Tetesi: Uwanja wa ndege wa Burundi wasitisha huduma

Tetesi: Uwanja wa ndege wa Burundi wasitisha huduma

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,489
Reaction score
1,466
Kutokana na hali ya kiusalama inayoendelea nchini humo, baada ya kuzidiwa nguvu na M23, njia ya ndege kutua iliyokuwa inatokea Uvira, imeilazimu nchi hiyo kusitisha huduma kutokana na hofu ya usalama wa anga, ikiwa kuna uwezekano mkubwa wa M23 kuwa tayari mitambo ya ulinzi wa anga imeshawekwa tayari maeneo hayo.

Wakati huo, aliyekuwa mwenyekiti wa chama tawala CNDD-FDD, Revelien Ndikuriyo, amejiuzulu useneta, ili aweze kugombea uraisi, kwenye uchaguzi wa mwaka 2027.
Kiti anachokitaka, ndo anachokalia rais Evariste Ndayishimiye.

Kitendo hiki, tayari kimeshagawa chama kwa makundi mawili. Moja linalomuunga mkono rais, na linalomuunga mkono Mwenyekiti wa chama.
 
Hawana haja Buji hamna kitu, vita ipo kwa kusaidia fardc kule congo migodini otherwise hawana issue nao.
Bibi kijana acha porojo wewe. Wewe ni bibi wa hovyo kabisa. Bibi gani unashabikia CCM kuua watu.

Bibi wa hovyo kabisa.
 
Hii bangi gani umevuta we kima?
Tunaongea habari za vita Kalemie na Uvira huku kuna kundu moja linaongea mambo ya ccm
Wewe ni bibi wa hovyo tu. Si unashabikia humu watanzania kuuliwa October 29.

Bibi wa hovyo kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom