GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,353
- 127,308
Ni nadra sana kukuta Mchezaji wa Mpira wa Miguu mwenye Matege mabaya kama yake akawa anajua Mpira.
Ilitokea bahati tu kwa Marehemu Ramadhan Lenny kuwa nayo na hakika alikuwa na Kipaji cha hali ya Juu hasa katika Nafasi ya Kiungo wa Juu na cha Chini.
Hebu upesi sana Kocha Hemed Morocco amtoe huyu Mchezaji wa KMC FC PIPINO JR kwani hakuna akifanyacho Uwanjani zaidi ya kurukaruka tu huku kila mara akinyoosha mikono kuwaelekeza Wenzake utadhani Yeye anajua vile Mpira.