nne asubuhi wakati mechi inachezwa saa kumi na moja jioni ni mateso. Sio kwamba mashabiki wanataka, hapana, wanajihami. Wanahepuka kadhia ya baadae. Kule kwa wenzetu kila tiketi ina seat number. Mageti yote pia yanafunguliwa na unaingia katika geti la jukwaa lako. Naona watu wanaiweka hii ya kwenda uwanjani mapema kama sifa. Sio sifa. Wenzetu wanaingia dakika 15 kabla ya mechi kuanza na hakuna shida. Wenye mamlaka wanajua sana kuhusu hili"