Ujenzi wa uwanja wa ndege Serengeti

Ujenzi wa uwanja wa ndege Serengeti

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,080
Reaction score
5,986
Serikali hao wanaopiga promo ujenzi wa kiwanja cha ndege wanatafuta mianyaa ya kuiba fedha za umma tu
Sasa unajengaje kiwanda cha ndege maeneo hayo miundombinu kama barabara ni mbovu kipindukia za tope
Ikumbukwe kwa musoma kuna ujenzi unaendelea wa kiwanja cha ndege na hapohapo mnataka tena mjenge kiwanja cha ndege serengeti -mara

Kwanini serengeti-mara huo wa musoma kwanini msifanye upanuzi km mnataka kuwa International?
Na hisi huo uwanja mnataka mjenge muweke wawekezaji from dubai waanze kubeba wanyama wetu
Kiwanja cha ndege mwanza kina miaka 15 kinasubiri uboreshwaji na hakuna utekelezaji kabisa.

Hii nchi mafisadi yanakaa yanapanga miradi ili yale hela tu kulima aaah afu sisi ndio tulipe hayo madeni tutasomana tu siku sio nyingi
 
Kwani Serengeti siyo Tanzania nyie watu

1. Usimamizi wa ule uwanja upo chni ya mikono salama ya mh Dr. Nyansaho.

2. Ule ujenzi ni wa kimkakati kutokana na mbuga ya serengeti

3. Mbona mapato ya kutoka Serengeti hamsemi kwamba hamtaki hayo mapato kisa yanatoka Serengeti ambako hakuna miundombinu?

4. Fanyeni mkutano wa hadhara halafu mseme kuwa hatujengi uwanja kama mtatoka salama.

5. Uwanja wa serengeti ni wa mhimu kuliko hata uwanja wa songwe na geita, na tunautaka huo uwanja kwa gharama yoyote.

6. Kwani hzo hela anazitoa huyo msukuma na tabasamu?
 
@Mods
naona mmeedit sana comment yangu, nawashukru kwa huruma yenu
niliporomosha matusi jana maana nlishndwa kujizuia sana kutokana na michango mibovu iliyotolewa na wale wabunge, mbaya zaidi walisemea bungeni ambapo jana nilikuwepo ndani ya bunge. nilitaka kupasuka, natoka mle nakuja tena huku nakuta uzi kama huu.
actually the world is full of pressure.
Active nisamehe bure!
 
Back
Top Bottom