uwanja wa ndege

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Ajificha kwenye tairi la ndege kutoka Afrika Kusini mpaka Uholanzi

    Polisi wa kijeshi nchini Uholanzi leo wameshangazwa kumkuta mtu aliyekuwa amejificha chini ya ndege kwenye eneo la tairi la mbele kuwa yuko salama. Ndege hiyo ilisafiri kwa saa 11 kutokea Afrika mpaka Ulaya. Ndege hiyo ya mizigo ilitokea Afrika Kusini na kutua Kenya kwa muda mfupi kabla ya...
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi, miaka 58 ya Mapinduzi Zanzibari hakuna mzawa au hata serikali haina uwezo wa kuendesha uwanja wa ndege?

    Kuna vitu viwili vimenishutua leo kutoka kwenye kichwa Cha Rais Mwinyi. Cha kwanza ni kusherekea 58yrs of independence Bado Zanzibari Haina mzanzibari mzawa au hata serikali Haina uwezo wa kusimamia viwanja vya ndege mpaka inakodsha shirika la ndege kwa taifa fulani. Hivi ikitokea vita hiyo...
  3. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa ndege Kisongo jijini Arusha hauna hadhi

    Uwanja mdogo wa ndege kisongo ambao mara nyingi hutumika na watalii wanaokodi ndege ndogo kwenda kutalii katika hifadhi za taifa na sehemu za serengeti, ngorongoro na sehemu nyingine zenye vivutio vya utalii, hauna kabisa hadhi ya kuitwa uwanja wa ndege kwa maisha ya kileo. Maana muonekano ni...
  4. Ze Bulldozer

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa TZS 35BL Ujenzi wa Musoma Airport kumuenzi Baba wa Taifa

    RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ATOA TZS 35BL KUJENGA UWANJA WA "MUSOMA AIRPORT " ILI KUMUENZI HAYATI BABA WA TAIFA KWA VITENDO. Huu ni muonekano wa baadhi ya vifaa vya ujenzi vya mkandarasi Beijing kutoka nchini China ambavyo vinatarajiwa kutumika katika kazi za maboresho ya uwanja wa ndege wa...
  5. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Tugeuze uwanja wa ndege Chato kuwa Chuo cha Urubani

    Wengi tunafahamu kuwa kujenga uwanja wa ndege Chato lilikuwa ni jambo la ajabu kiuchumi na ukanda mbaya sana. Jambo lisilopaswa kutokea tena. Lakini uwanja ule tusiuache uoze, ni pesa nyingi zimetumika. Napendekeza tuufanye kuwa chuo cha urubani. Serikali na watu binafsi wajenge shule za...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi uwanja wa ndege wa (JNIA)

    Leo tarehe 4Oktoba, 2021saa 11.15 Asubuhi nilisindikiza mtu Uwanjani anaenda Dodoma na Air Tanzania ya saa 12 Asubuhi. Watu walikuwa kwenye foleni ya kuingia, kuna Muhindi mmoja alivaa pensi na fulana nyekundu, mwenzie alishaingia yeye ni msindikizaji, nadhani kuna kitu alisahau kumwambia...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Biden aonya uwezekano wa shambulio lingine kutokea Uwanja wa Ndege Kabul

    Rais wa Marekani, Joe Biden ameonya kuwa upo uwezekano mkubwa wa shambulio lingine kutokea Uwanja wa Ndege wa Kabul akisema Makamanda wamemtaarifu linaweza kutokea mapema Serikali ya Marekani imewataka Raia wake kuondoka eneo karibu na Uwanja wa Ndege. Zaidi ya watu 110,000 wakiwemo Raia wa...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Afghanistan: Marekani na Uingereza zatoa tahadhari ya shambulio la kigaidi uwanja wa ndege Kabul

    Mataifa kadhaa yasema kuna tishio kubwa la shambulio la kigaidi katika uwanja wa ndege wa Kabul na kuonya raia wao kuepuka eneo hilo. Australia, Marekanj na Uingereza zimetoa tahadhari zikiwataka Raia ambao tayari wapo nje ya Uwanja huo wa Ndege kuondoka. Zaidi ya watu 82,000 tayari...
  9. Mantombazane

    JamiiForums Tanzania Kuna hujuma kubwa kwenye ujenzi wa Uwanja wa Ndege Iringa

    Kwanza niipongeze kwa kuupanua uwanja wa ndege wa Nduli Iringa kuwa wa kiwango cha kimataifa. Kwakweli mwanzaoni hata mimi sikuona haja lakini huu mradi ni muhimu sana kwa utalii nyanda za juu kusini. Mkandalasi anajitahidi kuujenga uwanja huu kwa kasi kubwa ambapo kazi inafanyika usiku na...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Serikali imefanya maboresho vipomo Corona uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

    SERIKALI imefanya maboresho ya miundombinu kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kwa ajili ya upimaji wa virusi vya corona kwa wasafiri wanaoingia nchini. Hayo yamesemwa jana na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Abel Makubi wakati alipotembelea uwanja huo akiwa na...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Kuna tija gani kwa uharaka Uwanja wa Ndege wa Msalato?

    Je, ni kweli wawakilishi wetu wapo kimaslahi ya nchi? KIA ipo, JKIA ipo, SGR hiyo inakuja. Umataifa wa uwanja wa Msalato kujengwa kwa haraka huku watu wanakosa huduma za maji. Faida yake ni mini? Sifa. Leteni kwanza faida za mbuga ya Chato. Leteni faida za Tanzanite ya baharini. Wabunge...
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ombi: Serikali ituruhusu wananchi kutumia uwanja wa ndege Chato kuanikia mpunga, mihogo na mahindi wakati huu hakuna ndege

    Sasa ni msimu wa mavuno kwetu wakazi wa Chato, mahindi, mpunga na mihogo iko kwa wingi, naomba Serikali ituruhusu kutumia uwanja wa ndege kuanikia mpunga, mahindi na mihogo, inatoka vizuri bila mchanga. Ni ombi letu sisi wanyonge na masikini. Hayati Magufuli enzi za uhai wake akiwa kwenye...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali yaongeza sehemu za kupima corona Uwanja wa Ndege

    Serikali imeongeza sehemu za kutolea huduma ya upimaji wa virusi vya corona katika viwanja vya ndege kutoka mbili mpaka 10 na kuanzisha huduma ya ulipaji kwa njia ya kielektroniki Maboresho hayo yamefanyika siku chache baada ya abiria wanaowasili nchini kulalamika kuwa wanakaa muda mrefu...
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa ndege Chato sasa kiunganishi kikubwa kanda ya Ziwa Victoria na Magharibi

    Umuhimu wa uwanja wa ndege wa Chato umezidi kuonekana baada ya kuwa kiunganishi kikubwa kwa mikoa ya kanda ya ziwa. Leo hii kiongozi akitoka Dodoma anatua Chato na kisha kuelekea eneo lolote la maeoneo ya kanda ya ziwa. Makamu wa rais akiwasili Chato kisha kuelekea Kigoma kwa kazi za chama.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Dogo Janja ahojiwa Polisi, adaiwa kushawishi abiria wasipime COVID-19

    Watu watatu akiwemo Abdulaziz Chende (26) maarufu Dogo Janja wamehojiwa na Jeshi la Polisi Kikosi cha Viwanja vya Ndege na kuachiwa wakituhumiwa kuwashawishi abiria wengine kukataa kufanya kipimo cha ugonjwa wa Covid-19. Kwa mujibu wa mwongozo uliotolewa na Serikali, wenyeji wanaorejea na...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Ili tusipate hasara, Serikali ibadilishe Uwanja wa Ndege Chato 75% uwe wa Kijeshi

    Kwa heshima na taadhima napenda kuishauri serikali yetu adhimu,ibadirishe matumizi ya uwanja wa ndege chato ili tuepuke hasara itakayo tokana na uwanja huo kutotumika kikamilifu. Uwanja huu wa kisasa umejengwa huku watanzania wakivutana na kurumbana wengine wakidai umejengwa kisiasa wengine...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Dodoma Mjini, Mavunde akabidhi sare kwa kituo cha madereva taksi wa Uwanja wa Ndege Dodoma

    Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe Mavunde Leo amekabidhi sare kwa kituo cha madereva taksi wa Uwanja wa Ndege Dodoma ikiwa ni sehemu ya kuboresha huduma ya usafirishaji Jijini Dodoma. "Nimekabidhi sare hizo leo kwa madereva taksi 30 zenye thamani ya Tsh 1,500,000 katika eneo la Uwanja wa Ndege kwa...
  18. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari waaibishwa kutoripoti uwanja wa ndege wa Katavi kuota nyasi na mmliki wa ambulance zilizokamatwa bandarini

    Uandishi wa uhakika huwezi kuwa rafiki na Mamlaka, Kuna siku moja Trump alikuwa anaishambulia CNN kwa Twitter kuwa badala ya kuitangaza vizuri Marekani na miradi yake ya kiuchumi chombo hicho kimekazana kupambana na Utendaji wa Rais na proganda zingine. Muda huo huo CNN wakamjibu Tena kwa...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!

    Wanabodi, Tangu kupatikana kwa taarifa ya kutelekezwa kujengwa kwa uwanja wa ndege wa Bukoba, eneo la Omukajunguti na badala yake sasa uwanja huo unajengwa Chato, kumetokea pingamizi kadhaa kupinga kujengwa kwa uwanja huo Chato kwa kutumia costs benefits index, hivyo mimi naunga mkono ujenzi...
Back
Top Bottom