uwanja wa ndege

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tunajenga uwanja wa ndege Serengeti kukuza utalii

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kujenga Uwanja wa ndege Mugumu Serengeti kama sehemu ya kutimiza adhma ya Chama Cha Mapinduzi ya kufikisha idadi ya watalii Milioni nane wanaoitembelea Tanzania kwa mwaka kufikia...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uwanja wa ndege Sumbawanga umekamilika, tutajenga mwingine

    Mgombea ubunge wa Jimbo la sumbawanga mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi Aesh Khalfan Hilaly ameendelea kufanya mikutano ya kampeni za kuomba kura kwa wananchi na akiwa katika kata ya Katandala, ameinadi ilani ya uchaguzi ya CCM na kueleza vipaumbele vyake endapo atapewa ridhaa na kuchaguliwa...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Wahamiaji 225 wakikutoka Amerika kaskazini watua kwenye uwanja wa ndege wa Ben-Gulion

    ✈️🇮🇱 Siku ya kihistoria nchini Israel, safari ya 65 ya ndege ya kukodi ya aliyah ya Nefesh B’Nefesh ilitua leo asubuhi kwenye Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion, na kuleta olim wapya 225 kutoka Amerika Kaskazini. Ndege hiyo ilibeba watoto 125 (mtoto wa mwisho akiwa na umri wa miezi 9 tu), wasio na...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Alaghahiwa na Wi-Fi ya uongo ya uwanja wa ndege, apoteza fedha na kukosa ndege

    Mtu mmoja alikwama kwenye uwanja wa ndegekatika jiji fulani, akisubiri ndege ya kuunganisha safari. Kama ilivyo kwa wengi wetu, alitafuta WiFi ya bure ili kupotezamuda. Akaona WiFi inayoitwa “Free Airport WiFi” na akajiungabila kufikiria mara mbili. Ndani ya dakika chache baada ya kujiunga...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nilidhani haya Mauaji ya kutumia Pikipiki na Muuaji kujificha Uso yalishaisha Kitambo tangia alipouwawa Yule Mtu wao Uwanja wa Ndege miaka iliyopita!

    Nimetoka kutizama Video Clip ya East Africa TV na kuona kuwa Jana maeneo ya Kinondoni Makaburini Mtanzania mwenye Asili ya Uturuki kauwawa kwa Kupigwa Risasi na Mtu aliyepanda Pikipiki mida ya Mchana kabisa huku Watu wakiona kisha alipokamilisha huo Uuaji wake akaangalia kushoto na kulia kisha...
  6. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Kisa cha tapeli aliyeuza uwanja wa ndege Nigeria

    🛫 Emmanuel Nwude: Mtu Aliyewauzia Wazungu Uwanja wa Ndege Ulio Hewa Katika historia ya dunia, matapeli wengi wamejaribu njia mbalimbali za kujipatia mali kwa ujanja. Lakini ni wachache sana waliowahi kufanikisha kile alichokifanya Emmanuel Nwude, raia wa Nigeria ambaye alitapeli benki kubwa ya...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vyoo vya Uwanja wa ndege wa Sheikh Abeid Aman Karume ni aibu tupu

    Jaman wahusika waambiwe tunalitia aibu taifa vyoo vya terminal 3 tayari vinafanana na vya stendi ya zamani ya ubungo. Zile shimo za kutolea maji chini ziko wazi imagine wageni walikuwa wanasifu uwanja leo wanauponda kuta za terminal 3 tayari zimekwanguka hasa upande wanaowasiri wageni wa nje...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hivi huu umati wa mashabiki wa Yanga uliosimamisha Uwanja wa Ndege na Dar es Salaam, ulikuwa na kibali cha Polisi kuandamana?

    Ningependa sana kujua kama huu umati ambao ulisimamisha uwanja wa ndege na Da es Salaam ulipewa kibali cha maandamano na polisi. Na je, Polisi walifanya intelijensia kujiridhisha kwamba wanachama wa Simba labda wasingefanya vurugu? Nimetafakari juu ya hili kwa sababu Chadema au ACT Wazalendo...
  9. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtendaji Mkuu wa TANROADS afanya ukaguzi kwenye Mradi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Shinyanga na kuagiza Mkandarasi kukamilisha mradi kwa wakati

    Tarehe 16 Juni 2025, Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mha. Mohamed Besta amefanya Ukaguzi kwenye Mradi wa Ujenzi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Shinyanga na kuagiza Mkandarasi anaetekeleza Ujenzi wa Uwanja huo (CHICO) kuhakikisha anakamilisha kazi za kufunga taa za kuongozea Ndege pamoja na Kumalizia...
  10. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtendaji mkuu TANROADS akagua ujenzi wa uwanja wa ndege Sumbawanga, ujenzi wafikia asilimia 70

    Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta, Jumamosi Juni 21, 2025 ametembelea uwanja wa ndege wa Sumbawanga kukagua maendeleo ya ujenzi wake ambao unaendelea kwa kasi. Akizungumza baada ya ziara hiyo, Mhandisi Besta amesema ujenzi wa uwanja huo umefikia...
  11. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mradi wa uwanja wa ndege mwanza miaka 3 bila kukamilika. Wananchi tuelezwe tatizo ni nini

    Rais atafika Mwanza kuzindua daraja la Busisi Kigongo lakini wananchi wanashangazwa pia na dana dana zinazopigwa kukamilisha uwanja wa ndege wa Mwanza na kuufanya wa kimataifa. Ni kweli kwa hili tunaidai Serikali kwa vile ni shs bn 3 kati ya 28 zimetolewa hadi sasa kipindi cha miaka miwili...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa uwanja wa Ndege Mwanza haueleweki

    Bado kuna shida ya kasi ya ukarabati wa Uwanja Ndege Mwanza. Utekelezaji wa muundo mbinu huu hauendani na kasi aliyoiagiza Rais. Tatizo ni nini huu uwanja?
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa ndege wa kijeshi wa Hamas nchini Syria washambuliwa

    Ripoti za milipuko mingi karibu na uwanja wa ndege wa kijeshi wa Hama nchini Syria. Baada ya jana Syria kurusha makombola 2 kuelekea Golan hata hivyo makombola hayo yalipopolewa.. Leo hii Israel imeamua kuzishambulia ghala za silaha za Syria huko Hama!!
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa ndege wa Sana’a washambuliwa na ndege za Israel!!!!!

    Baada ya matishio ya muda mrefu yaliyokuwa yanafanywa na kundi la kigaidi la Houth kushambulia uwanja wa ndege wa Ben Gurion bila mafanikio!! mfupi uliopita, IDF ilishambulia uwanja wa ndege mkuu wa Sana'a na ndege za kundi la kigaidi la Houthi. Ndege zilizolengwa zilitumiwa na utawala wa...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Ndege za Israel yashambukia uwanja wa ndege wa Sanaa muda huu

    Wadau hamjamboni nyote? The Israeli Air Force is carrying out strikes on the Houthi-held Sanaa International Airport in Yemen, according to local media. The strikes come after repeated Houthi missile attacks on Israel in recent days. Earlier this month, also after repeated attacks...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Madini ya Almasi Yenye Thamani ya Tsh 1.7 Bilioni Yakamatwa Yakitoroshwa Uwanja wa Ndege Mwanza

    MADINI YA ALMASI YENYE THAMANI YA TSH 1.7 BILIONI YAKAMATWA YAKITOROSHWA UWANJA WA NDEGE MWANZA ▪️Waziri Mavunde awapongeza RC Mtanda,Kamati ya Usalama,Uwanja wa Ndege na Kikosi kazi Madini ▪️Aelekeza uchunguzi zaidi kubaini mtandao wote wa wahusika ▪️Atoa rai kwa wadau wa madini kuzingatia...
  17. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Kushambuliwa kimtandao (Cyberstrike) na kuzuiwa wanaharakati wa Kenya uwanja wa ndege; Watanzania tusimame pamoja

    Matukio mawaili makubwa wiki hili; kuzuiwa wanaharakati wa Kenya (Martha Karua et al) na kushambuliwa kwa akaunti nyeti za mitandao na ku kisha kuchapisha taarifa potofu. Sipendi dhulma na uonevu anaofanyiwa Tundu lakini pia ni utoto kuwapa airtime hawa Wakenya Madhaifu ya serikali ya CCM...
  18. S

    JamiiForums Tanzania "Mashtaka ya Naibu katibu Mkuu wa CHADEMA,Amani Golugwa,Katika Uwanja wa Ndege wa J.K Nyerere yalilenga kukatisha Uhusiano wa kimataifa wa CHADEMA"

    Kiongozi wa upinzani wa Chadema, Amani Golugwa, alikamatwa akiwa njiani kuelekea Brussels kuhudhuria mkutano wa kisiasa. Kukamatwa huko ni tukio la hivi karibuni linalohusisha wanachama wa CHADEMA, ambao wanailaumu serikali kwa kutumia mbinu za ukandamizaji. "Kukamatwa kwa Amani Golugwa, Naibu...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Tuhuma dhidi ya Amani Golugwa zililenga kukwamisha uhusiano wa kimataifa wa CHADEMA

    "Kiongozi wa upinzani wa Chadema, Amani Golugwa, alikamatwa akiwa njiani kuelekea Brussels kuhudhuria mkutano wa kisiasa. Kukamatwa huko ni tukio la hivi karibuni linalohusisha wanachama wa CHADEMA, ambao wanailaumu serikali kwa kutumia mbinu za ukandamizaji. "Kukamatwa kwa Amani Golugwa, Naibu...
  20. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga kushikiliwa Uwanja wa Ndege Dar, Jaji Mkuu mwingine mstaafu David Maraga afanikiwa kupenya Kisutu

    Baada ya Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga kushikiliwa Uwanja wa Ndege Dar majira ya saa 9 alfajiri alipowasili nchini kufuatilia kesi ya Tundu Lissu, Jaji Mkuu mwingine mstaafu wa nchi hiyo David Maraga, amefanikiwa kutinga Kisutu. Pia soma Pre GE2025 - DSM - Kesi ya Lissu: Jaji Mkuu...
Back
Top Bottom