uwanja wa ndege

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Madini ya Almasi Yenye Thamani ya Tsh 1.7 Bilioni Yakamatwa Yakitoroshwa Uwanja wa Ndege Mwanza

    MADINI YA ALMASI YENYE THAMANI YA TSH 1.7 BILIONI YAKAMATWA YAKITOROSHWA UWANJA WA NDEGE MWANZA ▪️Waziri Mavunde awapongeza RC Mtanda,Kamati ya Usalama,Uwanja wa Ndege na Kikosi kazi Madini ▪️Aelekeza uchunguzi zaidi kubaini mtandao wote wa wahusika ▪️Atoa rai kwa wadau wa madini kuzingatia...
  2. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Kushambuliwa kimtandao (Cyberstrike) na kuzuiwa wanaharakati wa Kenya uwanja wa ndege; Watanzania tusimame pamoja

    Matukio mawaili makubwa wiki hili; kuzuiwa wanaharakati wa Kenya (Martha Karua et al) na kushambuliwa kwa akaunti nyeti za mitandao na ku kisha kuchapisha taarifa potofu. Sipendi dhulma na uonevu anaofanyiwa Tundu lakini pia ni utoto kuwapa airtime hawa Wakenya Madhaifu ya serikali ya CCM...
  3. S

    JamiiForums Tanzania "Mashtaka ya Naibu katibu Mkuu wa CHADEMA,Amani Golugwa,Katika Uwanja wa Ndege wa J.K Nyerere yalilenga kukatisha Uhusiano wa kimataifa wa CHADEMA"

    Kiongozi wa upinzani wa Chadema, Amani Golugwa, alikamatwa akiwa njiani kuelekea Brussels kuhudhuria mkutano wa kisiasa. Kukamatwa huko ni tukio la hivi karibuni linalohusisha wanachama wa CHADEMA, ambao wanailaumu serikali kwa kutumia mbinu za ukandamizaji. "Kukamatwa kwa Amani Golugwa, Naibu...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tuhuma dhidi ya Amani Golugwa zililenga kukwamisha uhusiano wa kimataifa wa CHADEMA

    "Kiongozi wa upinzani wa Chadema, Amani Golugwa, alikamatwa akiwa njiani kuelekea Brussels kuhudhuria mkutano wa kisiasa. Kukamatwa huko ni tukio la hivi karibuni linalohusisha wanachama wa CHADEMA, ambao wanailaumu serikali kwa kutumia mbinu za ukandamizaji. "Kukamatwa kwa Amani Golugwa, Naibu...
  5. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga kushikiliwa Uwanja wa Ndege Dar, Jaji Mkuu mwingine mstaafu David Maraga afanikiwa kupenya Kisutu

    Baada ya Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga kushikiliwa Uwanja wa Ndege Dar majira ya saa 9 alfajiri alipowasili nchini kufuatilia kesi ya Tundu Lissu, Jaji Mkuu mwingine mstaafu wa nchi hiyo David Maraga, amefanikiwa kutinga Kisutu. Pia soma Pre GE2025 - DSM - Kesi ya Lissu: Jaji Mkuu...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaita Watu wote Duniani kuhudhuria Kesi ya Tundu Lissu Mahakamani

    Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho kote Duniani hii hapa Kwa Wale wasiojua Kiswahili nyingine hii hapa
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyeibua kashfa ya Adan, afichua mpango wa kukodishwa uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta kwa kampuni ya Dubai

    Nelson Amenya, mtoa taarifa wa Kenya ambaye aliibua kashfa ya mkataba wa uwanja wa ndege wa Adani uliobatilishwa hivi karibuni, ameibuka tena akidai kuwepo kwa mpango mpya wa kukodisha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) kwa kampuni moja kutoka Dubai. Amenya anadai kuwa licha...
  8. Kindred Spirit

    JamiiForums Tanzania Hali ya Uwanja wa Ndege wa Ndege

    Hali ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Yemen mjini Sanaa siku moja baada ya shambulio kutoka Israel. Hakuna kilichosalia. Inasemekana Yemen wamedai kupata hasara ya dollar za kimatekani nusu bilioni kufuatia shambulio hilo Khaled al-Shaif, the head of the airport, told the Houthis' al-Masirah...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Hizi ni dharau sio vita tena: Israel anatoa onyo kulipua airport, anaingia anga la Yemen bila upinzani

    Ni siku ya pili ya mashambulizi, siku ya jana kwenye shambulio la kwanza Israel imelipua bandari kubwa ya Hodeidah na kiwanda cha saruji cha al-Imran. Mapema siku ya leo katika muendelezo wa mashambulizi Israel iliagiza Wayemen wanaoishi jirani na uwanja wa ndege wa kimataifa wa sanaa wahame...
  10. Ritz

    JamiiForums Tanzania Makombora ya Houthi yatua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ben Gurion nchini Israel uwanja umefungwa

    Wanaukumbi. Vyombo vya habari vya Israel vinaripoti kuwa mifumo ya Arrow-3 na THAAD inayotolewa na Marekani ilishindwa kuzuia kombora la Houthi. Licha ya mashambulizi makali ya anga yanayoendelea, uwezo wa makombora na ndege zisizo na rubani za Houthis unaonekana kubaki bila kuathiriwa...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dc Sumbawanga: Akagua ujenzi wa uwanja wa ndege wa Sumbawanga, atoa onyo dhidi ya wizi wa mafuta

    Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga amefanya ziara katika eneo la ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga, ambapo ametumia fursa hiyo kuonya vikali vitendo vya wizi wa mafuta ya magari vinavyodaiwa kufanywa na baadhi ya watumishi walioko katika eneo hilo. Katika ziara hiyo, Mkuu wa Wilaya amewataka...
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Houthi waongopa kuhusu shambulizi la uwanja wa ndege wa Ben Gurion na mbeba ndege-vita USS Harry Truman.

    Waasi wa Houthi wanadai kwa uwongo kuwa waliweza kuushambulia uwanja wa ndege wa Israel Ben Gurion, mbeba ndege-vita USS Harry Truman ya Marekani madai hayo ya uongo yalitolewa kama ifuatavyo; Msemaji wa jeshi la Houthi Yahya Saree alijigamba kwamba usafiri wa anga katika uwanja huo wa ndege...
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa ndege wa sanaa huko Yemen usiku huu unapata kipondo kutoka majeshi ya Marekani

  14. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Houthi watangaza kushambulia uwanja wa ndege ben gurion israel na meli vita ya marekani

    Usiku wa kuamkia leo,2:30, houthi walifyatua makombora ya balistiki na cruise kuelekea israel na kudai kupiga shabaha, kiongozi wao saree alitoa taarifa hiyo Upande mwingine israel imedai kutungua makombora hayo nje ya anga la israel,lakini vyombo vya ndani vinasema kombora lilitunguliwa ndani...
  15. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 DC: Watumishi mnaojenga Uwanja wa Ndege Sumbawanga acheni wizi, huu sio Mradi wa Mchina

    Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Nyakia Ally Chirukile amekemea vikali ubadhilifu unaofanywa na watumishi wanaotekeleza ujenzi wa Uwanja wa Ndege Sumbawanga. Akizungumza na wafanyakazi hao Machi 21, 2025 wakati wa ziara ya kushtukiza Chirukile amesema kuna ubadhilifu unaofanywa na baadhi ya...
  16. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hamas waushambulia uwanja wa ndege wa Ben Gurion.Ndege zashindwa kutua

    Habari za karibuni kabisa zinasema uwanja mkuu wa ndege wa Israel wa Ben Gurion umepokea makombora kadhaa kutokea upande wa Gaza ikidhaniwa ni Hamas ndio walioyarusha. Hapo juzi na mapema leo Houth nao walirusha makombora ya Balistic kutoka Yemen kuulenga uwanja huo huo na kusababisha vingora...
  17. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), yalidhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Shinyanga

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mheshimiwa Augustine Vuma, leo Alhamisi Machi 20, 2025 imetembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Shinyanga, ambapo imeeleza kuridhishwa na hatua iliyofikiwa ya asilimia 75 ya...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Shinyanga wafikia Asilimia 75, kukamilika Juni 2025

    Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Dkt. Charles Msonde ameieleza Kamati ya Kudumu ya Bunge Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC), kuwa kiwanja cha ndege cha Shinyanga kitakamilika mwezi juni mwaka huu. Amesema hadi sasa ujenzi wa kiwanja hicho umefikia asilimia 75 ambapo njia za kuruka na kutua ndege...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa ujenzi wa uwanja wa ndege Serengeti wasainiwa

    Mkataba wa Ujenzi wa Kiwanja cha Kimataifa cha Ndege Wilayani Serengeti umesainiwa Februari 27,2025 Jijini Dar Es Salaam Utekelekezaji wa Mradi huo utasimamiwa Mhandisi Mshauri na Kampuni Binafsi ya 7-Engineering kwa kushirikana na Intairplan GMBH na Project Plus (T) LTD, kwa gharama za Sh 1.3...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Wezi waiba nguzo 147 za fensi katika uwanja wa ndege Moshi

    MKUU wa mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu ameagiza wezi walioiba nguzo 147 katika uwanja wa ndege Moshi pamoja na fensi waya kurejesha mara moja na kudai kuwa serikali haitafumbia macho wizi huo. Babu ametoa kauli hiyo leo wakati wa kikao cha Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi mkoa, ambapo...
Back
Top Bottom