uuzaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ibrah Goye

    Kampuni ya uuzaji wa viwanja Bagamoyo

    Habari ndugu mtanzania mwenzangu. Tunakukaribisha sana katika uwekezaji kwenye idara ya ardhi. Sisi PMG AND ASSOCIATE COMPANY LIMITED tunajihusisha na shughuli mbalimbali kama :- 👉🏿Uuzaji wa viwanja na mashamba 👉🏿Upimaji wa ardhi 👉🏿Ubunifu na usimamizi wa majengo 👉🏿Urasimishaji Na kwa maeneo...
  2. K

    Iran yaanza uuzaji silaha kimataifa

    Tokea mwaka jana mwishoni vikwazo vya silaha vilipoisha kwa Iran,Iran imeonesha drone mpya iitwayo Gaza Doha yenye uwezo wa kutembea maili 1200 sawa na kilometa 2000 na yenye uwezo wa kubeba mabomu mpaka 13. Tutarajie mpinzani mwingine katika soko la uuzaji silaha. Pia hii itakua fursa kwa...
  3. Crocodiletooth

    Rwanda yavunja rekodi uuzaji Madini nje!

    Rwanda imeingiza kiasi cha dola Bilioni 1.1 katika mapato ya mauzo ya Madini mbali mbali kwa mwaka wa 2023. Hiyo ni ongezeko ya asilimia 43 ya mauzo ya mwaka wa 2022 baada ya kupata dola milioni 772 kutokana na mauzo ya nje ya madini. Hii ni mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo ambayo...
  4. Unique Flower

    Uuzaji wa mashamba

    Kwakweli naombeni matapeli madalali msinipigie ,mnasema mnauza mashamba natafuta mteja tunaanza kuzunguka tu kama pia. Tuelewane. Hii namba ni kwa ajili ya wateja sio mniharibie kazi . Ila kama kuna mteja anahitaji kiwanja na mashamba Arusha aniambie na bajeti yake ili tumtafutie .
  5. Nyani Ngabu

    Hivi idara ya usalama wa taifa wa Tanzania inahusika na kila kitu hadi uuzaji wa nyanya na vitunguu magengeni?

    Siyo mjuzi sana wa habari za idara ya usalama wa taifa, Tanzania. Lakini katika pitapita zangu humu JF, nimekutana na mada kadhaa zilizonishangaza kidogo. Mtu akienda dukani akikuta bidhaa ambayo haipendi, lawama anabebeshwa usalama wa taifa. Msanii Diamond umaarufu wake ukianza kupungua...
  6. K

    Iran yaondolewa vikwazo vya uuzaji silaha na UN

    Mnamo tarehe 18 Oktoba, 2023 UN imeondoa vikwazo vya Iran kufanya biashara ya silaha na imeiruhusu Iran iuze silaha yeyote na taifa lolote. Jumamosi ya tarehe 21 Oktoba, 2023 UN ndio imetangaza uamuzi huo ambao ulijadiliwa na kuamuliwa Jumatano. USA aliongeza vilwazo kwa Iran baada ya uamuzi...
  7. Bull Bucka

    Uuzaji wa akaunti za mitandao ya kijamii: Je, zinakidhi malengo ya soko la mnunuaji?

    Watu wengi, taasisi, na makampuni wanazidi kuhamishia shughuli zao kwenye mitandao ya kijamii kila siku. Lakini kujiunga na majukwaa hayo na kukuza akaunti kutoka wafuatiliaji 0 hadi, labda tuseme 10,000, inahitaji jitihada na muda mwingi, na hilo limeacha watu wengi wakijiuliza, "je, naweza...
  8. SirMayombo

    Biashara ya uuzaji na ununuzi wa madini kwa mfanyabiashara mdogo

    Habari wana JF, Naitwa Mayombo nimekuja kwenu kuomba ufafanuzi kwa yeyote mwenye experience na biashara hii ya uuzaji na ununuzi wa madini hapa nchini 1. Hatua gani za kufuata kisheria? 2. Inahitaji pesa kiasi gani kama mtaji? 3. Changamoto zikoje na faida? Tafadhari naomba msaada ili...
  9. Gulio Tanzania

    Tumuachie Mungu dhuluma hii uuzaji wa bandari zetu

    Wenye kusema wamesema wapo waliolaani kupitishwa kwa mkataba huu wenye kushauri wameshauri njia nzuri za kuuvunja mkataba huu bila kuleta madhara makubwa watu wameziba masikio tutembee na msemo ule asiyesikia la mkuu huvunjika guu Ni kweli tunahitaji wawekezaji lakini sio kwa mkataba huu...
  10. M

    China yaongoza duniani katika utengenezaji na uuzaji wa mabasi ya abiria

    Kwa miaka 9 mfululizo kampuni ya Yutong ya China imekuwa kinara kwa kuuza mabasi mengi zaidi duniani. Utengenezaji na uuzaji wa mabasi ya abiria imekuwa biashara kubwa yenye ushindani hasa mabasi ya umeme. Mabasi yamekuwa yakitengenezwa kwa kazi na makusudi tofauti tofauti. Kinachoangaliwa...
  11. F

    Rais Samia, Serikali kusimamisha ghafla uuzaji wa chakula nje ya nchi ni unyama dhidi ya wafanyabiashara na wakulima

    Unakuta mfanyabiashara amechukua mkopo 200M benki, ameweka watu wamkusanyie mahindi semi 10 kutoka Dodoma, Manyara, Arusha, etc. Semi zimesheheni chakula kuelekea mpakani ghafla unasikia serikali imesimamisha usafirishaji wa vyakula nje ya nchi na hapo gari zipo tayari mpakani. Jamani, hivi...
  12. Nyendo

    Bajeti yapendekeza kusamehe Kodi ya ongezeko la thamani kwenye uuzaji na ukodishaji wa ndege

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyapendekeza kwenye hotuba yake ni kusamehe Kodi ya ongezeko la thamani kwenye uuzaji na ukodishaji wa ndege, injini...
  13. Dr Akili

    Kuhusu Bandari zetu: Hii ni Kandrasi, Ukodishaji, Upangishaji, Uuzaji, Uwekezaji, Ubinafishaji, Ubia ni PPP au tumetapeliwa?

    Bandari, viwanja vya ndege, electric power supply plants, reli na barabara ni maeneo mhimu sana kiuchumi na kiusalama wa taifa lo lote duniani. Hili halina ubishi. Hivyo umiliki na mamlaka ya uendeshaji yanapaswa kuwa ya taifa lenyewe kwa asilimia 100%. Mamlaka haya hayapaswi kuporwa na mtu...
  14. S

    Uuzaji na usambazaji wa Bomba za maji (coil)

    Habari wakuu, Kampuni ya kutengeneza na kukusambazia Bomba za maji kwa Bei nafuu ya kiwandani kabisa Kila aina ya Bomba kuanzia class A, B, C, inch 1A, 1B, 1C, inch 1.5B & 1.5C. inch 2B, 2C. Pia Kila aina inatengeneza kulingana na order ya mteja. Karibuni sana wateja tufanye biashara. Pia...
  15. Suley2019

    Hali ya mazingira ya uuzaji wa chakula katika maeneo mengi ya Stendi ni hatarishi kwa afya

    Salaam Wakuu, Katika maeneo mbalimbali ya huduma za kijamii kama vile stendi na hospitali ni kawaida mazingira hayo kuzungukwa na biashara mbalimbali za vyakula. Maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam hasa msimu huu wa mvua kumekuwa na uchafu uliokithiri maeneo ya vituo vya daladala. Hali...
  16. Kinoamiguu

    Kwako Mbunge Gwajima, nani anahusika na uuzaji wa eneo la Mecco Kunduchi?

    Mchungaji Joseph at Gwajima wewe ni mbunge wa jimbo la Kawe. Upo bize kweli na siasa za Sukuma Gang ukisahau zile za jimbo lako. Taarifa iliyopo ni kwamba eneo la mecco kunduchi "mashimoni" linataka kuvamiwa. Watoto wa mjini wanalitolea macho wakidai kupisha mwendo kasi. Wananchi hawa...
  17. Maguguma

    Serikali itatue changamoto zilizojitokeza wakati wa uuzaji wa Mbolea ya Ruzuku

    Wananchi Wengi wa mkoa wa Ruvuma wampongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutoa mbolea ya ruzuku ambayo imewawezesha wakulima wengi kununua na kuongeza uzalishaji kwenye mazao yao, kwa bei ya Elfu 50,000 hadi 70,000 kwa mfuko wa Kilo 50. Mbolea ya Ruzuku imewasaidia wakulima kuondokana na...
  18. K

    TMDA dhibitini uuzaji wa dawa holela kwenye vyombo vya usafiri

    TMDA na mamlaka husika chukueni hatua haraka kuna upotoshaji mkubwa wa namna na aina mbalimbali za dawa zinazouzwa kwenye mabus yatokayo Moshi bus stand kwenda Arusha na kwenda Dar. Vijana hao wanasema wanatoka kampuni ya Mama Kilimanjaro. Tafadhalini fuatilieni na mzuei upotofu unafanywa na...
  19. Balozi limited

    Msaada kwa wenye ujuzi wa biashara ya nafaka

    Naomba kujuzwa namna ya kufanya biashara ya nafaka, kufungua frem kuuza nafaka kama vile Michele, Unga, kunde, maharage nk Nijue namna inavyofanywa, risk zake, naweza pata haswa wapi, mtaji, masoko, faida nk any thing about it. Thanks
  20. J

    Zanzibar turudishe heshima yetu, tuige mfano mzuri wa Qatar, pombe ipigwe marufuku kabisa

    Nchi ya Qatar imenivutia sana kwa kuwa na msimamo mzuri dhidi ya uozo wa kimagharibi wa pombe, ngono, ushoga etc Zanzibar ni nchi nzuri ya kistaarabu sana lakini naona kuna uozo unaongezeka kwa kasi kubwa. Nyimbo na video za uchi, unywaji pombe, kuvaa vivazi vya nusu uchi hadharani n.k. Ni...
Back
Top Bottom